Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Has Gary Neville called Manchester United celebrations yesterday emotional yet, or does that only apply to Arsenal?
 
sasa hivi utaitwa mamluki, ili ukubalike humu kama shabiki wa Asenyo unatakiwa uifunge akili yako kwenye sanduku halafu funguo ya hilo sanduku umkabidhi Masingeli au chawa wake.
Humu shabiki wa Asenyau haruhusiwi kureason chochote against timu, kocha, Masingeli pamoja na chawa wake.



#Arsenyo Ndoo
#Kai Balon D'or
 
Huyo jamaa alihamia PSG ,Ni wewe ndiye unamrudisha Arsenal kinguvu

Yeye anatokea Arsenal ikifungwa au kudroo au mechi ambazo anajua Ni ngumu


Kifupi huyo Ni UKAWA
 
Rank hazichezi , ndio maana last season Mancity aliwabonda kwa aibu Sana hao Madrid na baryen

Mancity nae simlikuwa mnasema hivo hivo Hana statistic zozote kwa Madrid na Bayern


Mpira Ni current ,historia haichezi
Hapa nakazia, nadhani atakuwa ameelewa. Japo historia sio ya kuipuuza moja kwa moja, nayo ina asilimia fulani sometimes
 
Mkuu hili ni jukwaa la Comedy, ukiwa na stress zako we ingia tu humu utacheka mpaka stress zote zinaisha.
Humu wamejazana kina Joti, Bambo, Mpoki, Mtanga, Masanja, Masingeli na chawa wake.


#Arsenyo Ndoo
#Kai Balon D'or
 
Flano na Genge lako


Ua Liverkuku
Ua Man City
Ua Makolo
Ua PSG
Ua Atletico Madrid

Weka hata nyumba ya kijijini kwenu
Chambuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi, tunakuomba tu baada ya mpira kuisha usilikimbie jukwaa na kuwatelekeza chawa wako humu wakichezea spana toka kona mbalimbali za ulimwengu.
Leo mkingongwa chukulia tu ni sawa na kunguru kumnyea binadamu anajifuta kisha safari inaendelea.



#Asenyo Kondoo
#Kai Balon D'or
 
Mzee baba mm lini uliona nakimbia Kama nyie kule kwenu jukwaa mmelitelekeza

Nampango niliteke nigeuze la biashara zangu niwe napost kule

Nyie wenzetu mmeshakuwa sugu kwa vipigo
 
Mkuu hili ni jukwaa la Comedy, ukiwa na stress zako we ingia tu humu utacheka mpaka stress zote zinaisha.
Humu wamejazana kina Joti, Bambo, Mpoki, Mtanga, Masanja, Masingeli na chawa wake.


#Arsenyo Ndoo
#Kai Balon D'or
Mimi nawaelewa sana manjesta

Kwasasa hamuwez kupata furaha Maana timu yenu mbovu

Jukwaa lenu mmelitelekeza,wale madalali wa Sheikh Jasim wamekimbia


Sasa ili mpate furaha mnataka kusikia Arsenal Ni mbovu Kama manjesta kitu ambacho sio kweli


Hii Ni Arsenal ya maziwa na asali
 
Hii mechi ilibidi PFA waifute. Matokeo hata newborns duniani kote wanayajua.Ni kuwachosha wachezaji tu.
 
Yaani mtu anafungwa na lens lakini bado anamuona bayern ni wa kawaida kisa tu ushindi wake against man utd uliruhusu kufungwa goli nyingi na united.

United ni mbovu ila katika timu ambayo haitabiriki linapokuja suala la big games, maana inaweza kumfunga team yoyote ile sio city sio madrid sio Liverpool.

Man city kamfunga bayern na real madrid si kwamba ni team mbovu bali ni ubora wa city ni wa viwango vingine ,Arsenal hana ubora kulinganisha na city mpaka ajiweke kwenye upande wa kushinda game against hizi team 2.

Linapokuja suala la knockout stage approach ya hizi team ni tofauti kabisa na Group stage.
 
Manjesta fans mnaopiga kelele humu mnatakiwa mkubaliane na Hali halisi kwasasa nyie Ni underdog

Kitendo Cha kutaka Arsenal tuonekane sawa na nyie Ni kukimbiza upepo

Arsenal kwasasa tunatoa mbinyo hasa

Hii Midfield ya Ødegaard Partey Rice Sion timu yakufurukuta

Majeruhi yatuepushie mbali

With this Midfield tukutane May Pale Wembley saa 4 usiku

Hii mech ya mancity inazidi kutuonesha tupo wapi
 
Man shitty Leo tunamkung'uta za kutosha, tunapanda pale juu Hadi msimu unaisha hiyo
Tukikaa pale juu with this Midfield Sion Tena wakutufunga

Ukweli usemwe hata Kama Ni mchungu

Hii Midfield mancity alipiga on target 1 kwa dk 70

Sasa hawa viande wengine kina Chelsea , manjesta, livakuku wajipange

Manjesta na mwenzie kenge kwa pamoja wanabid watuchagie points 12


Ee Mungu baba tuepushie majeruhi
 
Mkuu ukipata muda uwa mention chawa wa masingeli tuwajue kwa majina
 
Mkuu hili ni jukwaa la Comedy, ukiwa na stress zako we ingia tu humu utacheka mpaka stress zote zinaisha.
Humu wamejazana kina Joti, Bambo, Mpoki, Mtanga, Masanja, Masingeli na chawa wake.


#Arsenyo Ndoo
#Kai Balon D'or
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…