Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Thomas Teye Partey set to start alongside Declan Rice in the Midfield today Against Manchester City.
 
Hao jamaa wawili wasiookuwepo huwa tunastrugle sana
Inabidi January tuongeze Neto ,

Niliwahi sema Trossard hawez kuanza mbele ya Martinelli tunakuwa predictable Sana

Timu inahitaji mtu wakumfaya beki wa pemben timu pinzani alale na viatu

Vs manjesta alimfanya Wanabisaka asababishe Kona 8 ,
 
Muhindi mjanja leo ajaingia kichwa kichwa
Sasa watu wanaichukulia poa hii mechi ,kana kwamba ma city anakuja kubeba point

Muhindi Leo kaingia mguu mmoja nje mmoja ndani

Aipe Arsenal odd ya 5-7 Kama mechi Ni rahisi
 
Kaifunze kwanza upangaji wa makundi unakuwaje
Ndo maana nikasema asume(practicaly likely not).
Point ni kwamba Arsenal hawezi kudefeat Man city, Madrid wala Bayern ya wakati wowote kwenye game mhimu za any merit title race.
 
Arsenal ya asali na maziwa

Thomas Teye Partey set to start alongside Declan Rice in the Midfield today Against Manchester City.
 
Ndo maana nikasema asume(practicaly likely not).
Point ni kwamba Arsenal hawezi kudefeat Man city, Madrid wala Bayern ya wakati wowote kwenye game mhimu za any merit title race.
Mpira haupo hivo ,usiishi kwa historia

Madrid na huyu Bayern wasasa Ni wakawaida Sana

Barcelona nae vile vile

Narudia msiishi kwa historia

Jitahid muangalie na Ligi nyingine, Bayern Munich ya Sasa Bora ukutane na Brighton

Hizo timu zimeuwa na mihimili hasa world class players maeneo Kama GK,CF na Midfielders

Nakupa homework endelea kuwaangali hao utagundua hata manjesta anaweza kupata matokeo vzr tu
 
Hakuna statistics zozote za ku undermine hivyo vilabu in favour to Arsenal. Rejea hata ranks za UEFA na FIFA hata head to head merit game(s) to tittle race.
 
Gabriel Martinelli alikamilisha mazoezi ya kikosi cha kwanza kwa Arsenal jana bila matatizo yoyote.

Amepania kuanza leo dhidi ya Manchester City.

Mikel Arteta ataangaliwa usawa wake Kama anafaa kuanza kuhusu ., lakini anatarajiwa kuwa kwenye kikosi.
 
Hakuna statistics zozote za ku undermine hivyo vilabu in favour to Arsenal. Rejea hata ranks za UEFA na FIFA hata head to head merit game(s) to tittle race.
Rank hazichezi , ndio maana last season Mancity aliwabonda kwa aibu Sana hao Madrid na baryen

Mancity nae simlikuwa mnasema hivo hivo Hana statistic zozote kwa Madrid na Bayern

Mpira Ni current ,historia haichezi
 
Flano na Genge lako

Ua Liverkuku
Ua Man City
Ua Makolo
Ua PSG
Ua Atletico Madrid

Weka hata nyumba ya kijijini kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…