You better use polite languageSasa hapo kachambua au ka-copy and pasteana uwezo wa kuandika lugha hivyo?acha kumpa sifa za kijinga Aunt Hamis
My language is very polite,lakini Aunt Hamis atabaki kuwa Aunt tu,poleni aliyewashika masikio kwa kuwadanganya na viuchambuzi vyake vya KISHOGA na nyie mnamuona eti mchambuzi kumbe UHARO tuYou better use polite language
niliangalia mechi ya Monaco jana na Balogun akaifunga Reims Timu yake za zamani na hakushangilia goli,ilikuwa ni upuuzi kumruhusu a young talented kama Balogun kuondoka na kubaki na MAGARASA kama Nketiah na hili kubwa jinga Kai Harvetz,tena huyu Kai ndio hakuna chochote alichoongeza kwenye Timu licha ya kununuliwa kwa Pesa nyingi,huwa nashangaa humu JF wanavyomsifia kwa ku-win sijui mipira ya juu,sijui kuimpressHakuna anaye mfananisha na xhaka, ila jamaa uwezo bado mdogo sana Hakuna alicho ongeza kwenye Team.
-Angalia sajili ya Rice na ina impact gani kwenye Team.
-Same kwa Timber kabla ya injury unaona kabisa kuna kitu tuna benefit uhitaji kutumia akili nyingi.
-Sasa uyu KAI Mnajikuta mnachambua Details za kijinga ambazo hazina mchango wowote kwenye Team.
Aliyekula umeme alikua Malghales. Kamchezea JesusHii game naikumbuka
Before red card, ngoma ilikua 50/50 octopus partey anachafua tu dimba
Yule Refa mpuuzi akaanza kumtoa umeme partey
Huyu jamaa nilikuwa namchukulia poa sana. Ila sasa hivi ndo nimeuona umuhimu wake.Arsenal fans huwa hatumpi heshima yake Martinelli ,nadhani mechi mbili tatu hizi tumemisi Sana shughuli yake
ESPN walitaja mawinga 100 Bora duniani , Martinelli yupo 10 Bora
Pia Ni mchezaji wa 7 EPL na 23 duniani kwa kuwa na Thamani kubwa .
But tumekuwa tuna mu underrate na kumchukulia kawaida
Speed
Goal scoring
Track back
Energy
Dribbling
Nadhani Sasa tutaanza kumpa heshima Kama tunayompa Bukayo saka
Yeah yeahAliyekula umeme alikua Malghales. Kamchezea Jesus
Kuna kauli wanatoa mashabiki wa Manchester united, unaona huu ni utani tuu na mbwembwe za mashabiki. Mfano zile kauli za "Leo ndo tunaanza ligi" wakati ni matchweek 10+.Kwamba picha za mazoezi zimefichwa
Ila utoto raha sana kama kombolela vile.
Mbona kawaida hiyo Kaka ,umeanza kuangalia Mpira liniKwamba picha za mazoezi zimefichwa
Ila utoto raha sana kama kombolela vile.
Mpira una matokeo matatuTusijipe matumaini sana, mechi ya leo ni ngumu, lolote linawezekana; ndio maana hata odds hazitofautiani sana
Nimeshangaa Sana kutojua hivi vitu, hujawahi kuona mchezaji hakuonekana mazoezin kaja kuonekana kwenye mechiKwamba picha za mazoezi zimefichwa
Ila utoto raha sana kama kombolela vile.
Ni mara nyingi tu Arsenal wamewakosa wachezaji muhimu dhidi ya City i.e Partey, Saliba etc, hiyo ni hali ya kawaida mchezoni, ni kama vile Arsenal watavyomkosa Timber au Gabriel Martinelli, au maybe Saka. Mwisho wa siku mpira lazima uchezwe, No excuses.John stones, Bernado silva & Rodri (red card) .
We jamaa bhnHao Ni watu wenye akili ndogo ,thus why nimepunguza kujibizana na wengi sababu akili zao Ni ndogo
Akili kubwa kujadiliana na akili ndogo ni upotevu wa muda na pesa maana natumia MB
Mimi nataka mtu ani challenge kweli kweli sio bla blaa
Mtu hajui mchezaji anacheza eneo fulani Sababu ya roles yake ,
Mtu hajui kuwa klabu ina mitambo ya kukusanya data zakila mchezaji kwa kila parameters ambazo ndio huamua acheze mechi .
Wengi humu Wana knowledge ndogo Sana ya mpira wameingia kwenye ushabiki sababu ya kubeti
Akiliwa pesa ya mboga anaamini Kai ndio kamkosesha
Umepotea Sana WillyWe jamaa bhn
Almost mechi 12 za EPL tumepigwa mfululizo kisha Manchester City fans waiogope Arsenal?Acha kutudanganya hamis77 ,sisi Arsenal fans we are not sure na matokeo ya leo na last season tulikuwa wa moto but ubingwa tulipotezea kwa jamaa baada ya kupigwa home and away na kubeba 6 points za kwetuMpira una matokeo matatu
But hii haizuii Mashabiki kuwa na Iman na timu Yao
Hata wao Mancity wanaogopa pitia platform zao
EPL Hakuna mchekeamchekea ,
Wanakuja kwetu lazima wawe na adabu