Matokeo ya 2-0 ya pre seasonKushtukiza wapi bhn. Sijui matokeo ya mwisho yatakuwaje ila first half man u wamecontrol mechi.
Give credit where it is due. Shida yako ni kwamba hutaki ku acknowledged hatua ambazo Man u imepiga.
Vipi kwasasa hii manjesta iliyoshinda 2-0Na hapo ndio mmeweka your strongest lineup dhidi ya Manchester United C hapo bado hajaingia Rashford,Casemiro,Onana,Ericksen leo naziona 5
Wewe una mdomo na mpira haujuiHapa Arsenyani bila double pivot hamtoboi next season.
Cheki huyu ,mechi ya Pre season mlishinda 2-0Wana Arsenal wenzangu hapa kwa Rice tumepigwa na West Ham mchana kweupee
Na wajinga wenzako wakakupa na like na kukupongezaTuliposema Rice hawezi kucheza lone DM mkawa mnabisha. Watu wanapita tu, Havertz naye mmepigwa.
Who is mainyo?niliwaambia mainoo atawafundisha boli hawa madogo janja.
Utoke mafichoni uje uelezee huyo Amrabat yupo wapi ?Mainoo anamfundisha Muingereza ghali namna ya kucheza boli.
£105m mara ya mwisho alipotezwa na Amrabat.
Pamoja mkuuUmeongea uhalisia na umechambua vzr Sana ,thus why huwa sipiti bila kusoma michango yako
Ni moja ya watu wachache Sana wenye knowledge ya mpira
Ila nitapingana na wewe sehemu moja tu
Mancity kwa Sasa hagungwi na timu za kuvizia ,
Mancity utamfunga kwasasa kwa Quality yako na kupambana nae
Zaman ndio alikuwa anafungwa na Timu zinazovizia
Baadae akabadili mfumo kwenda 4CBs , mancity amekuwa Mara nyingi anatumia 4CBs + DM ,kulinda hapo tunasema mabeki watano bila natural Fullbacks
Hivo usitarajie timu za kijinga Kama man u kupata matokeo bila Quality
Unahitaji Winger mwenye speed sana kumshinda Fullback wao ambao Ni natural CB, ndio magoli wanayofungwa
Sio kweliukishamuanzisha partey na rice kwa pamoja.. zinchenko huenda akasubiri kwanza.
so it is either zini aanze full back af partey ama rice mmja wapo asubiri ama waanze wte partey n rice ila zinchenko ale mbao ndefu.
Huko sahihi 100%, Swali nalo jiuliza tutaweza kutumia chances tutakazo tengeneza kwa ufanisi mzuri (Critical finishing)Recently, everytime we meet City, kuna key player wetu huwa ana miss.
Last season, game ya kwanza Emirates tulimkosa Partey ambae mfumo ulikua ushamkubali, akacheza Jorginho tukala chuma 3-1, though tulikua best team on the field.
Mechi ya marudiano Ettihad, kulimkosa Saliba akacheza Holding mwisho tukala chuma 4-1 na tulitawaliwa mwanzo mwisho.
This time may be different, though ilibaki kiduchu tumkose na Saka..
Nachotaka kusema safari hii odds zinaweza zikawa upande wetu coz wao wanamkosa mchezaji wao muhimu, Rodri.. So tuna nafasi nzuri ya kukatisha uteja wetu kwa City.
Mi nasema tusipomfunga Pep safari hii basi hatutamfunga tena mpaka atakapoondoka!
Leo mapemaaaa Spurs anaenda kuonja zake kale kabaridi kule juu kwenye Top of the table, Arsenyau msimu huu kuja kukaa pale juu msahau kabisa.
Ni rahisi kwa chelsea kwenda kuchezea barafu lakini sio kwa Asenyau mjaa laana aliyekaa pale juu kwa siku 258, zimebaki mechi 8 bado anaongoza ligi kwa points 8 halafu inabaki mechi moja ligi iishe yeye yupo nyuma kwa points 8 jinga kabisaaa. View attachment 2774431
Leo mapemaaaa Spurs anaenda kuonja zake kale kabaridi kule juu kwenye Top of the table, Arsenyau msimu huu kuja kukaa pale juu msahau kabisa.
Ni rahisi kwa chelsea kwenda kuchezea barafu lakini sio kwa Asenyau mjaa laana aliyekaa pale juu kwa siku 258, zimebaki mechi 8 bado anaongoza ligi kwa points 8 halafu inabaki mechi moja ligi iishe yeye yupo nyuma kwa points 8 jinga kabisaaa. View attachment 2774431
Brentford anawanyooshaHalafu Masingeli alivyo na IQ kubwa akishasikia hizo kejeli za Pep anakuja kujitapa humu kua Pep na Supa kompyuta wamesema Arsenyau ni bingwa wa top foo
We subiri kesho tuje kuwajazia nzi humu hapatakalikaManjesta walivyo hawana akili watakuja kupiga kelele humu
Hawajui kubaki na huyo kocha Ni hasara kubwa Mara Mia wangefungwa wapate kocha awanusuru mbeleni
Na msimu hatutengenezi nafasi nyingi kama msimu uliopita.Huko sahihi 100%, Swali nalo jiuliza tutaweza kutumia chances tutakazo tengeneza kwa ufanisi mzuri (Critical finishing)
-Sababu city Kule mbele ana watu wenye njaa na wanaojua kuweka mpira kwenye Net.
-Arsenal big game uwa tuna tatizo la kutokumaliza mchezo mapema, alot of chances lakini End product haionekani.
Kesho mancity naiman atauona Moto wetuWe subiri kesho tuje kuwajazia nzi humu hapatakalika