Kai akianza hii game sitaicheki nitafanya issues nyingine!Predicted Starting XI
Raya
White
Saliba
Gabriel
Zinchenko
Odegaard
Partey
Rice
Saka
Havertz
Jesus
Bench:
Ramsdale, Tomiyasu, Kiwior, Viera, Trossard, ESR, Nketiah, Martinelli, Win the GoonerView attachment 2774358
Ataanza vzr tu ,nikutakie kazi njemaKai akianza hii game sitaicheki nitafanya issues nyingine!
Huyu mtoto awe ana pumzishwa, atafutwe msaidizi wakeSaka Ni monster
Bukayo Saka has played in each of Arsenal's last 87 Premier League games, a club record streak of uninterrupted appearances in the competition.
He's in contention to make 88 in a row.View attachment 2774098
# Kai hatrickPredicted Starting XI
Raya
White
Saliba
Gabriel
Zinchenko
Odegaard
Partey
Rice
Saka
Havertz
Jesus
Bench:
Ramsdale, Tomiyasu, Kiwior, Viera, Trossard, ESR, Nketiah, Martinelli, Win the GoonerView attachment 2774358
Predicted Starting XI
Raya
White
Saliba
Gabriel
Zinchenko
Odegaard
Partey
Rice
Saka
Havertz
Jesus
Bench:
Ramsdale, Tomiyasu, Kiwior, Viera, Trossard, ESR, Nketiah, Martinelli, Win the GoonerView attachment 2774358
Sidhani hicho kitu ,ilikuwa kipindi kile sababu Zinny alikuwa majeruhi ,na lazima fullback mmoja afanya invert to Midfield.ukishamuanzisha partey na rice kwa pamoja.. zinchenko huenda akasubiri kwanza.
so it is either zini aanze full back af partey ama rice mmja wapo asubiri ama waanze wte partey n rice ila zinchenko ale mbao ndefu.
Vipi manjesta maji kupwa maji kujaa# Kai hatrick
# Nketiah MOTM
eti INVERT,kajamaa KAFALA sana wewe,ovyo kabisaSidhani hicho kitu ,ilikuwa kipindi kile sababu Zinny alikuwa majeruhi ,na lazima fullback mmoja afanya invert to Midfield.
Vipi manjesta maji kupwa maji kujaa
Kiukweli leo nitafutahi Sana mkipigwa
Raha ya kupigwa manjesta Ni zaidi ya kusex na Kim Kardashian
Leo mfungwe tu kwakweli ,Leo hata tukifungwa sio mbaya maana tayari tunacho kitu cha kusingizia, msiba wa mke wa Sir alex ferguson mama yetu Cathy Ferguson amefariki dunia.
Kwanza kwa tamaduni zetu Afrika sio busara kuwasema wafiwa, leo tunakuomba upumzishe hilo bakuli lako, wenzio tuko kwenye huzuni ya kuondokewa na mama yetu kipenzi.
Mki drop point itakuwa poa SanaLeo hata tukifungwa sio mbaya maana tayari tunacho kitu cha kusingizia, msiba wa mke wa Sir alex ferguson mama yetu Cathy Ferguson amefariki dunia.
Kwanza kwa tamaduni zetu Afrika sio busara kuwasema wafiwa, leo tunakuomba upumzishe hilo bakuli lako, wenzio tuko kwenye huzuni ya kuondokewa na mama yetu kipenzi.
Shabiki wa manjesta anakwambia Rice hawez kucheza Lone DM ,Nilikuambia Rice hawezi kucheza lone DM, ukabisha. Umejionea sasa uchochoro uliopo.
Kutibu tatizo lenu la mid ni lazima Havertz awe shabiki tu (bench) Partey, Rice, Ødegaard ndiyo tiba ya tatizo lenu.
Ndiyo maana mpaka leo sielewi Arteta alikuwa anawaza nini kumnunua Havertz kwa £65m.
Tatizo lingine ni defence yenu yote mpaka kipa. Mkiambiwa mnabisha, Arsenal mmejaza tu watu na siyo quality.
Arsenal ni wachezaji wa 4 tu: Saka, Ødegaard, Rice, Timber. Wengine wanawapotezea muda tu.
Tuna mechi na Madrid hizo ndiyo timu za kujipima nazo siyo Arsenyani.