Ivi umesoma kwel ukaelewa alichokiandika jamaa ??Mmeanza visingizio mapema hivyo. Huyo City mbona na yeye key players wake wengi hawatakuwepo
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji106][emoji106][emoji109][emoji109]Ubora wa city hauko kwa wachezaji tu,ubora wao uko kwenye mfumo na tactics za pep.Its not about who plays or not,Kitu cha kupambana nacho ni kwenda against na mfumo wa pep kwa kutafuta loophole na kuzitumia kuwaadhibu.
Kama tukiingia kwa kuangalia kukosekana kwa rodri na kdb basi utashangaa kwa tutachokutana na nacho.
Strenth ya city ni mfumo na mbinu za mwalimu pep.unahitaji kushinda mechi do your homework on PEPs tactics and philosophy ila ukishughulika na wachezaji utaumia kwasababu yeyote anaweza akakaa hapo na akakupa almost kilekile anacho offer KDB AU RODRI.
Unajua kwanini man u na ubovu wao huwa wanaitungua city na ubora wao?.jamaa huwa hawaangaiki na quality ya wachezaji wa city toe to toe bali huwa wanaangalia blueprint ya PEPs philosophy na wanakuja na vaccine yake.kwa sasa ili kuifikia quality ya city unahitaji tajiri kichaaa na kocha ambaye ni gifted kwelikweli na a very proper scouting team.
City ana udhaifu mkubwa kwa team zinazocheza direct football na transitional football hasa zikiwa zinacheza kwa intensity kubwa.
Sehemu kubwa ya wachezaji wa city wanacheza intelligent football,yaan kuna uhusiano mkubwa kati ya mind yao,ball distribution,ball movement na positioning yao.so mchezaji na team ya aina hii lazima afikirie before decision making.Do you know what to do against such team and player?PROVOKE THEM.hii ndo mbinu pekee inayompa klop matokeo na ndo mbinu inayompa man u matokeo against city ya guadiola.
HOW DO YOU PROVOKE THEM?. Usicheze man to man utaumia jamaa wanaswitch haraka mno.usitafute kumiliki mpira mbele yao maana wanajua utapiga wapi pasi kabla hujapokea mpira.Usijaribu position play maana its the breath of their game play.
WHAT TO DO?provoke their mind kwa kukosa utulivu katika mchezo.avoid visible patterns of play kwa upande wako.Una SAKA una MARTINELL cheza direct football na transitional.Ruka baadhi ya phase za pitch yako kwa mipira mirefu na kasi kisha peleka mpira langoni kwao kwa kasi.
Usitafute sana v-passes au beautiful passes bali piga mashuti nje ya lango ukiwatumia TROSSARD,ODEGARD NA RICE.
Kila muda tafuta kupeleka mpira langoni kwao kwa high intensity na directly,sahau chenga na unnecessary dribbling kwa wingers na forwads wako.waambie kituo kiwe ni golini kwa city.iwe cross au long passes zinazovunja security patterns zao we hakikisha ubapeleka mpira mbele.ukiyafanya haya continously na usitumbukie kwenye mtego wa kuiga beautiful football yao jamaa wanafungika vizuri mno.
Battle ya mid kwa game za city huwa ngumu kutokana na nature ya uchezaji wao.winger wako wakiwa na kasi unazuia upuuzi wa fullbacks wao ku invert na kuongeza idadi ya midfielder wao hasa wanaposhambulia.
Hii game itaamuliwa na nidhamu ya team yetu.
Nakereka sana na mashabiki wa manjesta ambao Ni wanafiki ,timu lenu limekuwa bovu haliwezi hata kupiga pass 10
Mmebaki kuwa wapiga ramli ,wachawi, wazandiki
Mmehama jukwaa lenu mnakuja Huku kupiga ramli ,kufanya uchonganishi ,
Sasa nawatangazia Vita Kenge nyie
Kesho city tutamuadhibu the way tutakavyoUbora wa city hauko kwa wachezaji tu,ubora wao uko kwenye mfumo na tactics za pep.Its not about who plays or not,Kitu cha kupambana nacho ni kwenda against na mfumo wa pep kwa kutafuta loophole na kuzitumia kuwaadhibu.
Kama tukiingia kwa kuangalia kukosekana kwa rodri na kdb basi utashangaa kwa tutachokutana na nacho.
Strenth ya city ni mfumo na mbinu za mwalimu pep.unahitaji kushinda mechi do your homework on PEPs tactics and philosophy ila ukishughulika na wachezaji utaumia kwasababu yeyote anaweza akakaa hapo na akakupa almost kilekile anacho offer KDB AU RODRI.
Unajua kwanini man u na ubovu wao huwa wanaitungua city na ubora wao?.jamaa huwa hawaangaiki na quality ya wachezaji wa city toe to toe bali huwa wanaangalia blueprint ya PEPs philosophy na wanakuja na vaccine yake.kwa sasa ili kuifikia quality ya city unahitaji tajiri kichaaa na kocha ambaye ni gifted kwelikweli na a very proper scouting team.
City ana udhaifu mkubwa kwa team zinazocheza direct football na transitional football hasa zikiwa zinacheza kwa intensity kubwa.
Sehemu kubwa ya wachezaji wa city wanacheza intelligent football,yaan kuna uhusiano mkubwa kati ya mind yao,ball distribution,ball movement na positioning yao.so mchezaji na team ya aina hii lazima afikirie before decision making.Do you know what to do against such team and player?PROVOKE THEM.hii ndo mbinu pekee inayompa klop matokeo na ndo mbinu inayompa man u matokeo against city ya guadiola.
HOW DO YOU PROVOKE THEM?. Usicheze man to man utaumia jamaa wanaswitch haraka mno.usitafute kumiliki mpira mbele yao maana wanajua utapiga wapi pasi kabla hujapokea mpira.Usijaribu position play maana its the breath of their game play.
WHAT TO DO?provoke their mind kwa kukosa utulivu katika mchezo.avoid visible patterns of play kwa upande wako.Una SAKA una MARTINELL cheza direct football na transitional.Ruka baadhi ya phase za pitch yako kwa mipira mirefu na kasi kisha peleka mpira langoni kwao kwa kasi.
Usitafute sana v-passes au beautiful passes bali piga mashuti nje ya lango ukiwatumia TROSSARD,ODEGARD NA RICE.
Kila muda tafuta kupeleka mpira langoni kwao kwa high intensity na directly,sahau chenga na unnecessary dribbling kwa wingers na forwads wako.waambie kituo kiwe ni golini kwa city.iwe cross au long passes zinazovunja security patterns zao we hakikisha ubapeleka mpira mbele.ukiyafanya haya continously na usitumbukie kwenye mtego wa kuiga beautiful football yao jamaa wanafungika vizuri mno.
Battle ya mid kwa game za city huwa ngumu kutokana na nature ya uchezaji wao.winger wako wakiwa na kasi unazuia upuuzi wa fullbacks wao ku invert na kuongeza idadi ya midfielder wao hasa wanaposhambulia.
Hii game itaamuliwa na nidhamu ya team yetu.
Kwa hali ya majeruhi ya kikosi cha City,Gunners mna nafasi kubwa sana ya kushinda mechi ya kesho msipoweka ujinga wa kupress na kuwin aerial duels kupitia Kai. Chezeni direct football kwa kutumia viberenge wenu kama mnataka matokeo na sio sifa za kijinga za kushinda with style.
Kesho city tutamuadhibu the way tutakavyo
Atapigiwa mpira mkubwa mno mno
City ana majeruhi yupi ujimtoa kdb?
Kdb injuryCity ana majeruhi yupi ujimtoa kdb?
Hyu Bernado Silva mechi ya Champions league juzi si nimeona kacheza...au kaumia tenaKdb injury
Rodri red card
Stone injury
Silva injury
Hao wote Ni watu mhimu Kwa game mhimu ,DM anabaki Phillips,Nunez Hawa hawana stamina kama rodri ....
ATM wetu ambaye huwa anawaonesha Namna ya kucheza ball kdb hayupo atacheza Kovacic ....
Note : doku au Alvarez atawapiga Goli kesho ...na kushinda hapo emirates Ni kawaida yetu ,Sisi tuna mentality kubwa mno tukikutana na Arsenal ,ila nyie mnawoga mwingi kuanzia kocha hadi wachezaji ...
Arsenal 1-3 man City
Kama nakudanganya Basi Ni upumbavu wako na ujinga wako ,jitu zima unadanganywajeOya usipaniki mzee,, Issue ni wewe upunguze Uongo basi. Masingeli unadanganya sana watu humu,,
Hao Ni watu wenye akili ndogo ,thus why nimepunguza kujibizana na wengi sababu akili zao Ni ndogoKwa comment yako maybe if you dont understand football tactics, who knows? Ni aina ya wale watu wanaosema Messi ni bora kuliko Ronaldo, why? Sababu Messi Kashinda WC. Kwa hivyo bila WC asingekuwa bora kuliko Ronaldo. Ni watu mnaojudge vitu kwa matokeo badala kuangalia parameters zinazofanya mchezaji anacheza eneo husika na role yake ni ipi tactically, that's Y unaona stat km Duels etc ni upuuzi. Inshort bado ujawa kocha yani bado hujakutana na babuu[emoji2]
Ana humstring injury,ile game alimiza Kwa tabu nakufanyiwa sub kote ....Hyu Bernado Silva mechi ya Champions league juzi si nimeona kacheza...au kaumia tena
Umeongea uhalisia na umechambua vzr Sana ,thus why huwa sipiti bila kusoma michango yakoUbora wa city hauko kwa wachezaji tu,ubora wao uko kwenye mfumo na tactics za pep.Its not about who plays or not,Kitu cha kupambana nacho ni kwenda against na mfumo wa pep kwa kutafuta loophole na kuzitumia kuwaadhibu.
Kama tukiingia kwa kuangalia kukosekana kwa rodri na kdb basi utashangaa kwa tutachokutana na nacho.
Strenth ya city ni mfumo na mbinu za mwalimu pep.unahitaji kushinda mechi do your homework on PEPs tactics and philosophy ila ukishughulika na wachezaji utaumia kwasababu yeyote anaweza akakaa hapo na akakupa almost kilekile anacho offer KDB AU RODRI.
Unajua kwanini man u na ubovu wao huwa wanaitungua city na ubora wao?.jamaa huwa hawaangaiki na quality ya wachezaji wa city toe to toe bali huwa wanaangalia blueprint ya PEPs philosophy na wanakuja na vaccine yake.kwa sasa ili kuifikia quality ya city unahitaji tajiri kichaaa na kocha ambaye ni gifted kwelikweli na a very proper scouting team.
City ana udhaifu mkubwa kwa team zinazocheza direct football na transitional football hasa zikiwa zinacheza kwa intensity kubwa.
Sehemu kubwa ya wachezaji wa city wanacheza intelligent football,yaan kuna uhusiano mkubwa kati ya mind yao,ball distribution,ball movement na positioning yao.so mchezaji na team ya aina hii lazima afikirie before decision making.Do you know what to do against such team and player?PROVOKE THEM.hii ndo mbinu pekee inayompa klop matokeo na ndo mbinu inayompa man u matokeo against city ya guadiola.
HOW DO YOU PROVOKE THEM?. Usicheze man to man utaumia jamaa wanaswitch haraka mno.usitafute kumiliki mpira mbele yao maana wanajua utapiga wapi pasi kabla hujapokea mpira.Usijaribu position play maana its the breath of their game play.
WHAT TO DO?provoke their mind kwa kukosa utulivu katika mchezo.avoid visible patterns of play kwa upande wako.Una SAKA una MARTINELL cheza direct football na transitional.Ruka baadhi ya phase za pitch yako kwa mipira mirefu na kasi kisha peleka mpira langoni kwao kwa kasi.
Usitafute sana v-passes au beautiful passes bali piga mashuti nje ya lango ukiwatumia TROSSARD,ODEGARD NA RICE.
Kila muda tafuta kupeleka mpira langoni kwao kwa high intensity na directly,sahau chenga na unnecessary dribbling kwa wingers na forwads wako.waambie kituo kiwe ni golini kwa city.iwe cross au long passes zinazovunja security patterns zao we hakikisha ubapeleka mpira mbele.ukiyafanya haya continously na usitumbukie kwenye mtego wa kuiga beautiful football yao jamaa wanafungika vizuri mno.
Battle ya mid kwa game za city huwa ngumu kutokana na nature ya uchezaji wao.winger wako wakiwa na kasi unazuia upuuzi wa fullbacks wao ku invert na kuongeza idadi ya midfielder wao hasa wanaposhambulia.
Hii game itaamuliwa na nidhamu ya team yetu.
wengi humu washakushit sababu unabwabwaja sana bobu.Kama nakudanganya Basi Ni upumbavu wako na ujinga wako ,jitu zima unadanganywaje
Wewe endelea kuenjoy maisha humu maana manjesta itakuua siku sio nyingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila Masingeli na Co-wokers wake wananipiga vita vibaya mno, juzi waliweka kikao kwenye ukumbi wa Anatoglo wakijadiliana namna ya kuninyamazisha, wakashauriana eti wanikaribishe tuangalie mechi ya Asenyo na Man City pamoja kisha waniwekee VX toxin ile sumu hatari iliyomuua kaka wa raisi wa Korea ya kaskazini bwana Kim Jong Nam.
Wengi unawasemea wewe ,mm Ni jeshi utakavyokuja ndivyo utapokelewa hivo hivowengi humu washakushit sababu unabwabwaja sana bobu.
Ni muda wa kurusha jezi tupate kikosi cha kesho[emoji38][emoji38]