Ukiangalia bench la Arsenal ni vichekesho!Arsenal wanatakiwa waspend pesa,Wenger aache ujinga.Tizama sasa Chicharito huyo licha ya Welback kuumia,hawana shida,na pengine chicharito atafunga ili kutaka kupreserve nafasi ambayo Welbeck ameichukua kwa muda sasa.
Wenger inabidi aachie ngazi, haiwezekani anawatesa washabiki namna hii...
Sioni hilo goli linatoka wapi! Na penalty tumepewa tukakosaMpira dakika 90 guys so msikate tamaa hahaha
Huyu mzee atakuja kuondolewa kwa bakoraWenger hivi kwa hiki kikosi alikuwa anategema miracle au?
....I said so,nasikitikakusema kuwa wanaweza kulimwa goli tano leo.Man U ni a very young team,full of energy,kama wasipofight back watalimwa na kuwa embarassed.
<br />Kazi hipo leo. Tunaweza kupoteza wachezaji zaidi.
<br />Tuko nyuma tatu ,pigine mishuti acheni kunyata nyata.