Arteta aliwahi kusema hajmaleta Kai Kama mbadala wa Xhaka,Kiukweli kai bado hajafikia mchango wa alichokitoa xhaka. Kwa upande wangu kama martineli hatakuwepo ningependa Kai acheze 9 jesus na saka pembeni
Cha-mbuziKama unafanya analysis vzr kabisa eneo la LCM wapo watu ambao wanaweza kukupa Radha tofauti na Kai na wanastahili kuanza ,vile vile kama unataka kumtumia Kai as CF na una nketiah, Kai ana faida kubwa
Labda uweke chuki ambazo sijui zinatoka wapi,
Mech na city, Community shield, Kai alicheza vzr tu as CF, na ni nafasi ambayo naona atatumika Sana sababu karejea Partey ,hivo Rice atashift LCM,
Kwa malayman wa soka ukimwambia mtu umuhimu wa Duels(aerial na ground) hawez kuelewa kamwe, mfano manjesta kwasasa timu nyingi zinawazid maeneo hayo ,ndio maana wanafikiwa kirahisi ,hawashindi mipira ya 50/50 ,
Unapocheza na City unahitaji kummatch maeneo mengi ,kwenye kiungo utamuhitaji CF wako arudi kusaidia ,Je nketiah anaweza hiyo kazi?
Utahitaji kiungo wa phase ya 2 wawe angalau wawili kupokea mipira ,Nketiha anaweza Hilo?
Pale mbele ukiwa na Jesus ,Kai una uhakika wakupora mipira au kuzuia isiende maeneo hatarishi ,sio nketiah
Hakuna anaye mfananisha na xhaka, ila jamaa uwezo bado mdogo sana Hakuna alicho ongeza kwenye Team.Arteta aliwahi kusema hajmaleta Kai Kama mbadala wa Xhaka,
Bali Ni Arsenal ibadilike kutoka kucheza na Xhaka na kucheza vingine
Na wengi wanaomlaumu Kai Ni wanaomfananisha Kai na Xhaka
Kai hajafikia kucheza vzr sana Wala vibaya
But sio kweli kwamba Hakuna mazuri anayofanya na ndiyo yanampa nafasi kuanza
Tumechoka Takwimu za kipuuzi izo
Mara Duel won, mara pressing!
6 na 8 yupo anko Tom na Rice
Odegard juu yao anachezesha timu
Zinchenko anakuja Ku-overload midfielders
Saka na martinel wanatanua uwanja
9? Wakati kufunga hawezi....!! Ni mara 10 tumuweke Trossard kama 9 na ESR kama left wing ila sio hii takataka haina msaada wowote yupo slow sana kwenye attacking.Kiukweli kai bado hajafikia mchango wa alichokitoa xhaka. Kwa upande wangu kama martineli hatakuwepo ningependa Kai acheze 9 jesus na saka pembeni
Hili sio kwa Arsenal hii ya ku overload na ku win aerial duels.kucheza na city inabidi uwe timamu kimwili na umakini wa hali ya juu katika dk zote tisini.
hakuna kocha ambae anaweza kumzuia pep asicheze mpira wake anoutaka.
muhimu kuvizia nafasi ikipatikana unatia kamba watu wanarudi kati ila kucheza nao kwa kushindana ni ngumu..
Wewe na nani??Sioni tukitoboa kwa City
Nasemaje! City wakitaka kupishana tutapishana.. Lakini lazima tucheze mpira wetu.kucheza na city inabidi uwe timamu kimwili na umakini wa hali ya juu katika dk zote tisini.
hakuna kocha ambae anaweza kumzuia pep asicheze mpira wake anoutaka.
muhimu kuvizia nafasi ikipatikana unatia kamba watu wanarudi kati ila kucheza nao kwa kushindana ni ngumu..
Halafu De li capitano ode asicheze au?Martinelli ana pace, Saka ana pace, Jesus ana pace, Trossard ana pace.
Trossard na jesus wanaweza kucheza upande wowote. Kocha mwenye hawa wachezaji 4 akiamua kufocus na ushindi na siyo kutaka kutunishiana msuli angeacha lcm akae Trossard. Kulia Saka, kushoto Martinelli na katikati Jesus.
Kisha mid ni Rice na Partey
Backline ile ile ya siku zote.
Hao wanne wanakua hatari kwa kaunta na kufosi.
Erlki kichwa ngumu angekua na hao wanne yale maneno ya jeuri aliyoanza nayo angekua anayatoa kila siku
Kanuni itakua drop one pick oneHalafu De li capitano ode asicheze au?
Formula ni ile ile ... kati kati Partey lcm achze rice amsaidie Zinny.juu kidg Ode mbele Utatu mtakatifu martineli saka mbele jesus... tumemalizaKanuni itakua drop one pick one