arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Hyu kamfundisha Arteta uongo...sio wa kumuamini hata kidogo..siku ifike tuone kikosi ndo tuamini...vngnevyo anakulisha matango poriJohn Stones out of the game at the Emir
Tuihifadhi hii?Arsenal akitufunga naacha kutumia jf mazima ,najitoa kabisa
Tunafuta uteja, city anakaa round hiiSioni tukitoboa kwa City
Umemzungumza akiwa hana mpira, embu mzungumze akiwa ana mpira ana ofa nini?Aisee uliangalia mech ya fainal Community shield?
Kai as false 9 ,
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwez kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz
Kai akicheza CF ana advantage nyingi kuliko nketiah
Kai atakusaidia kwenye kiungo , Aerial duels, kuzunguka uwanja mzima .
Kai as LCM ana mapungufu kuliko Kai as CF ana upungufu wa ball striking tu
Hatuna wachezaji wa kuamua mechi Muda wowote, City licha ya majerui na kukosa baadhi ya key player ila wachezaji alio nao wana kuadhibu muda wowote vizuri tu.Tunafuta uteja, city anakaa round hii
Ila Kai akianza...siku itakua ndefu sana upande wetu
Tupunguze mahaba mkuu, kwa sasa Kai anatukaba bado anajitafuta
Ukiangalia last season Granit alikua anamsaidia sana Zinny kukaba na pia penetration passes kwenye box la mpinzani zilikua za kutosha
Kai bado hajafit kwenye mfumo, akifit wote tutaona mpira mchezo wa wazi kaka
Hivi nyumbu mnapata wapi nguvu za kuja humu kiumeni?Granit Xhaka sio kiungo mnyumbulifu kama Kai.
Kai magoli, King of aerial duel, pressing machine, Master of interchange.
Hizo ndio sifa timilifu za King Kai zilizothibitishwa na Masingeli Chambuzi nguli la soka lenye leseni yake ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi.
Kai piga kazi baba, tunaimani na wewe, wewe ndie mkombozi pekee tunaekutugemea utakae ivusha Asenyo kwenye bahari ya Shamu na kuifikisha kwenye nchi ya Ahadi.
In Kai we are trust bila yako wewe baba haya makombe ya Epl na Uefa tutaishia kuyaona tu kwenye video.
View attachment 2773604
Sijaweka mahaba , halafu Hakuna sehemu tunasema Kai kafit mfumo ,na sio kweli kwamba Kai anacheza vibaya au vzr ,hata average rating yake Ni 7.0, so huwezi kusema anacheza vibaya au vzr Sana ,tunachopinga Ni chuki zisizo na maanaTupunguze mahaba mkuu, kwa sasa Kai anatukaba bado anajitafuta
Ukiangalia last season Granit alikua anamsaidia sana Zinny kukaba na pia penetration passes kwenye box la mpinzani zilikua za kutosha
Kai bado hajafit kwenye mfumo, akifit wote tutaona mpira mchezo wa wazi kaka
Kama unafanya analysis vzr kabisa eneo la LCM wapo watu ambao wanaweza kukupa Radha tofauti na Kai na wanastahili kuanza ,vile vile kama unataka kumtumia Kai as CF na una nketiah, Kai ana faida kubwaUmemzungumza akiwa hana mpira, embu mzungumze akiwa ana mpira ana ofa nini?
Acha Uongo wewe na huyo Kai wako,hivi huo Mpira huwa unaangaliaga mwenyewe??UONGO UONGO tu,khaaaKama unafanya analysis vzr kabisa eneo la LCM wapo watu ambao wanaweza kukupa Radha tofauti na Kai na wanastahili kuanza ,vile vile kama unataka kumtumia Kai as CF na una nketiah, Kai ana faida kubwa
Labda uweke chuki ambazo sijui zinatoka wapi,
Mech na city, Community shield, Kai alicheza vzr tu as CF, na ni nafasi ambayo naona atatumika Sana sababu karejea Partey ,hivo Rice atashift LCM,
Kwa malayman wa soka ukimwambia mtu umuhimu wa Duels(aerial na ground) hawez kuelewa kamwe, mfano manjesta kwasasa timu nyingi zinawazid maeneo hayo ,ndio maana wanafikiwa kirahisi ,hawashindi mipira ya 50/50 ,
Unapocheza na City unahitaji kummatch maeneo mengi ,kwenye kiungo utamuhitaji CF wako arudi kusaidia ,Je nketiah anaweza hiyo kazi?
Utahitaji kiungo wa phase ya 2 wawe angalau wawili kupokea mipira ,Nketiha anaweza Hilo?
Pale mbele ukiwa na Jesus ,Kai una uhakika wakupora mipira au kuzuia isiende maeneo hatarishi ,sio nketiah
Kusema tu acha uongo bila kupinga hoja zangu kwa fact,huon Kama wewe Ni zezeta?Acha Uongo wewe na huyo Kai wako,hivi huo Mpira huwa unaangaliaga mwenyewe??UONGO UONGO tu,khaaa
utawaaminisha ujinga na kuwalisha matangopori haohao mazezeta wenzako,hujui lolote kwenye Mpira zaidi ya kuzungusha makalio tuKusema tu acha uongo bila kupinga hoja zangu kwa fact,huon Kama wewe Ni zezeta?
No research no right to speak
Pinga kila kipengere kwa hoja na mifano vivid,utaonekana una akili
ila kukurupuka tu kusema ACHA UONGO bila hoja
Mimi nakuona ni mtu mwenye chuki,Sonoma ,zezeta ,mpumbavu
Hivi mmesoma shule gani na vyuo gani hivyo msivyofundishwa kujibu hoja kwa hoja
Ndivyo wasomi tunavyoishi ,
Thus why sipend kujibizana Sana na akili ndogo ,maana akili ndogo haiwezi kujadiliana na akili kubwa .
Usiseme tu mtu hajui mpira.. Toa Facts tukusikilize.utawaaminisha ujinga na kuwalisha matangopori haohao mazezeta wenzako,hujui lolote kwenye Mpira zaidi ya kuzungusha makalio tu
Hili swali mbona lilijibiwa SanaKiukweli kai bado hajafikia mchango wa alichokitoa xhaka. Kwa upande wangu kama martineli hatakuwepo ningependa Kai acheze 9 jesus na saka pembeni
Toa fact tukuelewe ,utawaaminisha ujinga na kuwalisha matangopori haohao mazezeta wenzako,hujui lolote kwenye Mpira zaidi ya kuzungusha makalio tu