Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,520
- 2,251
Kuna mashabiki wa Arsenal ni mapimbi balaa. Pia nadhani ni madogo.Mbona watu wanatema nyongo kama vile arsenal hawezi kufungwa. Nimeamini kuna mashabiki wa arsenal viazi yani wanafata mkumbo . Mbona me naona ni kitu cha kawaida.
Kweli hao ni majanja... nimeamini hilo haiwezekani kila kitu mtu anapinga. Bora hata mtu apinge atoe Facts. Bado anaongea pumba kana kwamba hajui anachoongelea ni niniKuna mashabiki wa Arsenal ni mapimbi balaa. Pia nadhani ni madogo.
Kaka arteta bado anasumbuka sana na michuano ya ulaya (yuropa na yuefa) haihitaji urembo urembo sana bali mpira wa magoli na kuzuia....Ukiangalia hiz stats unaona kabisa ,Arsenal kufungwa Ni sawa na Kujikwaa au kunguru kumnyea mtu ,
Wale Ndugu zangu hata kukaa na mpira hawawezi
Ni mpumbavu pekee Tena ajitokeze hapa aseme Arsenal hataongoza hili grupu
Swala la kupita Ni lalazima , nazungumzia Kuongoza kundi
Anayejiamin hatutaongoza Hili kundi ajitokeze tuweke mzigo , Sitaki maneno mengi ,Timu ikifungwa ndio mnajitokeza View attachment 2771228
Ni mapimbi ambao hata kwenye maisha ya kawaida yakipata changamoto yanapata stress na kuanza kulaumu wengine.Kweli hao ni majanja... nimeamini hilo haiwezekani kila kitu mtu anapinga. Bora hata mtu apinge atoe Facts. Bado anaongea pumba kana kwamba hajui anachoongelea ni nini
hamis77 utatukanwa sana.. Ni vile watu wengine hapa tunaheshimu mawazo ya mtu na hatuna kauli kali. Ni ngumu mtu kumuaminisha uongo kwa watu wenye uelewa na hicho kitu. Inatia hasira sana aisee.
Wewe Kama naniArteta anafikiri atambadilisha kai kama alivyombadili xhaka,anashindwa kutambua muda haumsubiri fezi foo sio ya kumsubiria mchezaji abadilike...
Kai anafanya timu icheze kwa kumsubiria yeye maana anatabia ya kujichanganya changanya umiliki wa mpira bado sio mzuri,akiwa na boli haelewi afanye nn anajikuta anapuyanga.
Siku atakayokubali kai ni taka taka ndio itakuwa muda umepita na saa zimeenda
Waliokaribu na arteta wampelekee ujumbe huu kuwa akubali kumtumia kai dk 30-20 za mwisho tu zitamtosha kujitafuta.
Kitendo cha kupewa penati apige jmo kinaonyesha mpaka sasa kai anaitegemea timu na sio timu kumtegemea yeye...
Oya ,kichaka Cha kujifichia kwangu ,Mara sijui naaminisha watu ,sijui Nini achana navyoKwa hio Masingeli hua kazi yake humu ni kuwaaminisha watu uongo?
Masingeli tafuta pango la kwenda kujificha mapema kabisa ndugu yangu, maana mwisho wa msimu mashabiki wa Arsenyo watakukula nyama aiseeeee. View attachment 2771297
Sio Arsenal fans hao Ni wahuni tuNi mapimbi ambao hata kwenye maisha ya kawaida yakipata changamoto yanapata stress na kuanza kulaumu wengine.
Kuwasagia kunguni??🤠🤠...tunawasema kwa sababu Hawa walipaswa wawe wakubwa wenzetu...hutakiwi kufungwa hovyohovyo timu kubwa...Man Shitty kadundwa wikiendi EPL unaona kuna mapovu sana kwni??...ni kwa sababu unajua hawawezi kufungwa hvyohvyo...Kila timu itapitia kipindi flani ndani ya msimu form inashuka kidogo....ila Manunu wao tangu mwaka jana ulikuwa unaweza kabisa kutabiri hadi mechi watazofungwa tena na timu za kawaida kabisa....Sasa chukua hii.... Liverpool... Aston villa... Nyukesto...West Ham..Man City hata usiwaweke....maana inajulikana watawadunda tu...hzo mechi zte anaenda kugawa kwa watu kilaini kabisa....bado zile atakazobahatisha sare....hatutakubali washuke daraja wenzetu....lazima tuwapambanieUnajua kwann Man u si habri tena kufungwa kwasababu ninyi mbawasagia sana kunguni man u.
Wewe msenge unawashwa Sana nikupe location
Kazi ya Chelsea msimu huu ni kuicheka Arsenal ikishiriki Uefa
Simple words baba kaenda kutafuta ugali halfu nyumbani kabaki .........
Kuwasagia kunguni??...tunawasema kwa sababu Hawa walipaswa wawe wakubwa wenzetu...hutakiwi kufungwa hovyohovyo timu kubwa...Man Shitty kadundwa wikiendi EPL unaona kuna mapovu sana kwni??...ni kwa sababu unajua hawawezi kufungwa hvyohvyo...Kila timu itapitia kipindi flani ndani ya msimu form inashuka kidogo....ila Manunu wao tangu mwaka jana ulikuwa unaweza kabisa kutabiri hadi mechi watazofungwa tena na timu za kawaida kabisa....Sasa chukua hii.... Liverpool... Aston villa... Nyukesto...West Ham..Man City hata usiwaweke....maana inajulikana watawadunda tu...hzo mechi zte anaenda kugawa kwa watu kilaini kabisa....bado zile atakazobahatisha sare....hatutakubali washuke daraja wenzetu....lazima tuwapambanie
Kungekua na uwezekano wa ku like zaidi ya mara moja basi ninge like!Tukiacha makosa binafsi ya wachezaji ambapo ni kawaida kwenye mpira, lakini tatizo la Arsenal linaanzia na Kai Havertz... Tutaonekana tuna chuki lakini ukweli ni kwamba tujiulize huyu mchezaji ameipa Arsenal kitu gani kipya ambacho Arsenal msimu uliopita walikikosa? Zaidi ni kuifanya Arsenal kuwa very Shamble kule mbele lakini bado anapewa gametime ya kutosha kuliko uwezo wake wakati nje tuna watu ambao wana uwezo wa kufanya attacking kuliko Havertz. Shame on Mikel Arteta. Mashabiki wa Arsenal wengi ni wanafki sana na hawajitambui wanataka nini. Nilishangaa sana hata mechi iliyopita anaimbiwa nyimbo kisa kafunga Penalty. ESR kwa uwezo wake sioni sababu ya kuendelea kubaki Arsenal, kuna muda mapenzi na timu inabidi uweke pembeni uangalie future zaidi. Amefika kwenye umri ambao inahitaji kucheza sana kufika kwenye peak yake. Sio kukaa nje na kumuangalia mtu mvivu na jinga moja kama Kai Havertz linaanza juu yako. Huko ni kudharauliwa.
Kamuonye huyo jamaa amenitukana Sana Kama Mara 10 sikumjibu Wala sikuona kenge yeyote akimuonyaMkuu matusi siyo mazuri. Futbol ni furaha, burudani na matani haya matusi yanatuaribia sana sisi wapenda matani
Wewe si una timu nzuri ,?sawa sisi Chelseaa furaha yetu kuona mnavyostaabika UEFA pamoja mkubwa mwenzenu man U
Ila si mmechezea kichapo?Shabiki wa chelkenge ,timu ina points Single Digit
Nafas ya 11th
Unapata wapi nguvu ya kupiga ngendembwe humu
Kama unajiamini ,Arsenal hataongoza Hilo grupu
Weka laki 1 na mm niweke laki 1
Ili maneno yasiwe mengi
Manjesta ana point 0 sawa na Chelsea