Hao Wana mihemko timu zao mbovuhamis77 utatukanwa sana.. Ni vile watu wengine hapa tunaheshimu mawazo ya mtu na hatuna kauli kali. Ni ngumu mtu kumuaminisha uongo kwa watu wenye uelewa na hicho kitu. Inatia hasira sana aisee.
Wewe Ni chelkenge?Hawana uwezo huo.
Acha maneno mengi🤠🤠🤣🤣...sijui grup la kuwahiana sijui rotation nyng...HAPANA hiyo hatutaki...sisi leo tunataka tuone bolu likipigwa na binafsi ntakuwa bega kwa bega na ndugu Mbappe...Ramsdale mechi ya jana isingemfaa whether ukubali au ukatae....wale Lens wanapress vzuri sana...ile mipira angekuwa anabutuabutua sana na kutuweka under pressure...tunazungumza tactically hapa sio ushabiki...PSV mwaka jana ugenini si tulitunguliwa na Ramsdale akiwa pale golini na mechi tuliishika vzuri tu....kwhyo hyo sio sababu kwmba yy ni mzuri sana kuliko Raya....tunakubali tumefungwa🤠🤠...ongeeni ndugu zetu...ikifika saa nne usiku na sisi tunaanza kuwawangia....ize tuHapo nimeweka ushabiki pembeni mkuu, kuona ramsdale hafai eti game ya lens ingemshinda huo ni uongo na unafiki wa hali ya juu sana. Ramsdale huyu huyu kawaokoa match against big teams zenye striker wa maana then anatokea mtu anasema game na lens ingemshinda haya si maajabu yani unamuongelea ramsdale kama vile unamuongelea hein au turner .
Wewe tulia ushapigwa misumari 2 na lens , uone kesho kikosi cha maana kinacheza PSG kaingia kwa mtakatifu james pale chochote kinaweza kutokea . Halafu group letu unalijua ni group la namna gani so ni timing PSG akiingia kwenye mfumo usishangae kuona anakufa kamba za kutosha.
Hili ni group la kuwaiana atakayewahi ndo huyo huyo mshindi
Njoo uone maana ya kikosi kipana sio nyie kila game wachezaji walewale tu Newcastle tunapiga rotation ya kutosha kama vile rotation formula zile I=∑mir2i.
HayaSubiri alhamis futuhi
Manjesta wamelambwa
Wameona humu ndio kwa kuhemea
Maneno ya mkosaji haya mkuu...tukubali tu defensively leo tumefanya makosa mengi na yametugharimu...magoli yte mawili ni uzembe tu...Man U kufungwa sio habari tena ila arsenal kufungwa ndo habari kubwa kwa leo....wacha waje watusagie kunguni na kina Labyrinth 84...ila kesho na sisi tutakuwa pamoja na Mbappe atufute machozi
First loss of the season is from Lens, a French side.
So chelkenge na nyumbu hua wanajisikia hivi kila wiki
Kai ni 0 tukim ², tukimzidisha kwa 10 vyovyote vile, hakuna kitu, hata tukim differrentiate, ni BUYU tuanahitaji mabadiliko makubwa saana, bora nafasi yake acheze smith rowe
Arteta anafikiri atambadilisha kai kama alivyombadili xhaka😂😂😂,anashindwa kutambua muda haumsubiri fezi foo sio ya kumsubiria mchezaji abadilike😂😂😂...Tukiacha makosa binafsi ya wachezaji ambapo ni kawaida kwenye mpira, lakini tatizo la Arsenal linaanzia na Kai Havertz... Tutaonekana tuna chuki lakini ukweli ni kwamba tujiulize huyu mchezaji ameipa Arsenal kitu gani kipya ambacho Arsenal msimu uliopita walikikosa? Zaidi ni kuifanya Arsenal kuwa very Shamble kule mbele lakini bado anapewa gametime ya kutosha kuliko uwezo wake wakati nje tuna watu ambao wana uwezo wa kufanya attacking kuliko Havertz. Shame on Mikel Arteta. Mashabiki wa Arsenal wengi ni wanafki sana na hawajitambui wanataka nini. Nilishangaa sana hata mechi iliyopita anaimbiwa nyimbo kisa kafunga Penalty. ESR kwa uwezo wake sioni sababu ya kuendelea kubaki Arsenal, kuna muda mapenzi na timu inabidi uweke pembeni uangalie future zaidi. Amefika kwenye umri ambao inahitaji kucheza sana kufika kwenye peak yake. Sio kukaa nje na kumuangalia mtu mvivu na jinga moja kama Kai Havertz linaanza juu yako. Huko ni kudharauliwa.
wewe kama nani unasema sana.Nimeshasema sana hapa kwamba Arteta ni kocha wa mid-table teams. Hana mbinu za kushindania makombe makubwa. Yupo too predictable.
Huwezi kwenda champions league unacheza mpira wa back passes namna ile halafu useme unashindana. Mwaka jana wale Sporting CP walitutoa kwa kucheza mpira exactly kama walivyocheza Lens jana.
Sasa hivi amebakia Saliba, Jesus na Rice ndio wanaonyesha tofauti. Wachezaji wengine wote wamebaki na mentality za kitoto. Zinchenko na Odegaard ni wachezaji wa mechi laini tu.
Yote haya ni tatizo la Arteta kubakia na mentality ya mid-table teams. Sehemu ya kufanya transition na kwenda faster kupiga counter unashangaa mchezaji akifika katikati anasimama na kusubiria opponents warudi kujipanga.
Kwa uchezaji wa aina hii tusahau milele kubeba kombe lolote kubwa. Timu zote, hata Barcelona enzi zile ipo moto ilikuwa inapiga pasi nyingi lakini sehemu ya counter wanapiga. Sasa sisi kila siku tunacheza style ileile.