Katika mech ambayo sijaumia kufungwa hiiManeno ya mkosaji haya mkuu...tukubali tu defensively leo tumefanya makosa mengi na yametugharimu...magoli yte mawili ni uzembe tu...Man U kufungwa sio habari tena ila arsenal kufungwa ndo habari kubwa kwa leo....wacha waje watusagie kunguni na kina Labyrinth 84...ila kesho na sisi tutakuwa pamoja na Mbappe atufute machozi
Nyumbu wamekuja humu kusaka furahaFirst loss of the season is from Lens, a French side.
So chelkenge na nyumbu hua wanajisikia hivi kila wiki
Game na city ndio ya kuumiza kichwa,Kaka katika kitu siwazi ni kufungwa leo wallah hata sijaumia maana najua bado tuna mechi za kucheza
True , kinachochekesha wamekuja kusaka furaha fekiGame na city ndio ya kuumiza kichwa,
Group stage alafu ndio kwanza game ya pili. Hizi no hasira za maendeleo ya arsenal kwenye modern football
Acha wateme nyongo tu
Weka ushabiki na mapenzi pembeni, hii mechi angecheza Ramsdale asingeiweza.. Kwa namna Lens wanavyo press Ramsdale angefanya makosa mengi sana.Can't change my mind. Raya wakawaida sana, hakuwa tested enough ila Ramsdale is better.
It doesn't surprise me, Arsenal ni timu kubwa bro!Nobody cares kuhusu nyumbu, nowdays nyumbu kupigwa ni Jambo la kawaida
Ila akipigwa arsenal ni habari ya kutikisa jiji
Habari manjesta anaburuza mkiaKwani kuna habari gani humu si tulikubaliana UEFA hakuna timu ngumu kuzidi Manchester City!!!!
Huyu Kai atakuja kumgombanisha arteta na mashabiki
Manyumbu inatakiwa washinde mechi zilizobaki ili wapate nafasi ya kwenda mbele.Kaka katika kitu siwazi ni kufungwa leo wallah hata sijaumia maana najua bado tuna mechi za kucheza
Weka ushabiki na mapenzi pembeni, hii mechi angecheza Ramsdale asingeiweza.. Kwa namna Lens wanavyo press Ramsdale angefanya makosa mengi sana.
Kwanza Ramsdale hayupo comfortable na mpira ukilinganisha na Raya. Pili footwork yake sio nzuri ambayo ingewapa pressing advantage timu pinzani mana wangekua wanaokota mipira yote ya juu na kutuweka under tension muda wote.
Sevilla wanasema msimu huu hawana mpango na Europa watabanana huku huku UEFA Arse8 hamuogopi?Habari manjesta anaburuza mkia View attachment 2771103
Najua kufungwa leo Ni ajari kazini tu , Still Hilo kund tutaongoza ,achilia kupita ,Manyumbu inatakiwa washinde mechi zilizobaki ili wapate nafasi ya kwenda mbele.
Mechi ya kushinda tena kwao ndo hii wamegongwa. Bado wana mechi na Gala away, hawajamalizana na Bayern na huyo Copenhagen wanaemuona underdog ndo kamtoa jasho mkubwa wao kwenye kundi.
We twende tu hivi hivi, soon mafuta yatatengana na maji.
Wataenda Europa, wenye UEFA yetu tutaendelea!
Kwahiyo Raya hajui kudaka?Hakuna anayejitahi footwork kwa kipa. Kama unataka footwork nenda kwa nyanda la dunia Onana. Kipa kazi yake ni kudaka period.
Kwenye kundi tuko nafasi ya 2 bado game zipo nyingi nafasi ya kwanza katuacha one point sasa sijui kinawasumbua nini We arsenal still have a chance to lead the group,Nyie mkaomboleze hamna hata point 1 nyumbuzi hahaha..Masingeli kwa hizo false hopes unazowapa mashabiki wa Arsenyo humu mwisho wa msimu usipojipiga ban mwenyewe na kubadili Id nitaamini kweli wewe ni Cha-mbuzi la FIFA.
#Nyumbu na Arsenyo zinarudi kucheza Futuhi.