Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sehemu ya Kai acheze Jesus
Sehemu ya Jesus acheze trossad
Tactically tunahitaji mtu mmoja wa pemben ambaye Ni Runner tumtumie kwenye transition ,thus why Mikel anapenda kuanza na Martinelli over Trossard

Mancity wakipoteza mpira wanarud kwenye rest defence Yao yenye 4CBs , bila kuwa na runner inakuwa ngumu kuwafungua

Kaangalie magoli wanayofungwa lazima awepo Runner ,Juz Pedro Neto kawakimbiza kutoka mbali Hadi Goli .

Saka anategemea 1v1 huwez kumkuta kwenye kutanguliziwa mpira mbele ,


Trossard the same

Nime prefer Jesus sababu

Atacheza Kama Winger asilia
Atatusaidia kufanya pressing Ni best kwenye pressing ,plus Kai Ni best kwenye pressing, na saka

So tutakuwa na pressing nzuri pale mbele
Lakini tukifanya transition ,Jesus Ni mzuri kukimbia nyuma ya mabeki

Hii ndio sababu na prefer tuanze na

Jesus Kai Saka
 
Mnavyo mtetea utasema kinda la miaka 18 ndio linajitafuta

#jokes
 
I got u
 
No one talks about the £105M spent on Declan Rice anymore.

Each time I watch him play I always wonder how we managed to scãm Westham. In an era where Caicedo goes for £115m then Declan should have been something like £185-190m

He tackles hard, intercepts smartly, dribbles past the midfield and play the pass with flair.

105 million pounds. What a bargain. Every game he puts a solid performance. Wins duels, completes interceptions, drives through the oppositions midfield and has insanely accurate passing. We owe West Ham 100 million more.

You all can now see why pep bid £90m for him. It wasn't because he desperately wanted him like arteta did, it was because he didn't want Arsenal and Arteta to have him in their side
 
Licha ya kutomaliza game dhidi ya Bournemouth sababu ya majeraha lakini leo saka yupo mazoezini

Tbh naishiwa maneno linapokuja suala la kumuelezea saka inshort he destined for Greatness.

YOUNG KING
 
Ukiwa na beki kama hii nyuma, na kipa kama Raya.. Clean sheet ni za kujiokotea tu!

 
Pedro Neto:


"If you want to be a football player, then you have to watch English football...My favourite team was Arsenal."
Tumchukue huyu January, ni winga mzuri japo ni mtu wa majeruhi.

Atasaidia kwenye rotation ili Saka nae apumzike. Pia ataongeza quality.

Na round ya pili ndio huwa na majeruhi sana kwa sababu kuna mechi nyingi za kufatana kwenye mashindano tofauti.

Tuchukue huyu na Ivan Toney, wengine namuachia Arteta mwenyewe.. then we are set for EPL/UCL/FA/EFL title races.
 
Kiazi Kai Harvert atolewe kwa mkopo
 
Chelsea tunakuja kutoa hiyo bikra, uliza gari lishawaka huko, kama huamini muulize De zebri.
 
Huyu jamaa msimu huu amekuja kivingine ,anauwasha Sana Neto ,halafu linapiga winger zote

Toney naona tuna nafasi kubwa kumchukua Tena kwa Bei nzuri tu

Ivan Toney is another concrete target under consideration at Arsenal & he is looking like the priority for January. [@RyanTaylorSport]
 
Kuna mjapan mmoja yupo real sociedad nimesikia tunahusishwa naye anaitwa Takefuso Kubo, hatari sana huyo mtu, jaribu kumfatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…