Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,910
- 1,730
tunakutaka wewe sisi liver hatumtakiKai kaubonda mwingi sana, alikua anagawa miassist kama yote ila mfungaji ndio hakuna, Tomiyasu leo kapiga kazi kwelikweli akitoka uwanjani moja kwa moja anaenda kujitupia kitandani na viatu vyake.
Daaaahhh mwanangu mwenyewe Mwaisa (Wissa) pamoja na Mbouma leo migoli ilikua inawakatalia kuingia wavuni yaani kila wakilenga goli mpira unaishia kugonga besela au unatoka nje.
Jini katoka ila mganga hana hamu yu taabani.
Arsenyo mechi inayofata wacheze tu na Liverpool kisha wapewe kombe lao maana Masterclass, The genius, Tactician hata akiwapanga Ball boys first eleven bado ana uhakika wa kuchukua 3points.
#Arsenyo Treble
#Nketiah Kiatu
#Kai Ballon D'or
Big club in England sio arsenal tu, zipo zaidi ya 6 brother....huyo kazivutia zote top six[emoji2788] Victor Osimhen [2020]
βI spoke with Arsene Wenger after the tournament (Under-17 World Cup) ended and he wanted me to come to Arsenal...Of course, one day I'd like to play for a big club in Englandβ
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo Masingeli ni Motivational speaker wala hatupi tabu tumeshamzea.Kwa kauli kama hii ndio hua unawatbua kina Flano na genge lake[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama ndoto yake ni kucheza England ila sidhani kama Madrid wakimtaka kwenda kuziba pengo la Benzama atachomoa.Big club in England sio arsenal tu, zipo zaidi ya 6 brother....huyo kazivutia zote top six
Wewe haugopi kucheza na bingwa mtetezi?tunakutaka wewe sisi liver hatumtaki
Ofkoz gemu na Nyukesto mtashinda vzuri tu na sisi wale watoto wadogo West Ham tutaenda kuwafundisha bolu pale kwaoπ€ π€ π€ ....baada ya hapo tutakutana na nyny na nna wasiwasi mtakuja tena Imarate....tuje kuwafundisha tena nn maana ya kuovalodi kiungoπ€ π€Wewe haugopi kucheza na bingwa mtetezi?
Mwenzio Masingeli anaomba dua tutolewe na Newcastle ili asijekukutana na mbogo alietoka kujeruhiwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Natamani iwe ivo lakini karoho kananisutaKai kaubonda mwingi sana, alikua anagawa miassist kama yote ila mfungaji ndio hakuna, Tomiyasu leo kapiga kazi kwelikweli akitoka uwanjani moja kwa moja anaenda kujitupia kitandani na viatu vyake.
Daaaahhh mwanangu mwenyewe Mwaisa (Wissa) pamoja na Mbouma leo migoli ilikua inawakatalia kuingia wavuni yaani kila wakilenga goli mpira unaishia kugonga besela au unatoka nje.
Jini katoka ila mganga hana hamu yu taabani.
Arsenyo mechi inayofata wacheze tu na Liverpool kisha wapewe kombe lao maana Masterclass, The genius, Tactician hata akiwapanga Ball boys first eleven bado ana uhakika wa kuchukua 3points.
#Arsenyo Treble
#Nketiah Kiatu
#Kai Ballon D'or
Tunao ijua arsenal tunaelewa haina madhara kwenye makombe, licha ya mashabiki wake kupiga nduru humu ila matokeo ya mwisho tunajua mnamaliza trophy less.[emoji736] 0-1 vs. Brentford
[emoji1666] 2-2 vs. Tottenham
[emoji736] 4-0 vs. PSV
[emoji736] 0-1 vs. Everton
[emoji736] 3-1 vs. Manchester United
[emoji1666] 2-2 vs. Fulham
[emoji736] 0-1 vs. Crystal Palace
[emoji736] 2-1 vs. Nottingham Forest
Ukiwasikiliza watu humu unaweza dhani arsenal imepoteza mechi 7
Unataka ku discuss nn....mechi zinachezwa kesho....Mmeshaanza kupakimbia humu ndani mapema hivi.π
Kabla ligi haijaanza uzi ulikuwa unapata baridi kileleni. Baada ya mechi kadhaa wanakuja kila baada ya ya masaa saba. Ikifika December uzi ushasahulika kama ule wa TottenhamMmeshaanza kupakimbia humu ndani mapema hivi.[emoji16]
Nabii Kibajaji01Tunao ijua arsenal tunaelewa haina madhara kwenye makombe, licha ya mashabiki wake kupiga nduru humu ila matokeo ya mwisho tunajua mnamaliza trophy less.
π³π³Nasikia saliba nae Amepata Injury [emoji29]
Aisee π€Nasikia saliba nae Amepata Injury [emoji29]
Saliba....Saka na Rice wte wapo kwny kikosi kinachoenda kucheza na Bournemouth...Martinelli na Trossard haijajulikanaπ³π³
Tumekwisha kama ni kweli..
Itabidi ben white arudi pale kati.