Droo 2 tu mmeshakimbia na jukwaa mkiikosa top 4 si mtajipiga life banLeta hoja tu discuss....inaonekana msimu huu hatutakiwi kufungwa maana tume draw tu walimwengu mmetushukia kwlikwli🤠🤠🤠....Man U naangalia ratiba yenu nione ni wiki gani mtaanza kumtukana bwana Rashidi Makame tena kwa ubinafsi wake🤠🤠🤠....
Nani kakimbia mkuu....watu wana majukumu wakipata nafasi wanachangia ndo maana nikakwambia weka hoja zitajibiwa....muache kukimbia nyny wazee wa kaunta za Bruno tukimbie sisi kwli????....tofauti ya mtu wa pili na sisi ni Point 2...tunakkmbiaje sasa mkuuDroo 2 tu mmeshakimbia na jukwaa mkiikosa top 4 si mtajipiga life ban
Na mkileta ujinga nitaanza kuuza bidhaa zangu za chakula humu, Hamko serious miaka mingi.
mwanzo wa msimu tu majeruhi yameanza kutuandamaArteta on Saka:
He was limping quite badly after the match. We had to get him off the field. He hasn’t been able to participate in the session. It’s a possibility (he could miss Bournemouth).
Hapo akiumia na Ordegard tutaanza kuongea lugha moja.Arteta on Saka:
He was limping quite badly after the match. We had to get him off the field. He hasn’t been able to participate in the session. It’s a possibility (he could miss Bournemouth).
Wanatakiwa wawe wanafanyiwa rotation...so as to stay fresh....too many minutes nazo zinazingua....Partey akirudi majeruhi asiwe anacheza mechi nyng maana ile ni pancha kwlikwliArteta on Saka:
He was limping quite badly after the match. We had to get him off the field. He hasn’t been able to participate in the session. It’s a possibility (he could miss Bournemouth).
Pambaneni sisi venye tulikuwa tunalia lia mnakuja kucheka cheka kama malaya kule acha mpigwe.Haya majeruhi, yatatuharibia shughuli. majeruhi ni arui wa mafanikio kwenye soka, kwa mchezaji binafsi na timu kiujumla.
Oya wee sio unaongea kama huna pumbu, hujaniona nikiwacheka hao man u kwa majeruhi lakini pia sijawahi kukuita jina la hovyo albabu..Pambaneni sisi venye tulikuwa tunalia lia mnakuja kucheka cheka kama malaya kule acha mpigwe.View attachment 2764250