Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kumbe na wewe ile proposal uliiona?
Aiseee mi nilivyoona ile kauli nilibaki mdomo wazi nikawa nasali kimoyomoyo ili wewe usije ukaiona maana nilijua ukiiona tu mzee wa maevidence na mavivid examples basi tayari Arsenyau wamekwisha

Ile wewe jamaa uwepo wako humu hua ni faraja kubwa sasa kwetu sisi wapinzani wa Arsenyo.
 
Nazidi kumuelewa pep kwanini kila dirisha ananunua na kuuza baadhi ya wachezaji unoweza kuwaona wa muhimu

hii draw imeanza kufanya akili ziwakae sawa , bado kidogo tu akili zitakuwa zimewakaa sawa sawa kabisa.

Mbona kama vile unataka kumtupia lawama arteta hata na yeye ananunua na kuuza baadhi ya wachezaji wa muhimu , shaka kauzwa then kaja kai havertz, Rice kanunuliwa then kauzwa lokonga sasa shida iko wapi.
 
Umepata kwa kupumua Sasa

Ila manjesta Msimu huu nasema hivi mtakonda Sana

Yaan kumbahatisha Burney ,tayari mshaanza midomo
 
Namna navyotazama mpira na kuutafsiri kama mchezo nitofauti kabisa na wewe mkuu.
Naheshimu mawazo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…