Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siwezi kusema Havertz kacheza vibaya, ila kuna muda una matarajio nae at the end anaku-disappoint.

Ana mwili mkubwa lakini bado anakosa physicality.

Kuna muda anapewa mpira pembeni lakini unakosa kabisa matumaini kama atafanya jambo la maana.

Mimi nitaendelea kulia na Arteta tu! Anajikuta ni genius kumbe hamna kitu.
 
Tukiwa kamili na kile kikosi cha kwanza chte....we have a chance ila hiki kiungo cha Jorginho hakyanani tutaomba mpira uishe
Na city nayo ikiwa kamili jee tuseme mpo full fit squad na city wako full fit squad aisee city ni dimension nyengine wale

They are regarded as the best team right now for a reason na wengi wanaojua mpira wanalijua hilo ila still mtakuwa na something to prove mkiwa full fit
 
Kwa ambao hawajaangalia mpira kabisa, kwa kifupi leo tulikua ugenini!

Spurs walikua better team mwanzo hadi mwisho wa mechi. Ile sharpness!


Na nadiriki kusema walistahili kuondoka na point zote 3.
Masingeli anakwambia Jojinyo leo ndio MoM, vipi Kai Harvez leo alikua ananyumbulika kama kawaida yake?
Nimesikitika sana mechi ya leo nimeikosa nilikua msibani, raha sana kuangalia Teta ball inapigika au ina draw
 
Tukiwa kamili na kile kikosi cha kwanza chte....we have a chance ila hiki kiungo cha Jorginho hakyanani tutaomba mpira uishe
Last season kawapiga aggregate ya (7-2)
Away 1-3
Home 4-1

Siri yakuwafunga hawa ni kuwa heshimu na ku display mpira mzuri but mainly ni kum outplay pep's tactics easy win kwenu mbali na hapo ata invert mid field isiyo eleweka mkapoteana hapo kati

Nina 100% kwasasa kipara chake kinawaka moto ku overcome pengo la rodri hapo anapiga hesabu za kumpeleka ederson CM acheze na stones mpaka apate jibu maana akikutana na arteta anataka amuonyeshe mwanafunzi wake kuwa still yeye ndio mentor wake and it will always be lik that

Moto utawaka
 
Sasa unashindwa kumfunga Spurs halafu uutake ubingwa.

Game week 6 droo 2 bado hujacheza na City, Liverpool, Newcastle, Brighton. Amkeni nyie mwaka huu hamna ubavu wa kugombania ubingwa.
Dah mkuu huu ujasiri unautoa wapi?
 
Arteta aache u genius.He still has alot to learn.
 
Hawa top four yao,, ila sio ubingwa.

Na tim za msimu huu sio mbovu kama msimu uliopita
Hahaa very funny.
Kwa arsenal iliyopita miaka kadhaa nyuma anakosa key players kama
partey
Timber
Trossard
Martinell


Na bado kwenye Derby kama hii unapata draw.Its not ready but we see the light. Spurs walikuja wana uhakika kwamba hii game wanashinda.
They outplayed us yes but tumepata point moja
 
Ndo maana nikasema we have a chance....sijasema tutashinda....fully fit squad against them then unaweza ukapata kitu....ila tukianza na hiki kikosi kilichomaliza leo...aisee Saliba na Malgalhaes watakuwa na siku ndefu sana siku hyo
 
Hata hivyo timu ilikua haimove in a way kwamba unaona zile sharp pass na movements ilikua kama tuna kutu vile.

Bado shot taker ni Martin. Saka kascore kwa long shot ila baada ya pale amefanya trial ngapi zingine za long shot.

Saka alimpa njano Udogie mapema sana lakini timu ikaleta tabia za kuridhika na goli wakati ilitakiwa kuzidi kupeleka mpira kule kule kwakua Udogie hawezi risk kuipata njano nyingine

Spurs wanajaribu kudominate game ila unaona error ya pasi zao tungekua na Martinelli au Trossard pembeni na Jesus kati zile pasi wasingepiga. Arteta aamini ya kwamba kwa sasa kumuanzisha Emile ni ideal kuliko Kai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…