Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kaka lile goli la kwanza la soton inachangiwaje na saliba? Hata gem na city goli la kdb angeweza lizuia

Shida yake ni moja hana utulivu ana mapepe sana golini
Hata game Ile ya liver, wengine wakamtetea ameumia.

Haya magoli wanayotufungaga manyumbu ni mepesi tu, ikipigwa counter Ramsdale anakuwa na wenge, ukimlenga, kamba. Unaishia kumtukana tu
 
◉ Ødegaard new deal at final stages;

◉ Fantastic connection Arteta-Edu;

◉ White new deal, Nwaneri future new contract;

◉ Coaching staff impressed by Raya;

◉ Toney deal conditions clear;

#AFC Here we go podcast @MenInBlazers — full episode: wondery.com/links/the-here…
 
Nyie kondoo ngoja huyo golikipa wenu akishaanza kutoboka goli nyingi mtaanza kumkumbuka Ramsdile, Raya hamna kitu mule. Yaani ukamsifie kipa kw timu ya Everton hii inayopaki basi, nyie kweli ni kondoo. Au PSV hii ambayo inatoka ligi dhaifu.
 
Aliemuelewa huyu kaandika nini atusaidie..
 
Hakuna kondoo atakaelewa nilichokiandika.

Sure kabisa hakuna kondoo ataelewa ulichoandika, wanaenda na upepo tu hawa ndo maana ya kondoo ukimwambia sasa tunaenda huku yeye anafuata tu.

Ramsdale saivi wanamponda kabisa mpaka unashangaa hawa fans wa false hope team wakoje wamesahau kabisa zile save alizofanya against liverpool, Bournemouth, Brentford na Tottenham.

Game za Raya 2 tena against Everton & PSV ambazo everton alikua ana shot 1 on target.
Sema sio kitu cha ajabu kwa ma false hopers
yaani kuwa arsenal fan ni kituko kabisa.
 
Brighton kamiliki mpira kwa 70% ila ameshindwa mzuia Athens.

Athens ni regular wa mashindano wakati Brighton ni mara yao ya kwanza kua hapo. Either way bado siamini kama Athens ni wazuri mno kuliko United.

Shida ya united ni kocha
 
Suala la kutoboa ni jingine kabisa, na kumwamini kocha anachokifanya ni suala lingine. Wewe sasa hivi una haki ya kutomwamini ETH, ila mimi Kama shabiki la Arsenal namwamini Arteta, mwache afanye kazi.
 
Flano Kai hasifiwi (sio BONGE la chezaji) ila sio mbovu kama anavyosagiwa kunguni.
 
Nyie kondoo ngoja huyo golikipa wenu akishaanza kutoboka goli nyingi mtaanza kumkumbuka Ramsdile, Raya hamna kitu mule. Yaani ukamsifie kipa kw timu ya Everton hii inayopaki basi, nyie kweli ni kondoo. Au PSV hii ambayo inatoka ligi dhaifu.
Badala ufatilie timu lako bovu litatoboaje hapa lisiingie kwenye kushuka daraja

Unakuja kupiga ramli chonganishi humu

PSV Wana uwezo mkubwa kuliko timu lako la ukengeni

Everton unaowadharau akishinda mechi moja tu anakupeleka mkiani

Tofauti ya Everton na chelkenge Ni ipi
 
Brighton kamiliki mpira kwa 70% ila ameshindwa mzuia Athens.

Athens ni regular wa mashindano wakati Brighton ni mara yao ya kwanza kua hapo. Either way bado siamini kama Athens ni wazuri mno kuliko United.

Shida ya united ni kocha
Kwani, statistically, 7ha si amefanya vizuri sana tu? Last season walianza vibaya lakini aliipandisha timu mpaka kumaliza top four. Msimu huu mechi si zimechezwa chache sana? Si wanapaswa wamuache zake tu asuke arekebishe mapunufu yanayowasumbua na wakae vizuri tena?
 
Flano Kai hasifiwi (sio BONGE la chezaji) ila sio mbovu kama anavyosagiwa kunguni.
Kuna ndugu zako humu kazi yao ni kumsifia Kai kama vile hapo Arsenal hakuna wachezaji wenye uwezo kuliko Kai, mbaya zaidi wanalazimisha kumfananisha Kai na fundi Ozil, hawa jamaa mimi ndio sikubaliani nao na nikiwaambia Kai ni average player wanakasirika na wengine wanasusa mpaka kula.
 
Jamaaa anajua mpira kiuhalisia,hata goli alilofunga sio rahisi kihivyo
 
Narejea hapo ulipojibu nilichomuuliza ZittoJr,

Mim pia nilikua miongoni mwa niliokua na mashaka makubwa kwenye eneo ilo la Dm kwa Rice ila ulivyoanza kujibu ni kama nimeuliza kwa kutaka kumkosoa ZittoJr au nimeuliza Maoni yake kwa sasa juu ya Rice eneo hilo.
 
nipatie link ya Guardiola anavyoangua kicheko ili tucheke wote.
Sitaki kuamini kama Guardiola alicheka kama hivi
Your browser is not able to display this video.
 
Kaka lile goli la kwanza la soton inachangiwaje na saliba? Hata gem na city goli la kdb angeweza lizuia

Shida yake ni moja hana utulivu ana mapepe sana golini
Em acheni utani asiee lile goli la KDB huwez zuia pale
mtu kapiga mua alf chini pembeni unasemaje angeweza kuia, Ode magoli anayofungaga ya aina ile tunampa sifa sana ila kwa KDB unasema angeweza kuzuia lile huwez kuzuia mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…