Tulimsubiri Pepe kwa misimu yote 4 kwamba ipo siku ataonyesha uwezo wake.Good game kwa Kai leo.
Ila acha niungane na akina Hamisi (masingeli by flano), kuhusu kumpa muda Kai na kuzidi kumpa sapoti.
Some of Arsenal fans ni kama tunataka afeli jamaa. Huku banda umiza, Kai akiwa na mpira tuu, basi mashabiki zaidi ya 10 unawasikia wakisema "anapoteza sasa hivi".Mara amefanya hivi, angefanya vile.
Nadhani tunachokitaka fans kutoka kwa Kai, na anachokitaka Arteta ni tofauti kabisa kama alivyowahi kugususia mkorea (chawa wa masingeli by flano) Its better tukaendelea kumuamini Arteta.
Ilikua wazi kabisa kuwa Partey alikua better kipindi kile ndio maana kocha aliwaweka wote wawili Kila mechi Ili ajifunze taratibu but Rice alikua na ubora tokea akiwa West Ham ilikua ni suala la muda tu.ZittoJr ,kuna kipindi ulisema Rice bado hajai. Master ile DM inamshinda na mimi nilikubaliana na wewe, ila kwa nilichokiona toka game na Wale Seleman (Nyumbu) had game ya leo PSV nimekubalo kua Rice ni Dm Pure kabisa na kaiweza kui master vzr kwa aslimia zote
Vipi kwa upande wako Rice bado haiwezi ile DM?
Kai apewe muda.So far wanataka mchezaji afeli ,hii Tabia wameitoa kwa mashabiki wa nyumbu
Ila ukishajua Kai anatumikaje Arsenal Wala hutaingia kwenye hiyo mitego
Kai am, Trossard,rice,Vieira wanacheza LCM but kila mmoja ana majukumu tofauti na mwenzake
Mfano Kai majukumu yake acheze LCM lakin awe Kama second CF,
Jana kaanza mechi Kama LCM kamaliza Kama false 9
So Kai ataendelea kucheza sababu anatimiza majukumu yake vzr tu
| Mikel Arteta on Kai Havertz playing different roles in the game:
“He was very connected today in the game. It’s true that I ask him to play in two different roles in regard to the opponent’s behaviours. He’s so intelligent the way he does it. It’s just finishing one or two actions that we had again, but it’s coming and he’s so willing to do it.”
[@arsenal]
Napata shida ku- access hii thread through my phone; any help?
Yaani Masingeli unatoka kucheza na PSV halafu anakuja kuwakandia Bayern na Madrid kua sio tishio?Nilisema baryen na Madrid sio tishio Tena
Flano na Genge lake mkohoti wanakwambia Ni uzushi
| Bayern Munich so far this season:
6 games
4 wins
1 draw
1 loss
️ 14 goals scored
10 goals conceded
️ 1 clean sheet
Cha ajabu wanaomuangalia makosa tu wanakwambia hajafanya kituJana nimemuangalia, alicheza vizuri
Mhh. Mbona bei rafiki Kwa premier league striker mwenye experience?Fabrizio Romano says Brentford want 'something around 50 or 60 million pounds' for Ivan Toney.
Chelsea and Arsenal are 'well informed'.
Baryen unayoizungumzia sio hii, na Arsenal unayoizungumzia sio hii elewa HiloYaani Masingeli unatoka kucheza na PSV halafu anakuja kuwakandia Bayern na Madrid kua sio tishio?
Haya maneno unatakiwa uyaongee ukiwa umeshacheza nao na kuwafunga.
Kama unaona ni rahisi kumfunga Bayern goli 3 kama Man Utd tulivyofanya basi muulize mzee Wenger nini kilimpata alivyokua anataka kupishana na Wajeremani.
Kai ataendelea kucheza sababu anatimiza aliyotumwaJana nimemuangalia, alicheza vizuri
Nasikia Arsenal wameshaamza mazungumzo nae chini kwa chini huenda akajiunga JanuaryMhh. Mbona bei rafiki Kwa premier league striker mwenye experience?
Tukimpata huyu jamaa tutakuwa na luxury ya kutosha pale mbele....maana kuna mechi unaweza ukaanza na Jesus kama right wing na toney pale kati....Saka akapumzika maana anacheza mechi nyng sana kwa sasa....si nzuri kimwiliNasikia Arsenal wameshaamza mazungumzo nae chini kwa chini huenda akajiunga January
Mikel juz kasema anataka kila namba iwe na watu wawili wenye uwezo sawa
Eddie bado hampi changamoto Jesus
Pambaneni ndugu zetu nafasi ya saba kwny ligi kuu ipo wazi kabisa....ni nyie tu kujitahidi kidogoYaani Masingeli unatoka kucheza na PSV halafu anakuja kuwakandia Bayern na Madrid kua sio tishio?
Haya maneno unatakiwa uyaongee ukiwa umeshacheza nao na kuwafunga.
Kama unaona ni rahisi kumfunga Bayern goli 3 kama Man Utd tulivyofanya basi muulize mzee Wenger nini kilimpata alivyokua anataka kupishana na Wajeremani.
Kama anapatikana, tumchukueNasikia Arsenal wameshaamza mazungumzo nae chini kwa chini huenda akajiunga January
Mikel juz kasema anataka kila namba iwe na watu wawili wenye uwezo sawa
Eddie bado hampi changamoto Jesus