hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Supercomputer na makampuni mengine yalikuja kuthibitisha kile nilichosema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa hapo mkuu Masingeli mimi nimekulisha maneno gani?
Wewe si ndio ulikuja hapa na utabiri wako wa SuperComputer imewatangaza Arsenyau kua ndio mabingwa wa Ucl 2023/2024?
Mwaka huu tunacheza fainal pale Wembley