Not sure how relevant this will be for Arsenal but the Turkish Super Lig transfer window closes tomorrow.Cedric tumekosa mahali pa kumbwaga!!?
Unatusunbua humu lakin unajua jumamos una Brighton ,jumanne una Baryen
Baryen wakawaida SanaUsiwe na wasiwasi cha-mbuzi wetu nguli, naomba nikuhakikishie tu kua jumanne tunaenda kuwalipia kisasi Arsenyau kile mlichogongwa goli 10 na Baryen.
Sisi Utd kama kaka zenu hatuwezi kuwaona nyinyi wadogo zetu mkidhalilishwa na Wajerumani halafu tukakaa kimya, kitu tunaenda kumfanya Mjerumani lazima ajute kwa ile dhambi ya kuwaonea watoto Academy. View attachment 2749010
Martin Ødegaard anakaribia kusaini mkataba mpya Arsenal Hadi mwaka 2027 + 1yrs
View attachment 2748105
Kai Ni new signing,Kuna taarifa zinasema sio kweli Kai Ni top earner ,Top earners Ni Jesus ,Saka ,Partey na Saliba ndio anafata Kai ,kwanini key players wetu wakisha sign new contract na wakiwa highest earners kwa club wanaanza kuwa flop...refer ozil,auba na half haverz
NB: siombei hiyo trend iwe kwa ode
Na supercomputer msimu huu imetabiri Manyumbu mnamaliza nafasi ya 15...kama kuna kaukweli flani hivihio kushika no.2 unaongea wewe hii leo ila msimu ulioisha ulituongopea humu kua Le Supakompyuta ilisema Arsenyau ndio mabingwa wa Epl.
Hilo li Supakompyura linatakiwa lifundishwe kua kuna tofauti kati ya makombe ya Uefa/Epl na Makombe ya FA/Emirates na ngao za jamii.
Xavi yupo but Arteta hayupo?Ange yupo wa spurs pia ?Saka hayupo kwenye best FIFA ?hizi ni tuzo au tuzo za Makalio(sorry to say this)it is unacceptable
Hii picha wataipita wakidai hawajaiona.
Girl anaenda kuzimia penzi la muhuni
Mtoe kwenye listXavi kachukua la liga na barca, Ange kachukua Scottish league na celtic .
Rice yupo pale kutokana na Europa conference league.
Arteta hana kombe lolote anaanza vipi kuwepo hapo? Saka hana kombe lolote anaanza vipi kuwa humo?
Wote waliopo kwenye list ni either wameshinda kombe lolote au alifika Uefa final.
Arteta na mwanao saka hawastahili kuwepo kwenye nomination hawana chochote cha maana ni zero achievement braza.
2nd place and Europa quarter final si sifa za kufanya mchezaji yeyote wa arsenal awepo kwenye list hio ni FIFA best , sasa unaanzaje kuwa best with nothingna haujashiriki fainali yoyote ile.