[emoji2403]USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
[emoji1621] Tuzungumze mpira kidogo tactical terms je Declan Rice ni kiungo wa Aina gani?
[emoji1621] kwa Mahojiano yake hivi karibuni amewahi kukiri yeye ni Defensive midfielder (DM) yupo confortable sana kucheza 6
[emoji1621] Ila kwa ubora alio nao Declan Rice anaweza kucheza nafasi zaidi moja ( Multiple position ) kwa ufanisi mkubwa mno
[emoji1621] Wachezaji kariba hii wanao cheza nafasi zaidi moja uwa ni uti wa mgongo kwenye unyumbulifu wa mfumo kiuchezaji na kimbinu ( Tactical flexibility)
[emoji1621] Ukitaja moja kati ya Viungo ambao ni ball carriers wazuri huwezi Kumkosa Rice anatoka na mpira chini adi juu
[emoji1621] Kwa misingi hii Rice anaweza kucheza kama DM hapo hapo akacheza kama Box to Box faida yake tuliona game united
[emoji1621] Rice kwenye moja ya Basics za Mpira tunahita decision making ( Maamuzi) ya wapi awepo kwa wakati upi wapi afanye block , wapi Acheze tackling inamfanya kuwa moja kati DM bora epl hapo
[emoji1621] yote hiyo inamsaidia kusoma mchezo kwa urahisi kuna watu walijenga hofu kama anaweza kucheza lonely pivot
[emoji1621] Game United akaonesha ni swala ambalo lipo ndani uwezo wake kiuchezaji ili ushinde eneo la kiungo lazima uwe na kiungo mwenye maamuzi akiwa na mpira ata asipokuwa nao
[emoji1621] Rice ana offer ubora mwingi kwenye nafasi tofauti Multiple positions hivyo kupunguza limitations kwenye aina yake uchezaji
[emoji1621] hapa Arsenal tulipata Wachezaji watatu ndani mchezaji 1 muda utaongea zaidi
NOTE: Uwepo wa Zinchenko ni sehemu kubwa ya mafanikio kwenye build up asa second phase 3-2-2-3
Amigo adios hermanos