mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 365
- 1,061
Hivi huo Mpira huwa mnaangalia ninyi wenyewe??Kai ana-upgrade nini pale Arsenal??anaongeza kipi kama si kupunguza??aiseee[emoji1787][emoji1787]kwamba Kai ananyumbulika na mwepesi kuliko Xhaka??huu uchambuzi wa wapi??Mpira ni mchezo wa wazi,huko kunyambulika kwa Kai ni kupi??au mimi sijui mpira wakati enzi zangu nilicheza mpaka Lipuli ya Iringa,kwamba Kai ka-upgrade na ananyumbulika[emoji1787][emoji1787]hii mpya kwa kweliThat's modern football
Kai anaenda upgrade mzuri wa xhaka, why? Because Kai ana nyambulika na ni mwepesi kuliko alivyokua xhaka
Jibu mujarabu kabisa....Acha upigaji ramli ndio maana tuliwakanda sababu ya mdomo
Arsenal Hatuwez kumng'ang'ania Pepe wakati haendan na mfumo wa mwalimu ,Hatuwez ku demand Bei kubwa abaki aongeze quantity kikosini
Sisi sio mnayumbu mmeshindwa kuvunja mikataba ya kina magwaya ,makitominay, Anthony masebene,masho,,Sancho, mna demand pesa kubwa halafu wanaishia kujaza nafasi mnasajili kina Evans
Arsenal ya Mikel haioni shida kukuvunjia mkataba Kama huitajiki ,uliza kina Ozil,Auba walivunjiwa mikataba ,tungekuwa na akili Kama za 7hag had leo kina Ozil, Auba,lacazette, mustafi wangekuwa wachezaji wa Arsenal,Kama Phil Jones,magwaya walivyodumu manjesta
Kabisa unamfananisha Kai na OZIL??khaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848]hatari sanaBinafsi namuona Kai kwenye vivuri vya ozil
Tutumie double 8 (ode na Kai)
Single pivot (Rice)
Tisa asimame Jesus or nketiah, so far wote wapo vizuri
Positional player Kai na Jesus/nketiah watakua Wana press
Kwenye kushambulia Kai na ode as advanced Midfielders
Huku zinny akija ku-overload kwenye dimba akiungana na rice
Kai na odegard kaziyao ni kutafuta vyumba
Shoots outside the bx, Kama goal alilopigwa nyumbu juz
Assists
From my perspective [emoji115]
Kai hajitumi pia,nae agongwe ngumi tu mpuuzi yule,LEGELEGE kama MLENDA,anabebwa na ARTETA tu lakini ni MTUMISHI hewa,hatafikisha magoli 5 labda Penati zote awe anapewa yeye,lakini kwa magoli ya move hakuna kitu paleNketiah alikua amtuhumu Cebalos hajitumi, kwaio yupo kwa maslai zaid
Kuna day kwenye warm up, nketiah alimuingia rafu ya kimakusudi Cebalos, wakashikana mashati. Uzuri waliamuliwa, clip ilizagaa sana
japo nketiah alikuja kuomba msamaha.
Huo ndio ukweliThat's modern football
Kai anaenda upgrade mzuri wa xhaka, why? Because Kai ana nyambulika na ni mwepesi kuliko alivyokua xhaka
Hata mimi hilo jambo nimeliwaza. Na nataka iwe hvyoUnakumbuka mech na Everton mwaka Jana walitunyanyasa sababu ya mipira ya juu
After international break tunaenda kwao ,Sean Dyche Kama kawaida atatumia mipira ya juu
Sitashangaa hiyo mechi Kai akaanza Tena Kama LCM kivuli kusaidia false 9,
Weka chuki kwa Kai pemben aisee, nenda kaangalie vs City Kai akitumika Kama CF alivyokuwa ana press , sio kweli kwamba Kai anapangwa bila sababu ,Hivi huo Mpira huwa mnaangalia ninyi wenyewe??Kai ana-upgrade nini pale Arsenal??anaongeza kipi kama si kupunguza??aiseee[emoji1787][emoji1787]kwamba Kai ananyumbulika na mwepesi kuliko Xhaka??huu uchambuzi wa wapi??Mpira ni mchezo wa wazi,huko kunyambulika kwa Kai ni kupi??au mimi sijui mpira wakati enzi zangu nilicheza mpaka Lipuli ya Iringa,kwamba Kai ka-upgrade na ananyumbulika[emoji1787][emoji1787]hii mpya kwa kweli
Kwamba Kai ana press[emoji1787][emoji1787]kweli humu JF kila mtu anaingia na Akili zake
Anyway kila mtu ana Akili yake JF,kwangu Kai ni MZIGO tu kama mizigo mingine ya embeWeka chuki kwa Kai pemben aisee, nenda kaangalie vs City Kai akitumika Kama CF alivyokuwa ana press , sio kweli kwamba Kai anapangwa bila sababu ,
Mwenye mpira Kuna small details ndio vinazingatiwa Sana
Hivi unajua Kai anaongoza kufanya movements, Aerial duels, distance covered , kufanya positional play, hizi Ni details ambazo Ni ndogo lakin modern football ndio wanazingatia Sana
Wengi tutakimbilia Passing,kufunga
Lakin nakuhakikishia mpira wasasa unazingatia Sana small details ,
Nakupa hii Kwanini Ni Arsenal na Mancity ndio zinacheza double 8/10 4-3-3 kwa ufasaha ,Timu nyingine zikajaribu zinapwaya
Utamuonea Mkorea, Wanaomfananisha Kai na Ozil ,Ni walianza wajeruman wenyewe toka ana miaka 18 had SasaKabisa unamfananisha Kai na OZIL??khaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848]hatari sana
Nakuhakikishia hakuna mchezaji anayecheza Arsenal hii kwa kubebwaKai hajitumi pia,nae agongwe ngumi tu mpuuzi yule,LEGELEGE kama MLENDA,anabebwa na ARTETA tu lakini ni MTUMISHI hewa,hatafikisha magoli 5 labda Penati zote awe anapewa yeye,lakini kwa magoli ya move hakuna kitu pale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unanifurahisha yaani wewe umeshamkataa kabisa ,Anyway kila mtu ana Akili yake JF,kwangu Kai ni MZIGO tu kama mizigo mingine ya embe
Bora ile mechi tunge draw aisee🤠🤠🤠...mna sumu Kali sana ndugu zetu...kipindi sisi tuna hyo 3% ya kushinda ubingwa nyny ndugu zetu mna ngapi kwani 🤠🤠🤠Wenger orphans mnapiga kelele hapa lakini hii ndo chance yenu ya kubeba ubingwa mwaka huu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiulize Manchester ipo ngapi.View attachment 2743161
Come on you gunners,, let us waitThe nights in the Champions League for Arsenal are back soon [emoji776][emoji2956]View attachment 2743644
COYG
Utaongea yoote my brother but in reality KAI ni mzigo mzito kwa Arsenal wote ni Arsenal fans but tusijitoe akili kwenye ukweli usemwe huyo KAI since yupo Chelsea ni player wa kawaida hata wakati tunamnunua my friends,relatives hata Chelsea fans duniani hakuna aliyeshtuka KAI kuja kwetu walichoshangaa ni kitu gani Arsenal Imekiona kwa KAI so usimpambe aonekane ni bora ukitoa goal lake la final vs Manchester City in champions league KAI hajawahi kuwa player tishio abadaniWeka chuki kwa Kai pemben aisee, nenda kaangalie vs City Kai akitumika Kama CF alivyokuwa ana press , sio kweli kwamba Kai anapangwa bila sababu ,
Mwenye mpira Kuna small details ndio vinazingatiwa Sana
Hivi unajua Kai anaongoza kufanya movements, Aerial duels, distance covered , kufanya positional play, hizi Ni details ambazo Ni ndogo lakin modern football ndio wanazingatia Sana
Wengi tutakimbilia Passing,kufunga
Lakin nakuhakikishia mpira wasasa unazingatia Sana small details ,
Nakupa hii Kwanini Ni Arsenal na Mancity ndio zinacheza double 8/10 4-3-3 kwa ufasaha ,Timu nyingine zikajaribu zinapwaya
Mimi naomba nikupinge Wewe muchezaji gani umewahi mkubali humu hata wakifanikiwa hujawahi kuomba msamahaUtaongea yoote my brother but in reality KAI ni mzigo mzito kwa Arsenal wote ni Arsenal fans but tusijitoe akili kwenye ukweli usemwe huyo KAI since yupo Chelsea ni player wa kawaida hata wakati tunamnunua my friends,relatives hata Chelsea fans duniani hakuna aliyeshtuka KAI kuja kwetu walichoshangaa ni kitu gani Arsenal Imekiona kwa KAI so usimpambe aonekane ni bora ukitoa goal lake la final vs Manchester City in champions league KAI hajawahi kuwa player tishio abadani
Nenda kwenye pages za Chelsea hata JF jukwaa la Chelsea uone kama kuna wadau wamemmis KAI kwa alivyoondoka mbona wadau hawamsemi Trossard?JIULIZE