Kai hamna kitu,kwa uchezaji wake hatakuja kubadilika maana hata kujituma tu ni shida, anatakiwa aanzie bench awe anaingia dakika kuanzia ya 80,yaani hata Carabao hafai kucheza,ni heri kina Neilson kuliko KaiMwaka 2021 Tuchel akiwa anamlinda Werner akasema Werner aache kufikiria magoli akafananisha na kumuomba date mwanamke, akasema huwezi kumlazimisha inabidi usubiri. Tulia magoli yatakuja.
Jana Arteta katumia mfano wenye muktadha huo huo kwa Kai.
Sasa Tuchel siku anatoa huo mfano ilikua Werner kacheza games 31 na kascore magoli mawili. Nilikua naona Tuchel hamtumii Timo inavyotakiwa, same janga litaanguka kwa Nkunku, na ninafikiri Kai pia hatumiwi inavyotakiwa.
Pasi zake ni fupi fupi na ni back pass au sideway passes na hii ni kwakua Kai hana vision kwenye passing, anamove muda mwingi wa mchezo, katika kupress anamove kama vile hataki au amechoka.
Henry aliwahi kumlalamikia Wenger juu ya Bergkamp nafikiri kisha Wenger akamuambia Henry "Usilalamike, jitahidi ucheze kwa kuangalia strength ya Bergkamp, jifunze ni muda gani atakua anaenda mbele muda gani atasimama" muda huo Henry kazoea kucheza na Pires.
Henry anasema akaanza kujifunza Bergkamp anachezaje, by doing so, Henry akaonekana bora na Bergkamp akaonekana bora. (Naweza kua nimechanganya majina hapa)
So tuanze Kai ana strength gani? Kwanini alikua anascore easily Ujerumani? Kai anakua comfortable akiwa kati huku akiwepo mtu anayeweza kufanya naye one two za karibu. Naturally ni AM hii ni kusema jamaa with enough confidence kupangua watu wawili siyo shida.
Chelsea na Arsenal hakuna Kocha aliyejaribu kucheza kwa strengths zake. Vieira ni tactically gifted and technical genius hii isikufool ukatamani aanze mechi bado hana hiyo stamina but ana vision na hii ndiyo silaha best kwake, due to this, hata kudefend anaweza.
Kai anastruggle kote, aanzie benchi. Niliwahi kua reddit siku fulani kuna member akasema anaishi karibu na Kai kama kuna ujumbe wowote tumpe amgee. Mashabiki wengi tukasema of coz bado hajaclick ila mwambie tunamuamini, wachache wakasema ukikutana naye mtaani ongea mambo ya mtaani siyo kazini.
We all know jamaa bado anatafuta njia na tunatamani aipate, swali ni lini strength yake itakua unlocked?
Kweli kabisa hata mimi nimeliwaza hilo. Kai ni swala la Muda tu kama Fabio kawa hivi wa motoGuys never learn.
Wengi mlianza kumkataa Vieira, bado tunahitaji mengi lakini you can see he's not a shit player kama wengi mlivohubiri humu.
Bado hamjaniingiza kwenye mtego wa Harvetz. Ntamsapoti mpaka mwisho.View attachment 2738244
Mlisema hivi hivi kwa Fabio. Kwa mimi nasema apewe muda akitokea bench au mechi za Carabao hukoKai hamna kitu,kwa uchezaji wake hatakuja kubadilika maana hata kujituma tu ni shida, anatakiwa aanzie bench awe anaingia dakika kuanzia ya 80,yaani hata Carabao hafai kucheza,ni heri kina Neilson kuliko Kai
Tatizo ni nguvu viera na odergard hicho tu mana maumbile yao yana onekana kma watotoMlisema hivi hivi kwa Fabio. Kwa mimi nasema apewe muda akitokea bench au mechi za Carabao huko
Tutajie nani aliwahi kusema Fabio hafaiMlisema hivi hivi kwa Fabio. Kwa mimi nasema apewe muda akitokea bench au mechi za Carabao huko
Huyu Kai pale chelsea tumekaa naye 3 years na hakuwahi kubadilika pamoja na kucheza nafasi tofauti huyo aende ligi ya spain au Italy anaweza kuendana soka la kuleMlisema hivi hivi kwa Fabio. Kwa mimi nasema apewe muda akitokea bench au mechi za Carabao huko
Brother brother.This is 2020
Tunatembelea vipigo watu wamekimbia jukwaa na hapa ni member akielezea
Mi nashangaa hawa jamaa wameng'ang'ania tumesema tumesema, ukiwaambia watutajie hao watu hawana data kamili.. Zaidi ni kutuletea illogical reasonings za ajabu kuhusu uwezo wa Havertz unavyoigharimu timu. Hata nashangaa wanavyojisifu kwamba ni wachambuzi nguli wenye uwezo wa kuona mpira kwa jicho la tatu nabaki nacheka na kushika kichwa. Kwa mechi chache zilizopita kila kitu kimejionesha, ni mjinga tu anayeweza kuamini Havertz anaweza kuanza kwa ubora wa wachezaji waliopo nje.Tutajie nani aliwahi kusema Fabio hafai
Rice anakupa athleticismBwana octopus bado ana tuvitu vitu tuzuri zaidi ya bwana rice, lakini rice anakupa kitu ambacho hata kama partey akiwa mgonjwa kichwa hakikuumi kukosekana kwa partey.
Mi nime penda goli la rice na jesusu ni 🔥🔥, ila odegaard ni next level kea sasaØdegaard
Maeneo yale hakuachi
Jesus kaonyesha ukomavu aiseee, mi mtu ika lamba nyasi😁😂Goli la odergad ni zuri ila la jesus ni zuri zaidi.
Mkuu ni kweli tunamsupport ila shida yetu asiwe starter Kila mechi.Bado hamjaniingiza kwenye mtego wa Harvetz. Ntamsapoti mpaka mwisho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila Arsenyo ni watu wema sana aiseeee baada ya Jesus kumlambisha nyasi Diogo Dalot nasikia mpaka sasa hivi bado amelala hajaamka na kwa wema wenu mkaamua kumpelekea na shuka kabisa.Jesus kaonyesha ukomavu aiseee, mi mtu ika lamba nyasi[emoji16][emoji23]
Leo Ume Kiri kabisa🤣😂, 6 games at Emirates.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila Arsenyo ni watu wema sana aiseeee baada ya Jesus kumlambisha nyasi Diogo Dalot nasikia mpaka sasa hivi bado amelala hajaamka na kwa wema wenu mkaamua kumpelekea na shuka kabisa. View attachment 2738506