Nyumbu uliekomaa katika ubora wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kikubwa kuwe na uhuru wa kutoa maoni sio watu wachache wajimilikishe jukwaa, pia members wajitahidi kukubaliana katika kutokukubaliana, humu kila mtu ana mawazo tofauti kulingana na upeo wake, unapolazimisha members wote wakubaliane na hoja zako ndio kunapelekea mgawanyo, chuki, kudharauliana na kuanza kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu.
Pia members wajitahidi kuheshimu mawazo ya wenzao hata kama wanatofautiana kwenye mitazamo, mtu umemkosoa mara moja, mbili lakini bado anang'ang'ania msimamo wake achana nae endelea kujadiliana na wale ambao mitazamo yenu inafanana, haina haja ya kumuita mtu majina mabaya kisa tu mnatofautiana kwenye jambo moja.
Nyinyi kama mashabiki ya Shenalii mnapohitilafiana katika jambo moja juweni kuna mambo 100 yanayowaunganisha, sasa kwa nini hilo jambo moja linalowatenganisha mnalipa nguvu kuliko yale 100 yanayowaunganisha?
Huu ni ushauri tu kutoka Unyumbuni lakini kipigo chenu leo jioni kiko palepale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2737556
Ungeishia kuniuliza ningekupa jibu kisha ungehukumu.Mkuu, sijajua upo na point ipi inayofanya ufukue makaburi.
Ila ninalojua, hata mkibaki wawili humu jukwaani, haimaanishi wengine wamecha kuisapoti Arsenal.
Tupo mtaani kila siku, kila games za Arsenal tunaangalia. Tunafurahi tunaposhinda, tunaumia tunapofungwa.
Msijipe umuhimu sana kwa kuwa mpo active humu. You and me, we are just fans tuu mkuu.
Wadau, watoe mawazo tofauti tofauti bila kutishwa.
cc Flano
Bora hiyo fedha ungepeleka kanisani au msikitini.Sio kumbetia AsenyetoWanangu wa Arsenal timu bora duniani
Nimewabetia Nipigieni nyumbu mpka ten hag upara uote nywele
COYG [emoji91][emoji91]FOREVER
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu Carasco Putin we huna baya na mtu, ninachokupendea hauna urafiki wala uadui wa kudumu safi sana mkuu.Wanangu wa Arsenal timu bora duniani
Nimewabetia Nipigieni nyumbu mpka ten hag upara uote nywele
COYG [emoji91][emoji91]FOREVER
Harvetz tena[emoji24][emoji24]ujinga kabisa huuArsenal should be destroying that Manchester United defence today. At least 3 past it.
Kama hii ndio lineup, Ngoja tuone kama Zinny ataweza saidia huu upande wa kushotoBreaking Arsenal line up vs United #COYG #AFC
Ramsdale
White
Gabriel
Saliba
Zinchenko
Rice
Havertz
Odegaard
Saka
Jesus
Martinelli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimejikuta nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kukuona tena humu ndugu yangu hamis77Arsenal should be destroying that Manchester United defence today. At least 3 past it.
Nimefurahi kuona kiungo la boli Kai Havertz linaanzaBreaking Arsenal line up vs United #COYG #AFC
Ramsdale
White
Gabriel
Saliba
Zinchenko
Rice
Havertz
Odegaard
Saka
Jesus
Martinelli
Mkuu unapataje kikosi mapema yote hiiBreaking Arsenal line up vs United #COYG #AFC
Ramsdale
White
Gabriel
Saliba
Zinchenko
Rice
Havertz
Odegaard
Saka
Jesus
Martinelli
Bora angeanza Vieira kuliko huyo HavertzHarvetz tena[emoji24][emoji24]ujinga kabisa huu
Nimefurahi kuona kiungo la boli Kai Havertz linaanza
Aisee[emoji1787][emoji1787] Nilikuwa bize na shemeji yako ili ninaposhangilia magoli Leo niwe mwepesi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimejikuta nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kukuona tena humu ndugu yangu hamis77
Baada ya ukimya wako tokea asubuhi nikajua tayari umeshakula kona mapema kabla halijawakuta jambo saa 06:30