UCL Hakuna timu yakutusumbua , mpinzani halis Ni mancity wengine unga unga mwanaUefa hio Pot 2 waliyowekwa ni ya moto hatari, tusubiri mpaka saa 4 usiku watakua wameshapanga makundi tayari.
Nina imani Asenyo atapangwa kundi moja na Madrid halafu wakimuongeza Inter kwenye kundi lao ndio rasmi itakua safari yao ya mwisho kwenye Uefa.
Ndo ilivyo hvyo....ila kama vp watupange hata na hao wa kwny Pot yyte...sasahv tunacheza na yyte tu yleTimu ikipangwa pot 2 inamaanisha haitapangwa na timu iliyokuwa pot 2 timu zitatoka pot 1,3, na 4
Lens imefunga kundiTunangoje kiande wa mwisho akamilishe grupu
Points 15-18
Tuanze kuangalia mipango ya Round 16
[emoji599]GROUP B
ARSENAL
SEVILLA
PSV EINDHOVEN
#UCLdraw
PSG ni wa kawaida sana sasa hiviNewcastle ataburuza mkia
Group F of the #UCL [emoji3517]
PSG [emoji632]
Dortmund [emoji629]
Milan [emoji634]
Newcastle [emoji1022]
Hii Ni noma sanaNewcastle ataburuza mkia
Group F of the #UCL [emoji3517]
PSG [emoji632]
Dortmund [emoji629]
Milan [emoji634]
Newcastle [emoji1022]
18 pointsLen
Lens imefunga kundi
Kumbuka Europa PSV alivyotusumbua hakuna team nyepesi hapoKwa Arsenal hii ,18 points hazikwepeki
[emoji599]FULL GROUP B
ARSENAL
SEVILLA
PSV EINDHOVEN
RC LENS
#UCLdraw
Kumbuka pia hatukuwa na Depth kubwa ,still bado tuliongoza kundi ,Kumbuka Europa PSV alivyotusumbua hakuna team nyepesi hapo