Hatimae baada ya miaka sabaGood morning!
Today one London club will be drawn in today’s UEFA Champions League Group Stage draw.️
Pass kumi lkn tumefanikiwa kuliko wewe....nyie ni losers bila EPL au UCL arteta hana anachojivunia... ETH ni bora kuliko hyo arteta wako brazaBajeti za watu kwahiyo mnacholilia Graza out Ni kipi
7hag katumia £400m kuunda timu haiwezi kupiga hata pass 10 kwa usahihi
Amekuwa anasajili average players
Unasema Arteta tumdai EPL ,UCL ni kweli ameshaunda timu shindani kwa £450m yenye thaman kubwa duniani
How about 7hag ametumia £400m kuunda timu hata kupiga pass 10 haiwez
Je yeye 7hag msimu huu mnamdai niniView attachment 2734294
Huna timu banaPass kumi lkn tumefanikiwa kuliko wewe....nyie ni losers bila EPL au UCL arteta hana anachojivunia... ETH ni bora kuliko hyo arteta wako braza
Liverpool umemshusha wapiETH alipofika epl alizungumzia kuhusu man city na liverpool tu....nyie huwa hamsumbui ni kelele fc tu, liverpool tyr tumemshusha silently tunamfata man city huko juu....this season tunashika nafasi ya pili, next season ubingwa
I think 12:30Hivi mechi ya Jumapili itakuwa saa ngapi kwa saa za huku kwetu Afrika Mashariki?
una uelewa mdogo sana wa sokaHatujashiriki miaka kadhaa na bado tupo pot 2 na bado tunapewa nafasi ya kufika nusu fainal au fainal,
hata ngekua mm ningeichukia hii team.View attachment 2734435
Tueleze wewe mwenye uelewa mkubwauna uelewa mdogo sana wa soka
lakini kumbukuka ni thoughts tu mzeeTueleze wewe mwenye uelewa mkubwa
Najua umeumia Sana ,
Ohoo Arsenal hajacheza miaka 7 UCL
Haya karudi yupo Pot 2 na anapewa nafas ya kufika fainal au nusu fainal
How about nyumbuzi?
Cry morelakini kumbukuka ni thoughts tu mzee
Mbona Kama malalamiko ,tatizo Nini ?Vilikuwepo vikosi bora kushinda hicho ambacho unajitamba nacho lakini hakikubena kikombe chochote cha bara la ulaya