Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Possible, ila tatizo timu anacheza inaitwa Arsenal. Tim inakaa miaka 7 haijaingia champions league.

Ni mchezaji mzuri sana lakini. Ikitokea ameenda tim kubwa ni pottential baloon d'or winner
Timu kubwa manjesta?

Arsenal isharudi kwenye ushindani

Tumekaa nje ya UCL ,tumerejea tunapewa nafasi kuliko manjesta aliyekuwa anaingia

Ødegaard yupo mikono salama ndio maana aliuzwa £30m Sasa hivi ana thaman ya £100m+

Angekuwa kwa 7hag na makocha wa mchongo ,Sasa hivi angekuwa Kama Elanga tu
 
Hili picha la kutisha unajua limepigwa jijini Manchester? Yaani tumeenda kubeba mazawadi huko huko kwenye jiji lao manyumbu na kuwaacha wao wenyeji bila kitu. Siku hizi tuna roho mbaya sana sisi gunners.
 
Kuna yule jamaa yao Madueke anaonyesha ana kitu, ila anajaziwa raia pale aisee ni hatari
Mkuu niamini pale Hakuna timu ,wanasajili kila wanayehisi anajua mpira

Ile timu isharudi kwenye Zama zake za mid table team

Wakati nakua Chelsea alikuwa anagombea nafas na kina Bolton ,ndio karejea huko


Madirisha matatu wametumia €950m lakin timu inajitafuta tu
 
Acha uongo wewe.

Champions league debut ya Òdergaard ni 2020. Jifunze kutembelea trusted sources achana na blogs.
 
Hili picha la kutisha unajua limepigwa jijini Manchester? Yaani tumeenda kubeba mazawadi huko huko kwenye jiji lao manyumbu na kuwaacha wao wenyeji bila kitu. Siku hizi tuna roho mbaya sana sisi gunners.
Hao watoto ukimpa 7hag anawapoteza ,

7hag ananikumbusha Unai Emery pale Arsenal , pira makande
 
Hili picha la kutisha unajua limepigwa jijini Manchester? Yaani tumeenda kubeba mazawadi huko huko kwenye jiji lao manyumbu na kuwaacha wao wenyeji bila kitu. Siku hizi tuna roho mbaya sana sisi gunners.
Hao watoto ukimpa 7hag anawapoteza ,

7hag ananikumbusha Unai Emery pale Arsenal , pira makande
 
Acha uongo wewe.

Champions league debut ya Òdergaard ni 2020. Jifunze kutembelea trusted sources achana na blogs.
Bruno malalamiko ana Nini had Sasa umri anasogea 30yrs soon
 
Baada ya misimu mitano ya
Arteta genius haya ndo mafanikio yake.

Bado unamfananisha na mtu ambae huu ni msimu wake wa kwanza. Kama humjui vizuri 10hag, huyo ni champions league semi finalist na makombe ameyazoea. Ngoja mwarabu apewe tim awaonyeshe nini maana ya mpira.
 
Huyo shabiki wa manjesta ,wanakwambia 7hag Ni kocha Bora wakati mwaka wa 2 Hana playing style,anasajili kwa kubahatisha

Mimi siwakopeshi nawachana ,7hag hana uwezo wa kudevelop talent yoyote na toka afike manjesta Hakuna talent aliyo idevelop ,Zaid analalamika wachezaji wabovu

Anasajili yeye Ni wabovu zaidi
 
Misimu mitano ipi , Arteta kaja 2019 December

7hag kazoea makombe gani , hivi unajua 7hag Ni umri wa kina pep Guardiola lakin mafanikio yake ni Ajax ambayo hata mgunda ukimpa Ajax anabeba Makombe


7hag Hana tofauti na David Moyes

Yaan unamsifia kufika nusu fainal UCL


Kuna Dimateo huyo alilibeba kabisa


Kuna Avram Grant anawafundisha kina Chama na Musonda hapo Zambia , yeye alifika Fainal kabisa


7hag msimu wa 2 katumia £400m lakin anaelekea kutimuliwa soon
 
Umewahi kuona Rashford kafunga 30 goals kwa msimu??

Arteta hatokuja kudevelop mtu kufika level hii.

Mna bahati Maino kaumia, huyu alikua anakuja kuonyesha nini maana ya Rodri- pro max. Tusibishane hadi arudi
 
Umehamia kwa Bruno ghafla sana.

Umekosa picha la captain na makombe au sio. Achana na blogs za udaku
Umekuja mbio mbio unamponda Øde

Sawa ,Bruno ana Nini ,au huwez jibu tukusaidie
 
Nimemwambia mwenzio aachane na blogs na ww umerudia yaleyale.

Tunaomba basi picha yake akiwa na hio uefa super cup.
Akiku2mia tu mkuu unitag, na sina uhakika hata kama kwnye line up kama alikwepo.
 
Laana hii 🤣😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…