Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ina viwanja vinne huwa haisumbuki kupata matokeo

Emirates stadium

London Colney

Stamford bridge


Wembley stadium


Hivi viwanja hata tuwe wabovu Mara nyingi ushindi nje nje ,


Msimu huu UCL inachezwa Wembley

Mpinzani wetu halisi huko UCL ni mancity ukitaka sababu zenye mashiko nitakupa
 
Ulitaka Leno abaki acheze wapi?

Tulimuuza Emi ,mpaka kesho anaichukia Arsenal ,itakuwa Leno ?

Halafu na wewe umehama Arsenal ?maana unasema tulimuuza wa Nini

Umekuwa Kama yule anayesema amehamia PSG mwingine Newcastle

Ndio maana nikauliza kama arsenal tuliona potential yake kwanini tulimuuza? Si angeendelea kuswap games na Ramsdale?
 
Wewe hujui mpira na mafumbo yako kama demu.. umekalia majungu tu mpira huujui kenge wewe!
Sijakutaja mkuu, na ili nisiwe na mvurugano na wewe kwa amani kabisa huwez kuniona nakujibu ,binafs umri wakumu attack mtu nilishapita

Kama nimekukosea nisamehe ,Mimi nimezungumzia General
 
Ndio maana nikauliza kama arsenal tuliona potential yake kwanini tulimuuza? Si angeendelea kuswap games na Ramsdale?
Yule jamaa ovyo Sana mguuni ,Kuna mechi tunahitaji kuwa clinical Sana vs Astonvilla,Westham na Fulham ,makipa wote huwa wanataka kutuonesha tulikosea kuwaacha ,hata last season mech zote za Villa ,Martinez alitusumbua Sana,

Kipa ambaye Arteta aliandamwa Sana kumuuza nadhan kuliko mnavyomuandana kwa kumleta Kai alikuwa Martinez ,nilitetea Sana hili Jambo ,mwisho Martinez watu walimsahau na Martinez aliweka chuki kwa arsenal mpaka kesho ili Hali huyo huyo Arteta ndiye alimpa nafasi baada ya kukaa miaka 10 Arsenal na hukuwahi kuthaminiwa Zaid ya mikopo na kuwa 3 Rd choice

Hata Leno Kuna shit aliziongea ,


Kwasasa una David Raya na Rams ,top GK , Leno hawez kukaa meza moja na hao jamaa
 
Any business at the last minute, bei lazima iwe imesimama
Tunaongeza beki nahisi na itakuwa poa

Kwenye attacking wamejaa Sana

Nataka na naona itakuwa hivo ,LCM watakuwa Rice ,Vieira ,Rowe na Trossard

Kai naona akihamishiwa CF ,

Habari njema Nketiah nae kasema hawez kukubali kuwa backup
 

I wish nimuone Raya Jumapili
 
Mimi nimezungumzia General
Arteta Leo akiwa mazoezini,halafu anatokea mtu mmoja mla mihogo yupo ikwiriri anataka Mikel apange kwa kumsikiliza yeye


anakwambia Arteta panga hivi panga vile

Hao wachezaji uliwasajili wewe
Wee jizime data tu.. Does this look like 'General'?

Mimi nipo hapa ukitaka tuendelee sina shida, it's up to you.
 
Arsenal and Manchester United's XI when everyone is fit and available.
 
Unataka Vita na Mimi ? Njoo inbox ,kujibizana na wewe nikupoteza muda ,ukinitaka hata face to face njoo inbox nitakupa location
Wewe weka hapa mafumbo yako tuone what you got.. si umeanzisha vijembe vyako humu? Haya na tumalizie humu!
 
Bukayo Saka says captain, Martin Ødegaard has the highest footballing IQ he has seen.
 
Kwa hiyo, hiyo ndiyo reliable source kwako?
 
BREAKING:

It’s a €40m deal between Arsenal and AS Monaco for Folarin Balogun. Arsenal will hold a 17.5% sell-on clause.


Reports, @RyanTaylorSport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…