Sasa hivi wanadai 7hag Hana tatizo mwenye tatizo ni Graza,Mimi hua siwajibu mashabiki wa United.
Nyumbu hua wana tabia moja.
Wakifungwa wanajifanya wanaponda.
Wakishinda wanadai timu yao ipo on fire
Hawa watu kuwajibu ni kupoteza muda
Flano huu ndio muda pekee wa nyumbu kufurahi
Jpili sio mbali mnakupa chuma 3 kavu
Bado hujasema!😂Wewe kweli huna akili
Sasa ulitaka niwasifie Liverpool wakati wamemkosa , Mimi napiga banter na nilifurahi baada ya shabik wa Liverpool kuja kunitukana ,
Sasa mi nikuchukie wewe ile iweje. Au hupendi kuambiwa ukweli?Chuki zako kwangu hazisaidii kitu , Wala huwezi niona naweka chuki maana sikufahamu ila kutwa kuniandama
Mpira haupo hivo unavyofikikiria kila mech na tactics zakeBado hujasema!
Sasa mi nikuchukie wewe ile iweje. Au hupendi kuambiwa ukweli?
Haya ngoja twende sawa basi.
Tatizo lako wewe jamaa unamuona Arteta kama malaika vile?
Kai sijui unamuona kama nani. Unasema anapambana sijui anasaidia kwenye kukaba, kukaba wapi?
Watu wanaenda mbele yeye anarudi nyuma, ana-loose balls easily, akienda kukaba anasababisha foul, mzito kufanya maamuzi hata kuweka pasi kwenye right space anashindwa.. kwani huoni? Au mpira unausikilizia redioni!
Ile game vs Crystal Palace ndio iliniuma kweli.
Yani tupo 1-man down, Arteta anamtoa Martinelli anauacha msukule wake uwanjani anasubiri nini? Imetokea transition still mtu yuko lazy unajiuliza alimuachia nini akamtoa Martinelli?
Halafu tuna drop back kulinda goli, mpira unachezwa kwenye half yetu, tunabaki kuomba dua tu goli lisichomolewe.
Tujiulize Guardiola akiwa down to 10-men anafanya drop back? Tumeshindwa hata kufanya rest defense? Halafu still tunamfananisha Arteta na Guardiola.
Liverpool wenyewe walikua ugenini vs Newcastle, na upungufu wao still wamefunguka wamechomoa na kushinda, tungekua sisi kwa tunavyocheza sasa ile mechi ndo ingekua imeisha!
I never questioned uwezo wa Arteta tangu ajiunge 2019, lakini kwa kinachoendelea sasa na imani zake za kijinga atatu-cost huu msimu. Kule kuijenga kote our broken Arsenal team will be for nothing.
Na nyie watu mlioko nyuma yake kama wewe hamis77 ndio mnazidi kutuchanganya, msitufanye wajinga. Timu yetu tunaijua vizuri ilikotoka!
Bado sijaona manjesta yakuvumilia msako wa nyaniMidhali Chidi benz na Masebene wapo fit sina wasiwasi, pale mbele kama akisimama mnyama Højlund mjue kabisa zile 8 zinarudiwa tena.
Press-resistant Kukulela nae anakuja kuunga mkono juhudi za double Agent mbona jumapili shida mnayo jumapili.
Bado hujasema!
Sasa mi nikuchukie wewe ile iweje. Au hupendi kuambiwa ukweli?
Haya ngoja twende sawa basi.
Tatizo lako wewe jamaa unamuona Arteta kama malaika vile?
Kai sijui unamuona kama nani. Unasema anapambana sijui anasaidia kwenye kukaba, kukaba wapi?
Watu wanaenda mbele yeye anarudi nyuma, ana-loose balls easily, akienda kukaba anasababisha foul, mzito kufanya maamuzi hata kuweka pasi kwenye right space anashindwa.. kwani huoni? Au mpira unausikilizia redioni!
Ile game vs Crystal Palace ndio iliniuma kweli.
Yani tupo 1-man down, Arteta anamtoa Martinelli anauacha msukule wake uwanjani anasubiri nini? Imetokea transition still mtu yuko lazy unajiuliza alimuachia nini akamtoa Martinelli?
Halafu tuna drop back kulinda goli, mpira unachezwa kwenye half yetu, tunabaki kuomba dua tu goli lisichomolewe.
Tujiulize Guardiola akiwa down to 10-men anafanya drop back? Tumeshindwa hata kufanya rest defense? Halafu still tunamfananisha Arteta na Guardiola.
Liverpool wenyewe walikua ugenini vs Newcastle, na upungufu wao still wamefunguka wamechomoa na kushinda, tungekua sisi kwa tunavyocheza sasa ile mechi ndo ingekua imeisha!
I never questioned uwezo wa Arteta tangu ajiunge 2019, lakini kwa kinachoendelea sasa na imani zake za kijinga atatu-cost huu msimu. Kule kuijenga kote our broken Arsenal team will be for nothing.
Na nyie watu mlioko nyuma yake kama wewe hamis77 ndio mnazidi kutuchanganya, msitufanye wajinga. Timu yetu tunaijua vizuri ilikotoka!
Mimi hua siwajibu mashabiki wa United.
Nyumbu hua wana tabia moja.
Wakifungwa wanajifanya wanaponda.
Wakishinda wanadai timu yao ipo on fire
Hawa watu kuwajibu ni kupoteza muda
Ulishajiuliza why maadui ni wengi ?MalcolM XII sasa hivi na wewe utapigwa marufuku usiquote Masingeli.
Masingeli na Arteta humu ndani ni alfa na omega hairuhusiwi kuwakosoa kwa lolote.
Wewe jamaa una mdomo halafu timu huna
10 Hag yule ni kocha wa ball level moja na Pep, ndani ya msimu mmoja tu tayari ametupea kombe, nyinyi Arteta amewapia nini kwenye msimu wake wa kwanza? ndani ya miaka yake minne hapo emirates zaidi ya mwanaFA na kudanganywa na fezi mna nini kingine?Ulishajiuliza why maadui ni wengi ?
Kule kwenu wanaona aibu Sasa hivi kukubali Anthony masebene mlipigwa na 7hag ni kocha wakawaida Sana/tapeli
Sababu wakati nasema hayo niliandamwa Sana lakin nilisimamia msimamo huo huo
Hata wewe ulipinga sana ,ila sasa hivi unakubali huku unacheka
Sasa humu taarifa kwa waropokaji ,Mikel yupo 20+yrs tuombe uzima
Tumelipitisha hiliFocus on Sunday kuipiga nyumbu goli 3+View attachment 2733718
Capital one sio kombe la kujivunia mkuu, Sisi Arsenal Bora tumalize msimu bila chochote kuliko kushinda capital one.10 Hag yule ni kocha wa ball level moja na Pep, ndani ya msimu mmoja tu tayari ametupea kombe, nyinyi Arteta amewapia nini kwenye msimu wake wa kwanza? ndani ya miaka yake minne hapo emirates zaidi ya mwanaFA na kudanganywa na fezi mna nini kingine?
Kinachoendelea Man Utd hivi sasa ni hujuma tu za waziwazi ili kumlazimisha Gilaza auze timu.
Tumia akili Masingeli, punguza unazi ndugu yangu
#Arsenyo Ndoo
#Harvez Kiatu
Acha wivu na kupangia watu Cha ku commentkweli kabisa kuna ID huwa anajisuport mwenyewe mana unakuta mtu anamsaport kw kitu cha kipuuzi, kitu hata mtoto mdogo hawez kusuport, unajiuliza anaesuport zimetimia kweli??!
Arteta ana mataji matatu10 Hag yule ni kocha wa ball level moja na Pep, ndani ya msimu mmoja tu tayari ametupea kombe, nyinyi Arteta amewapia nini kwenye msimu wake wa kwanza? ndani ya miaka yake minne hapo emirates zaidi ya mwanaFA na kudanganywa na fezi mna nini kingine?
Kinachoendelea Man Utd hivi sasa ni hujuma tu za waziwazi ili kumlazimisha Gilaza auze timu.
Tumia akili Masingeli, punguza unazi ndugu yangu
#Arsenyo Ndoo
#Harvez Kiatu
Subiri matusi kutoka kwa chawa wa Arteta, wenye leseni ya ukocha aliefundisha timu ya mpira.. atakuambia wewe hujawahi hata kufundisha timu ya chekechea.angalizo ;kwa sasa arteta asithubutu kuwaanzisha kai na ode kama namba 8 wawili mana mmja atamuingilia mwenzie kwenye role yake na atakuwa mzururaji tu.