Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakubali mkuu.
 
Ww chawa wa masingeli na wenzio mbona mnapelekwa kama makondoo hivi chelsea kwa akili yako wanaweza kumtoa Mudryk plus hela
Unataka tufanane mawazo mkuu🤠🤠🤠...nyny mnaopinga mbona siwashukii kama ni chawa wa kitu flani au mamluki....nimeshabikia Arsenal tangu mwaka 2000...kwa Sasa timu ilipo naona kabisa tunarudi zile zama za 2000-2004...Sasa kwnn nisiwe optimistic....sikulalamiki vpindi vigumu nilalamike Sasa kwli??🤠🤠🤠....HAPANA....glory days are ahead...Kai mtu na nusu🤣🤣🤣
 
Masingeli tutake radhi mashabiki wa Manchester na Chelsea.
Duniani hakuna mashabiki wastaarabu na wanaojielewa kama mashabiki wa hizo timu kubwa mbili.
Tunaposemaga kila siku humu kua Arsenyau ni kigenge cha wavuta bhangi mue mnaelewa basi.




#Arsenyo Ndoo
#Harvez Kiatu
 
Mkuu kama unataka ulete tamaduni za lile jukwaa Lenu hmu tutawajibu tu kwa namna mnavyokuja😅😅😅...Mount flop...Kai mtu na nusu🤠🤠...j2 mjiandae hatutaki lawama muanze kumporomoshea kocha wenu lawama
J2 mapema tushamaliza mwchi Rashford hat trick ila yule mwanetu anayepiga spana humu namuachia kitengo aendelee kutembeza spana za ugoko😂
 
From left back to best right winger in the Premier League. It’s about time Bukayo Saka got his flowers
 
Mnakaribia kumchukua Manywele Cucurella aje kuwasaidia kazi....imagine back line ya Cucurella...wan bissaka...Magwaya🤠🤠...na Martinez...kuna kitu kizito kitawakuta mkuu😅😅😅
 
Hakuna mashabiki msijua mpira Kama manjesta na wa ukengeni

Hili nalo linahitaji mjadala
 
Hawa machawa kazi kupelekwa kama makondoo wanaleta story zao za vijiweni humu wanajiona wao wanajua kufatilia habari kumbe ni za uongo
Wewe shabiki wa ukengeni kumfunga Luton tayari Umeanza kutembelea jukwaa hili
 
J2 mapema tushamaliza mwchi Rashford hat trick ila yule mwanetu anayepiga spana humu namuachia kitengo aendelee kutembeza spana za ugoko😂
Mumcheze na hyo Halaand wa mtumba mliyemleta....apandwe mara mbili na Saliba arudi kwny meza ya matibabu kutibiwa tena pingili za mgongo🤠🤠🤠....itakuwa ni maajabu ya nane ya Dunia Man U akipata matokeo J2
 
Ww chawa wa masingeli na wenzio mbona mnapelekwa kama makondoo hivi chelsea kwa akili yako wanaweza kumtoa Mudryk plus hela
Hamna akili ,ndio maana huwa nawaambia ukweli

Mfano jukwaa la manjesta wote wanakomaa 7hag Ni kocha wa maana hawataki ukweli

Je hao ni machawa wa nani
 
Humu ndani ni mwendo wa kusifu kama makondoo ukipinga Teta boli unatishiwa maisha
Kama kwenu kule mnasifu 7hag Ni kocha Bora wakat hata timu kucheza haieleweki inacheza Nini


Yaani mnataka tulazimishe 7hag sawa na Arsenal hii ya Masterclass
 
Chawa wa masingeli
Mtu akikubaliana na mm amekuwa chawa

Oya mm sifatagi mkumbo halafu Vita zote huwa nashinda

Waulize manjesta Sasa hivi niliwaambia Anthony masebene wamepigwa walinishambulia,Sasa hivi wananena kwa lugha

Waulize niliwaambia 7hag Ni kocha tapeli , Sasa hivi wanaona aibu kukubali


Ndio ujue Mimi nasimamia ukweli , sifati wengi wanaongea nn
 
Emile ana finishing nzuri na ball striking nzuri kumzidi Mudryk, Sterling, Kai, Nkunku, Noni, Jackson, Chukwuemeka na forwards zote za chelsea.

Usiwaone kenge wajinga kutaka kumuachia Mudi
Astaghafirullah halafu unayaandika haya macho makavuuuuu.
Mashabiki wa Arsenyau banaaa kwa kupenda kujitoa akili, Tbag kabahatisha mechi 2 tu hizo sifa anazopewa sasa
tunamsubiria mechi na Man Utd tuone huyo teja jinsi atakavyo tukanwa humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…