Hii habari Kama huwezi kuzipata mm Sina msaada na weweAcha kujitekenya mwenyewe, tupe source? Ifike mahali mumove on kw Mudryk, tunajua aliwaumiza nafsi zenu ila mwacheni kijana wa watu yeye katulia ila nyie ndio manateseka.
Halafu naona unaforce kuwa chelsea inataka wachezaji kutoka Arse88, ulianza kwa Balogun now umehamia kwa Rowe? Wapumzishe kondoo wako kw habar zako za kutunga.
Tunaelewana wapi mkuu, tatizo mnalazimisha vitu visivyokuwepoTaratiibu tunaanza kuelewana.
Hivi Pepe na Harvetz nani ni TAKATAKA??binafsi Harvetz ni UHARO afadhali ya PepeKabisa...Chelkenge Wana matatizo mengi sana pale....Mudi, Reece James, stelingiiii, galaghaaaaa, full beki minywele yule namba tatu.....yaani hayo yote ni matakataka...sisi wenyewe tumeyaondoka matatizo mawili. Bdo matatu...holding, Cedric, Pepe ....halafu watulaghai tena kutupa Mudi....tumegoma
Unasoma udaku, ukishaona inafurahisha moyo wako unawaletea mikondoo wenzio, chuja habari.Hii habari Kama huwezi kuzipata mm Sina msaada na wewe
Una smart phone Lakini unaitumia kwa ujinga ,
Smith yule dogo kwanza ni Gunner wakutupwa halafu ana uwezo mkubwa tu, yule dogo msimu juz alipiga goli 10 EPL ,Mbona tunafanya huu ujinga wa kukataa?
Chukua huyo flop Muddy na mshiko. Anakuja huku kwetu, anaimprove anakuwa balaa zito. Peleka ESR kule, anaflop haraka sana anapigwa bench. Next season tunaemchukua tena Kwa 5m. Tunajikuta tuna ESR, Muddy na mshiko. Arteta na Edu wataanza kuwa na akili lini hamis77 ?
Angalao Pepe ana msaadaHivi Pepe na Harvetz nani ni TAKATAKA??binafsi Harvetz ni UHARO afadhali ya Pepe
Comment zako tu Mimi huwa natambua uwezo wako wa kufikiri ni mdogoUnasoma udaku, ukishaona inafurahisha moyo wako unawaletea mikondoo wenzio, chuja habari.
Ina faida gani kwenye EPL,UEFA nk?️ | Bukayo Saka has joined a very special list of Gunners to claim the PFA Young Player of the Year award.
Bukayo Saka (2022/23)
Jack Wilshere (2010/11)
Cesc Fabregas (2007/08)
That’s some trioView attachment 2733337
Taarifa zipi hizo zinasema tunamuuza MudrykMumuuze wapi🤣🤣🤣....mnataka kufanya barter trade na sisi....hatutaki🤠🤠🤠....bakini na Mudi wenu....
Kenge sio machizi kiasi hikoMbona tunafanya huu ujinga wa kukataa?
Chukua huyo flop Muddy na mshiko. Anakuja huku kwetu, anaimprove anakuwa balaa zito. Peleka ESR kule, anaflop haraka sana anapigwa bench. Next season tunaemchukua tena Kwa 5m. Tunajikuta tuna ESR, Muddy na mshiko. Arteta na Edu wataanza kuwa na akili lini hamis77 ?
Hatukutaka wapi wewe! umeshikilia 'hatukutaka' utafkiri wewe ndo ulikua sahihi.Arsenal hii hamkumtaka hata Jesus asajiliwe ,Arsenal hii hamkutaka hata saka apewe jezi no.7
Kwni Havertz amecheza mechi ngapi pale Araenal....na Pepe naye alicheza mechi ngapi pale Arsenal...tafuta jibu halafu ndo uone mpk sasa ni kiazi pale....Pepe aende tu kwakwli...alishapata nafasi ya kutosha ikashindikana ila Havertz bado Ana msimu mzima huu wa kufanya alichoaminiwa na mwalimuHivi Pepe na Harvetz nani ni TAKATAKA??binafsi Harvetz ni UHARO afadhali ya Pepe
Sio kila taarifa ni sahihi sidhani Chelsea wanampango wakumuuza Mudryk wakati kocha wa mpira wanamwitaji na yupo kwenye project yetu.Habari za kweli siku zote zinatoka kwenye source nyingiComment zako tu Mimi huwa natambua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
Unaweza kuniambia habari ya Chelsea kumtaka Smith na kufanya swap na makalio mudrky imetokea vyanzo gan,halafu uniambie hivyo vyanzo Kama ni udaku au lah
Kuna muda hatuwajibu sababu akili kubwa kujibu akili ndogo ni matumiz mabaya ya MB, haiwezekani niweke GB 30 nijibu comment zinazoonesha kiwango kidogo Cha uelewa Kama chako
Habari ya Smith Rowe kutakiwa Chelsea na swap ya makalio mudrky imesemwa had na vyanzo vya kuaminika kutoka Chelsea
Ila wewe kazi ya smartphone unajua ni kucheza game ,kubetia na kuingia Jf kuandika utumbo
Hyu Fabio Vieira aliyekuwa anaonekana nyanya msimu ulopita....kila mchezaji anatakiwa kupewa nafasi ya kufanya kile mwalimu anachomuelekeza...Kai mechi tatu mnaanza kuja kupiga kelele hmm....Acheze msimu mzima apate rhythm kama alivyocheza Pepe na ma flop mengine ndo aanze kujajiwa ila kwa sasa arukeruke tu...ni mda wake huuHatukutaka wapi wewe! umeshikilia 'hatukutaka' utafkiri wewe ndo ulikua sahihi.
Acha kujifanya uko sahihi muda wote. Sehemu mtu akizingua lazima asemwe.
Inawezekana vipi mtu awe sahihi muda wote?
Sisi hatujakataa kama Arteta ni kocha mzuri lakini haimaanishi kama hakosei.
Pep mwenyewe alizingua kwenye fainali ya UEFA 2021/22 kwa kucheza bila ya kiungo mkabaji huku akimuacha Rodri nje.. na ali admit.
Kwahiyo usijione muda wote wewe na Arteta wako mko sahihi.
Hata ikitokea Havertz akashinda hat-trick jumapili dhidi ya Man Utd haimaanishi kama alikua sahihi tangu mwanzo.
Huo muda anaopewa Kai angepewa ESR/Trossard/Fabio kwenye ile position tungekua tunaongea mambo mengine.