Arsenal (The Gunners) | Special Thread

namna timu inavocheza saivi ;role ambayo arteta anampa partey ya kuwa inverted full back wa upande wa kulia kaona anaicheza vema zaidi ndio sababu hataki iyo nafasi acheze mwingine kwa sasa.
Mbona second half mfumo uliporudi wa zamani tumeona game iki flow vizuri?

Ujuaji umezidi akubali tu alikula hasara kwa Havertz, amuweke benchi tu then 8 acheze Rice maana 6 haiwezi kabisa kulinganisha na Partey.
 
Kai aanze badala ya Rice au Trossard? Hapana kwa kweli, ni mzigo kabisa huyo. Hili kosa la kumsajili Havertz ndio yatatucost msimu huu. Mbaya zaidi tutashindwa kumuuza atatusumbua kama Pepe au Ozil!!
Arteta anataka atuoneshe kama hajakosea kutoa mahela yote kumsajili, yeye bado anamfikiria Havertz wa Leverkuzen..

Tukisema tumsubiri mpaka azoee namna yetu ya uchezaji tutaumia vibaya sana.

Msimu huu timu zote zimejipanga mno. Kuanzia City, Liverpool, Brighton, Spurs, Chelsea, n.k. Wachezaji wa timu zote wako physique hasa hizi midtable teams, mbinu zinaonekana, ukikaa vibaya unaumbuka!

Leo nilikua nawaangalia wapinzani wetu Spurs mpaka naogopa kwa soka wanalopiga. Wameleta kocha mwenye uwezo kawabadilisha sasa hivi hawabutui butui kama ile Spurs ya Conte. Wana build-up nzuri, wana pressing nzuri, wana wachezaji vijana wenye pace na energy.

Sasa Arteta na jeuri zake asipokua makini, kazi yote aliyoifanya ya kuijenga timu atakua kaiharibu mwenyewe.
 
namna timu inavocheza saivi ;role ambayo arteta anampa partey ya kuwa inverted full back wa upande wa kulia kaona anaicheza vema zaidi ndio sababu hataki iyo nafasi acheze mwingine kwa sasa.
Mkuu kweli???Usisahau ule msemo maarufu "mpira ni mchezo wa wazi"

Yani muunganiko wa White na Saka na Odegard upande wa kulia kule unakuwa sawa na ule wa Partey na Saka/Odergard?
 
Kai aanze badala ya Rice au Trossard? Hapana kwa kweli, ni mzigo kabisa huyo. Hili kosa la kumsajili Havertz ndio yatatucost msimu huu. Mbaya zaidi tutashindwa kumuuza atatusumbua kama Pepe au Ozil!!
Mkuu shukrani kwa kuni quote, hapo nimekosea kuandika, niliandika nikiwa na hasira sanaa

Kai mtoe kabisa hapo, ikiwezekana hata bench asiwepo.
 
kama mlivyokubaliana jezi zinarushwa juu watakao wahi kuzidaka ndio hao hao wanaanza πŸ˜†. Kai tunamjua ni mrefu na tutarajie kila game ataanza nashangaa wanaolalamika humu ndani kwanini kai aanze wakati maamuzi yalishafanyika pre season jezi zirushwe juu kupata first 11πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu utaratibu mwisho leo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…