Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu nyng wakikutana nao sasahv kwa kipindi kikubwa cha mechi wanawakaba 2v1 kwny flanks..hasa ule upande wa Saka niliona naona sana anakabwa na wawili
Saka akikabwa na watu wawili means anaprovide sapce kwa Kai na odegard
Hivyo hivyo na upande wa martinel

Achana na nafasi mbili alizokosa Nketiah, ambayo moja ndio ilikua ya wazi

Moments za saka na martinel wakiwa hatari ni chache sana, zinahesabika
Ata shoots zao golini zimekua chache, Kama martinel zingine alikua anakosa kabisa utulivu
 
Arsenal were controlling the game with the ball until Tomiyasu got sent off.

Very, very positive signs for the season.
 
Nashangaa sana hii issue ya Partey, wakati full backs wapo.
 
All four Arsenal substitutes maintained 100% pass accuracy after coming on against Crystal Palace tonight:

Jorginho (10/10)
Oleksandr Zinchenko (6/6)
Jakub Kiwior (4/4)
Gabriel Magalhães (1/1)

[@Squawka]
 
Nashangaa sana hii issue ya Partey, wakati full backs wapo.
Mfumo unataka hivo mkuu ,Partey ni fullback wa uongo tu

Kuna mtu alielezea malengo ya huu mfumo

1: Creates overoads kwenye phase zote

2: Maintain shorter distance btn players to have good passing game and easy to counterpress once ukipoteza boli

3: A good rest defense
 
Mkuu kauli mbiu ni ileile....Kila mtu abaki kwny matatizo yake...yle jamaa wa Nyukesto naona yupo kimya sana🤣🤣🤣....jana itakuwa alikuwa anaangalia mpira akiomba litutokee baya lolote aje kututolea mbovu humu....In short msimu huu maadui wameongezeka zaidi🤣🤣🤣...Wa Man u...wa Chesiiiiii....wa Liverkuku...wa Man shitty...wa Nyukesto yaani wanaomba tembo asipande juu ya mti tena
 
@Mkohoti na Flano hawawez kuja humu kwa fujo, flano anakuja humu sababu ni Arsenal fan aliyejikuta anashabikia nyumbu sababu alikuwa anaishi kwa shemeji yake shabiki wa manjesta,ili asimuudhi akawa anashabikia nyumbu

Ila Flano ni Arsenal mwenzetu

Hapa chin ni Flano na mkohotim
 
DavidJonesSky:


"Siwezi kuamini kwamba Caicedo tayari amevunja rekodi yako [ada ya uhamisho], Declan?"


Declan Rice:


"Niliiweka ukutani kwa wiki mbili, tayari imeshuka!"
 
Mkuu umepiga kwenye mshono


Kuna kipindi nikawa najiuliza huyu ni nyumbu gani ambae muda wote inaiwaza arsenal
Anatumia muda mwingi huku kuliko Kule unyumbuni

Nikasema huyu atakua the gunner, matumizi ya mihadarati, bangi, pombe ndio zimemkengeua huyu mtu
 
Mi nashangaa😅😅😅😅....hiki kitabia cha kumchukia jamaa wameambukizwa kutoka kwa akina Mkohoti...
Mpira mchezo wa wazi, tutakuja kuongea lugha moja siku moja. Hata mimi nilishawahigi mtetea sana Kai kama wewe. Kai anatabia ya kupromise, sasa kila mechi utapromisiwa weee, mpk mwisho wa siku lazima utupe kitaulo.
 
Sijui kama tutatoboa nao mkuu. Ngoja tuone.
 
Arsenyau mnataka mnipe rushwa ili na mimi niunge mkono juhudi?
Humu wakikosekana watu kama kina Flano na Mkohoti jukwaa litapoa sana hili, kila siku mtakua mnaishia kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu ndio maana watu wenye busara tunakuja humu kuweka mambo sawa.
Ila jana mbona niliwapongeza kiroho safi tu mkuu, ingawa mliondoka na points3 lakini mlivutishwa pumzi za moto, tena bahati yenu sana hakuwepo Zaha na Olise la sivyo humu leo kungejaa matusi.
Baada ya kadi nyekundu ya Tomiyasu kwa mara ya kwanza jana nimeweza kuipongeza defence yenu, sikutarajia kama mngekua na ukuta imara kiasi kile aiseee kwa jinsi Palace walivyokua wanawapelekea moto.
Kingine kadi ya pili aliyopewa Tomiyasu ile ki ukweli kabisa alionewa maana mimi binafsi sijaona kosa lolote alilofanya pale.
Kingine ni penalt ya wazi walionyimwa Palace baada ya Rice kumvuta na kumsukuma Eze ndani ya box, inawezekana refa aliikaushia hio penalt makusudi kwa kufuta makosa aliyoyafanya kwa Tomiyasu.
Kikubwa nilichokiona kwa Arsenyo hii Man Utd tuna point zetu 6 za wazi kabisa msimu huu, pona yenu ni marefa watuletee figisufigisu.
 
Kwa Takwimu hizi , Kai kukaa nje mtasubiri sana, EPL Kuna mechi Kama huwezi kuwin Aerial duels, Ground duels hutoboi



️ | Kai Havertz won more duels than any other player during Arsenal’s opening two League fixtures.


Nottingham Forest (8)
Crystal Palace (8)

That added element of physicality is just what Arteta wanted in midfield.
#AFC
 
Umeanza vizuriii, halafu ukamaliza na ujinga. Eti Manyumbu wachukue points 6 kwetu? Hata moja mkipata mkatambike milimani na baharini
 
Tunapigwa Sana low block

Ila usiombe upigiwe low compacted block na arsenal hii
Ata inzi hapenyi
 
Umeanza vizuriii, halafu ukamaliza na ujinga. Eti Manyumbu wachukue points 6 kwetu? Hata moja mkipata mkatambike milimani na baharini
Tarehe 3 sio mbali mkuu tuombe uzima tu, pona yenu ni mbeleko toka kwa marefa kama walivyo wabeba jana dhidi ya Palace.
Arsenyani hata akiwa mzuri kiasi gani ila akikutana na Man Utd anatetemeka, sijui ni ule uwoga wa kucheza na timu kubwa zaidi duniani.
Kikubwa hio 3Sept tutawapelekea moto mpaka mpate watoto.
 
Hujui mpira ,aliyekaa na mpira muda mrefu ni Kai
Mkuu huwa huangalii uchambuzi au?
Kai amekaa na mpira 8.4 seconds
Tomiyasu kakaa na mpira 8.8 seconds

Waliweka wazi jana ile ile baada ya mechi.

Ingawa 0-10 seconds zinahesabiwa ni mda wa kawaida. Ila jumla ilikua 17 seconds na wa mwisho ndo kimemfia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…