[emoji91][emoji599]Only 2 teams defeated Crystal Palace at Selhurst Park in the last 10 league games.
[emoji599]Arsenal and Manchester City. Both were 1-0 wins.
[emoji599]Not an easy away ground by any means.
Mission accomplished [emoji736]
🤣🤣🤣🤣...ashinde Ili wabaki naye sio...akikaa pembeni wanaweza wakapata mtu mwingine hatari akabadili timu kabisaHuyo Anthony masebene ashinde hiyo kesi, maana wanaweza pata mwenye afadhali
[emoji1][emoji1][emoji1]Huyo Anthony masebene ashinde hiyo kesi, maana wanaweza pata mwenye afadhali
Hawa waarabu washenzi sana....hawamuoni Magwaya yupo sokoni.mpk wamfate super defender wetu....[emoji2788] @FabrizioRomano -
"Al Ittihad representatives are in London to try to convince the player & club, but my source told me jokingly that it would take €200M for Arsenal to sell Gabriel now. Especially now, after the Timber injury."
(Via Youtube )
youtube.com/watch?v=q2dxJZ…
Kwenye makalatasi ni left back, Ila on the pitch alikua mido ya leftMy Full Time thoughts:
- Saliba is 1 of 1 Rolls Royce, best in the world
- Tomiyasu was poor but harsh red card
- Partey RB gimmicks has to stop please
- Kai Havertz again was solid
- Ødegaard showed Enzo how to turn up when your team needs you
- Declan Rice what a guy
- Zinchenko is the best inverted Full Back in the world if you have a Football brain
- David Coote, God will punish you. Amen!!
On to the next one
Let me know your thoughts gooners [emoji3590]
Sub ya zinchenko na Kiwior ilirudisha possession, kupunguza pressing Arteta alione hapa niweke viungo na mabekiMy Full Time thoughts:
- Saliba is 1 of 1 Rolls Royce, best in the world
- Tomiyasu was poor but harsh red card
- Partey RB gimmicks has to stop please
- Kai Havertz again was solid
- Ødegaard showed Enzo how to turn up when your team needs you
- Declan Rice what a guy
- Zinchenko is the best inverted Full Back in the world if you have a Football brain
- David Coote, God will punish you. Amen!!
On to the next one
Let me know your thoughts gooners [emoji3590]
Umemaliza Kila kitu mkuu😀😀😀Sub ya zinchenko na Kiwior ilirudisha possession, kupunguza pressing Arteta alione hapa niweke viungo na mabeki
Alafu mmoja awe amaotea Kule mbele ambae ni Kai
Joginho, rice, partey, Kai
Wengine wote walikua back line
Mipira yote iliyopigwa kwa Kai alikua anaituliza, then anaachia moja timu inasogea
Game ilikua tough baada ya ile red card, credit to players they know how to defend as unit
Yule ni mzigo tutakuja elewana tu December. Last year nilieleza humu depth itatuua nikatukanwa weeh ila alipoumia Saliba wote tukaanza lia lia humu.Endelea kuota😅😅😅😅...ni wpi kwny mechi alitakiwa kutoa assist akashindwa kutoa leo😅😅😅
Kuna Partey halafu Kuna riceThomas Partey's game y numbers v Crystal Palace:
100% groud duels won
100% aerial duels won
100% take-ons completed
100% tackle success
100% crossing accuracy
4/6 long balls
7 duels won
2 crosses
6 ball recoveries
3 tackles
1 clearance
72 touches
89% pass accuracy
7 passes into the final 3rd
2 shots
1 chance created
2 fouls won
[emoji223][emoji223][emoji223]
Octopus partey [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2724895
Muda utaongea😀😀Yule ni mzigo tutakuja elewana tu December. Last year nilieleza humu depth itatuua nikatukanwa weeh ila alipoumia Saliba wote tukaanza lia lia humu.
Subiri tu by January Havertz atakua anatafutiwa timu ya kwenda mkopo.
Timu nyng wakikutana nao sasahv kwa kipindi kikubwa cha mechi wanawakaba 2v1 kwny flanks..hasa ule upande wa Saka niliona naona sana anakabwa na wawiliMy compliment zinaenda kwa saka na martinel
Bado sijawaona katika ile peak level yao
Bado wanapata shida kwenye hizi One against one, ambazo tunatumia kuwaadhibu opponent wetu
Au game ya Jana ilikua ni ngumu?
Wings zetu ziongeze makali, at the moment ndio silaha yetu kubwa
Na hizo wings zinapata supply ya mipira muda wote
Odegard, rice, partey wote wanafanya majukumu yao kwa usahihi mkubwa
Backline yetu so far is so good, wapunguze kujisahau na errors ndogo ndogo waziondoe
Saka na martinel
Waongeze makali zaidi zaidi na zaidi
Ukiniambia waliocheza vibaya, nitawataja hao wawili