Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,844
- 16,298
Castr katika mashabiki wachache wa Arsenal wewe ni miongoni mwao ambao hua unaangalia mpira kwa jicho la 3.Chief unajua kua upande wote wa Tomi, Kai na Martinelli ulikua hovyo leo?
Mipira aliyokua anaomba Rice ilitakiwa iombwe na Kai
Hayo makosa wenzako karibia wote hawakuyaona kutokana na kutanguliza ushabiki zaidi kuliko uhalisia.
Ila humu nakuhakikishia utaishia kutukanwa tu na kuonekana ni mamluki.
Humu ili uonekane wewe ni pure Arsenal fan hutakiwi kukosoa makosa ya wazi direct, ukitaka kukosoa kwanza unasifia halafu ndio unachomekea hayo makosa kiujaujanja pasi wenye hati miliki ya kua mashabiki wa Arsenal kukushtukia.