Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uko sahihi kbs mkuu ila tatzo la Nketiah ni mtumizi makubwa ya nguvu kuliko akili
Hapana kaka he is still learning mm nketiah kwakwel naona anazdi kua bora na ninachokiona ameamua kubadilika na kujifunza zaidi
 
Nketiah sio mbaya sana,kama ni ST basi inabidi apatikana profile high class hasa.ila dogo kakosa kamba mbili clear kabisa ila ndo mchezo
 
Sub ni moja tu ya kubadili game ndan ya dakika 10 za mwanzo

Kai out
Troussard In.

Uko pengine paachwe ivyo ivyo kwanza.
 
Aliyeleta hiki kifaa arsenal Tunaomba alete wa pili tumalize kazi ...Gabriel is good ila ana silly mistakes tukimpata mtu mwenye kariba ya SALIBA sjui nseme nn
Screenshot_20230821-225620.jpg
 
Sub ni moja tu ya kubadili game ndan ya dakika 10 za mwanzo

Kai out
Troussard In.

Uko pengine paachwe ivyo ivyo kwanza.
Hii game inamuhitaji sana zinny kuliko trosard kwa sasa, kai ametulia sana hafanyi mistakes anayefanya kidgo kauwalakin ni tomi...akili ya pasi mpenyezo ya zinny inahitajika kuwapa kai na nketiah goals
 
Huo mfumo ulivyoiva bale Barcelona ile ya xavi, iniesta na Messi
Watu tulikua tunaona Kama wanacheza mpira rahisi Sana
Lakini iniesta alipohojiwa akasema, hakuna mpira mgumu tunaocheza Kama huu mnaouona, coz muda wote inahitaji ukimbie, uame vyumba, utoe mpira upewe mpira

Huo mfumo wanahitaji wachezaji sharp Kama ulivyosema
Lakini pia wachezaji wanye uwezo wa kuusoma mchezo kwa haraka, pass accuracy
Tena niliona ukiwaambia nyumbu, pass zinafundishwa, haziji hivi hivi[emoji1][emoji1][emoji1]

Profiles anazohitaji Arteta ni blue print ya cryuff baba wa tiktak
Tupo phase ya nne, phase ya tano ndio makombe yanaanza kuingia according Arteta. Yeye anakuambia hapo timu bado inakosa balace baadhi ya maeneo.

City anatufanyia roho mbaya hataki kutuuzia wachezaji
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee kumbe hii ni fezi ya 4 halafu Arteta kawadanganya kua fezi ya 5 ndio makombe?
Kwa hio msimu huu mkibahatika kuingia top 4 mtakua mmeover archieve tena sio?
Niwasanue tu msimu huu mnatoka patupu kama msimu ulioisha halafu msimu unaofata ndio mnapoteana mazima.
Msimu ujao Arteta akiulizwa kuhusu makombe atajitetea tena kwa kusema hii ni phase ya 4.5 phase ya 5 ndio ya makombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1566244996_540x407.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee kumbe hii ni fezi ya 4 halafu Arteta kawadanganya kua fezi ya 5 ndio makombe?
Kwa hio msimu huu mkibahatika kuingia top 4 mtakua mmeover archieve tena sio?
Niwasanue tu msimu huu mnatoka patupu kama msimu ulioisha halafu msimu unaofata ndio mnapoteana mazima.
Msimu ujao Arteta akiulizwa kuhusu makombe atajitetea tena kwa kusema hii ni phase ya 4.5 phase ya 5 ndio ya makombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2724647
Andaeni points 6 zetu
 
Arsenal inacheza mpira wa ushindi walah, ila wameshindwaje kufunga magoli ya Movement hadi kupambania mkwaju huu wa penalty.
 
63'

Thomas Partey (Arsenal) aliunganisha pasi pembezoni mwa eneo la goli, akilenga na kupiga shuti. Jaribio lake lilielekea kwenye paa la wavu, lakini Sam Johnstone alikuwa macho na matokeo yalibaki vile vile. Mchezaji mstari anaelekeza bendera ya kona, Arsenal wanaenda kutwaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom