Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partey na Rice wanacheza huku wakionyesha wanataka matokeo
 
Maanina Nketiah hatuna Foward
Aah kaka nketiah mi naona kacheza vzuri sana leo yan ana ule usumbufu kama wa Jesus na akiendelea hiv atakua potential sana this season...rice kwakwel kila game anazdi kuwa bora huyu jamaa AISEE tume lamba dume...SALIBA ooh my GOD...haelezeki PARTEY NA MARTINEL huu mfumo umezidi kuwafanya wawe bora... Nisiwe mnafki ziiny, timber na Jesus wakija fit huu mfumo SIJUI KAMA KUNA KOMBE TUTAACHA hahahah.
 
Nketiah ndio anafanya pressing. Hajacheza vibaya
Mi nashangaa sana wanaomlaumu nketiah sjui mnaangaliaje mpira aisee ...leo timu nzima inacheza perfect ni hvyo tu chances bado ila believe me this team will do BIG
 
Aah kaka nketiah mi naona kacheza vzuri sana leo yan ana ule usumbufu kama wa Jesus na akiendelea hiv atakua potential sana this season...rice kwakwel kila game anazdi kuwa bora huyu jamaa AISEE tume lamba dume...SALIBA ooh my GOD...haelezeki PARTEY NA MARTINEL huu mfumo umezidi kuwafanya wawe bora... Nisiwe mnafki ziiny, timber na Jesus wakija fit huu mfumo SIJUI KAMA KUNA KOMBE TUTAACHA hahahah.
Uko sahihi kbs mkuu ila tatzo la Nketiah ni mtumizi makubwa ya nguvu kuliko akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom