Jamaa ni mbishi sana anaona falsafa yake imefeli lakini hataki kuwa muungwana na kubadilika mbona barcelona wanasajili wacheza kwa pesa ya maana na wachukua vikombe.Yani mkuu kila siku zinavyozidi kwenda bora jana.
Hakuna kitu kibaya kama mikosi iachanganyike na uzembe. Mikadi nyekundu, injury jumlisha kutofanya maamuzi mapema ya issue za fabregas na Nasri haya ndio mavuno tunayopata.
Lakini siwezi kulalamika sana kwa leo kwani timu ni mahututi kwa sasa kutokana na hizo kadi,injury na Wenger kuendelea kutafuta quality. Mda hupo wa kufanya usajili na hata kama itachukua matokeo mabaya kumshawishi zaidi Wenger kufanya usajili basi hiwe hivyo.
Wala hatutaki wachezaji wengi wa tatu tu wanatosha.
"Yule" jamaa huwa atokei hapa mpaka aone ameshinda, mwoga kweli....khe khe kheeeeeeeeeeee!!!!
kushinda footbal lazima uwe na bahati mkuuYani mkuu kila siku zinavyozidi kwenda bora jana.
Hakuna kitu kibaya kama mikosi iachanganyike na uzembe. Mikadi nyekundu, injury jumlisha kutofanya maamuzi mapema ya issue za fabregas na Nasri haya ndio mavuno tunayopata.
Lakini siwezi kulalamika sana kwa leo kwani timu ni mahututi kwa sasa kutokana na hizo kadi,injury na Wenger kuendelea kutafuta quality. Mda hupo wa kufanya usajili na hata kama itachukua matokeo mabaya kumshawishi zaidi Wenger kufanya usajili basi hiwe hivyo.
Wala hatutaki wachezaji wengi wa tatu tu wanatosha.
King Kenny anatakiwa aongeze high scoring striker wa kumsaidia Carrol. Pamoja na kufungwa I think Arsenal wamecheza vizuri esp. for the 1st half.Wakuu i have to be honest
Leo kwa mara ya kwanza nimeanza kumuelewa Wenger.... I never expected Arsenal kuwa na watoto wengi vile na nadhani wana very high standard kulinganisha na bei za akina carrol, henderson au downing... Yes we won but once again, it can be proven kwamba english players are trash ni hadi suarez na raul walipoingia ndio gemu ikachenji, tena after a red card
I didnt want to say a word lakini kuna ka-dogo kanaitwa wacha, kana kelele kuliko kware na kuna wakati kanakera sana
Let enjoy soccer harmoniously
Leo we won but liverpool is still not convincing and arsenal wana watoto wazuri mno but their goalie is one of the best
Poleni watani, tumeondoa gundu la zaidi ya miaka 10 na its just game two
Tumsubiri Mzee wa khe khe khe atasemaje, Kama kawaida wakati wa mechi anaingia mitini
carrol is just a waste of other liverpool taletKing Kenny anatakiwa aongeze high scoring striker wa kumsaidia Carrol. Pamoja na kufungwa I think Arsenal wamecheza vizuri esp. for the 1st half.
Atasema Chelsea na Manchester wametoa baasha kwa Ramsey ajifunge goli la kwanza.....kazi itakuwa kudefend hilo la pili.
King Kenny anatakiwa aongeze high scoring striker wa kumsaidia Carrol. Pamoja na kufungwa I think Arsenal wamecheza vizuri esp. for the 1st half.
carrol is just a waste of other liverpool talet
he is slow and not intelligent
i would given kuyt, suarez combo as my prefered stiking force
Downing and Enrique were outstanding!Carroll is rubbish, but Kenny has to justify his expensive buys!
to me carrol was just a buffer (business) to calm the kops in january, he was more of a decoy rather than a footballing decisionCarroll is rubbish, but Kenny has to justify his expensive buys!

All the other clubs made their moves only Wenger and Arsenal are still waiting!
Bado timu ya Arsene Wenger ni nzuri. Inahitaji tu a few reinforcements kama a top striker, centerback, goalie and one midfilder.

Sasa gunners ni vipofu katika chumba chenye giza tukimtafuta paka mweusi ambaye pia hayupo!

Bado timu ya Arsene Wenger ni nzuri. Inahitaji tu a few reinforcements kama a top striker, centerback, goalie and one midfilder.
to me carrol was just a buffer (business) to calm the kops in january, he was more of a decoy rather than a footballing decision
I wish is get shot in the arse and die
ohh, we can loan him out to arses
hadi sasa sielewi wenger anatoa wapi wale watoto............ fringpong is the man
sasa subiri campbell azoee na kale ka ox-chamberlain