Kwa mpira uliopigwa jana pale Ittihad bado nawapongeza sana Newcastle kwa namna walivyosimama na City nyumbani kwao.Yule mpiga kelele wa Newcastle ambae hua anashinda kwenye jukwaa la Arsenal aje achambue timu yake inapigiwa mpira uku na City
Mechi ya marudiano pale St James Park watakula 3 vijana wale...bdo watoto wadogo sana wale...wamepumzika wiki nzima wenzao hawakupata mda wa ku relax na bdo wametwangwa....Nyukesto hata nyumbu atajipigia...hawana hyo mentality bdoKwa mpira uliopigwa jana pale Ittihad bado nawapongeza sana Newcastle kwa namna walivyosimama na City nyumbani kwao.
Dakika ya 65-80 City walipelekewa Moto wa hatari ile utatoa au hautoi ila ndio hivyo tu bahati haikua kwao, ilifikia kipindi possession New 82% - City 18%
na pia kwa uimara wa City sio Newcastle tu hakuna timu yoyote kwa sasa duniani inatamani kukutana na Pep.
Kwa mpira wa jana Newcastle kufungwa goli 1 tu mimi naona ni mafanikio makubwa sana kwao, baada ya misimu miwili wanaweza kumchallenge Guardiola.
Pira lile pale Ittihad angekua ni Nyumbu, Arsenyeto, Liverkende au Chelkenge wangekula goli zisizopungua 3.View attachment 2722591
Thubutuuu pale St, James Park City akijitahidi sana ni draw, ila hizi kenge nyingine zote nilizozitaja msimu huu kwa hawa vijana wa Eddie Howe wanapigwa nje ndani.Mechi ya marudiano pale St James Park watakula 3 vijana wale...bdo watoto wadogo sana wale...wamepumzika wiki nzima wenzao hawakupata mda wa ku relax na bdo wametwangwa....Nyukesto hata nyumbu atajipigia...hawana hyo mentality bdo
Thubutuuu pale St, James Park City akijitahidi sana ni draw, ila hizi kenge nyingine zote nilizozitaja msimu huu kwa hawa vijana wa Eddie Howe wanapigwa nje ndani.
Tuombe uzima tu mkuu ila hawa Newcastle wako very strategically, kwenye Epl mpaka sasa hivi bado sijaona timu yoyote iliyojipanga kumnyang'anya ufalme wa Epl Pep Guardiola zaidi ya hawa vijana wa MBS.Hawqna huo ubavu...narudia tena...Hawana...ni wakimbiaji kama nyny tu wale...walichowazidi ni kwmba wao confidence Yao ipo juu tu....ila kwnda toe to toe na watu wazima bdo sana...arsenal... Chelsea...hata Brighton na Liverpool hatabeba point kwa hzo timu ..unabisha tupo hapa
Sawa tutaona😅😅😅...Hawa ni version yenu ilochangamka....Tuombe uzima tu mkuu ila hawa Newcastle wako very strategically, kwenye Epl mpaka sasa hivi bado sijaona timu yoyote iliyojipanga kumnyang'anya ufalme wa Epl Pep Guardiola zaidi ya hawa vijana wa MBS.
Hawa Arsenyau ni kama wamachinga tu kitu cha 5000 wanakuanzia 50,000/-Yaani hii takatakata iwe 150! Aisee dunia imeisha wachezaji au?
Flano vipi kuhusu manyuu kw nyukesto mtatoka?Tuombe uzima tu mkuu ila hawa Newcastle wako very strategically, kwenye Epl mpaka sasa hivi bado sijaona timu yoyote iliyojipanga kumnyang'anya ufalme wa Epl Pep Guardiola zaidi ya hawa vijana wa MBS.
Wanaleta utaniNa niliona kuna kimtandao cha Uturuki huko wamejipaisha eti tumepanga kuwauzia Besiktas Partey kwa £12 million nikacheka sana[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Brighton wauaji wale wanaweza piga nyumbu goli 5-0Flano vipi kuhusu manyuu kw nyukesto mtatoka?
Newcastle timu ya kawaida, ungeniambia Brighton ningeshtuka
Njooni tuwauzie Ryan Nelson...atawasaidia kwny upande wa flanks...sio hela nyingi £ 80million tu maboss zetu😅😅😅Hawa Arsenyau ni kama wamachinga tu kitu cha 5000 wanakuanzia 50,000/-
Kwenye hizo bei wanazojiropokea wala wasikuumize kichwa wewe punguza sifuri moja ndio unapata bei halisi.
Yaan mmeuziwa yule Anthony masebene kwa €100mHawa Arsenyau ni kama wamachinga tu kitu cha 5000 wanakuanzia 50,000/-
Kwenye hizo bei wanazojiropokea wala wasikuumize kichwa wewe punguza sifuri moja ndio unapata bei halisi.
Ww ndo inaonekana wachezaji wako hata ukiuza sh 50 hawauziki😅😅😅...In short msimu wenu ushaharibika mpk Sasa...tunasubiri siku mtakayodundwa goli 10...iwe sherehe ya kitaifaHawa Arsenyau ni kama wamachinga tu kitu cha 5000 wanakuanzia 50,000/-
Kwenye hizo bei wanazojiropokea wala wasikuumize kichwa wewe punguza sifuri moja ndio unapata bei halisi.
Huyu pep ni hatari sana, sikuona kama kafanya sub yoyote janaIla Genius Pep Kipara alimkamata Arteta last season na ubora tuliokuwa nao and today tumejionea jinsi Newcastle alivyoshikwa shati kupata on target imekuwa ni bonge la exercise [emoji114][emoji114][emoji114]
Kwa mpira upi wa Nyumbu aweze kuchomoka kwa Newcastle?Flano vipi kuhusu manyuu kw nyukesto mtatoka?
Newcastle timu ya kawaida, ungeniambia Brighton ningeshtuka
Kocha wenu ni dalaliKwa mpira upi wa Nyumbu aweze kuchomoka kwa Newcastle?
Newcastle hii ya kina Tonali nyumbu akipona sana kala goli 7.
Kwa sasa hivi nyumbu yetu ni kama Kitayose tu pale Epl.
Yote hayo mmeyasababisha nyie Chelkenge kwa kutuletea paparazi lenu Freemason Manati lije kutuvuruga pale kati.
Uko mpira unapoelekea sio kufunga tu goli kupata on target tu kama huna timu ya kueleweka na inacheza nini itakua ni kazi sana aiseeNa yeye Pep kupata on target kwa Arsenal siku hizi itakuwa mtihani ,alienda dakika 60+ anaitafuta on target kwa Arsenal haipati ,unajua kwanini
Mifumo anayocheza Pep ,Arteta anaijua vzr Sana
Kama huo wa 4CBs , wa kuinvert RB,LB,au CB awe kiungo ,
Hiyo mifumo ina principle zake
Ndio Maana makocha wengine wakijaribu wanaishia kuharibu zaidi