Mkuu muone daktari haraka kabla hujachelewaNikitazaa michuano ilivyo mingi halafu nikicheki na kakikosi chenu basi nacheka lakini naogopa[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mtimu sioni kabisa mukitoboa top foo msimu huu.
Ishakaa poa [emoji120]Mimi nafungua kwa app,angalia huko juu nimetoa maelekezo jinsi ya kuingia kwa app bila shida
Kwli kabisa...huu ni upendeleo wa wazi😅😅😅Hii timu inabebwa sana ..inatengenezewa mazingira ya kubeba EPL. Haiwezekani mukae zaidi ya siku nane na bado munacheza jumatatu.
Arsenal yeyote anacheza , umesahau vs city ,sub zetu zilimfanya city apaki basi
Manjesta na Spurs wanavyocheza unaona kabisa itakuwa ujinga wetu tukishindwa kubeba points 6 kwa kila mmoja ,Manyumbu yanaongozwa
Carragher aliongea juzi, na Leo ka retweet Tena ,anasema manjesta ni wapumbavu walinunua DM miaka 30+ kwa £70m , ambaye anamaliza muda wake ,wakati Arsenal na Chelsea wamenunua asset za miaka 5-9 mbele, Rice na Caicedo , akasema manjesta watateseka Sana na pesa zitawatoka Sana kutafuta DM mzuri mwenye umri mdogoCasemiro hoi