Arsenal (The Gunners) | Special Thread


View: https://youtube.com/shorts/M_QP5-p_6l4?feature=share
 

View: https://youtu.be/lfA1PfhsOt0
 
Huyo hapo msikilize


View: https://youtu.be/lfA1PfhsOt0
 
Hizi habari mnapataga wapi watu wa arsenal???


Mane aliombwa abaki kwa mdomo wake akasema anataka akatafute challenge nyingine
Hamkumpa kibunda anachotaka mkuu...ize tu...kwa heshima ya klabu na mashabiki inabidi awe cool baada ya huduma ya mda mrefu....Bayern walimpa mara tatu ya mlichokuwa mnampa nyny na kwa umri wake kwann asiende kuchukua hela za kumalizia mpira.... Liverpool ni timu kubwa sana mkuu...rekebisheni mishahara...zama zimebadilika
 
90% ya kikosi Cha city kimetumika non stop
Hapo Kuna fatigue au huge injuries kabisa

Driving force ya city ilikua inaanzia kwa bernado na gundogan.
Hao wapuuzi muda wowote wanapindua matokeo, ule msimu game za mwisho za ligi Aston Villa ameshamkalisha city,watu tukajua Liverpool ni champion
Kuanzia dakika ya 75 bernadal na gundo wwlichekecha, Villa mwenyewe akatanua mapaja. City akachukua kombe

Gundogan kashasepa
Akiondoka na bernado city watakua weupe Sana

I feel sorry kwa KDB, lakin nguvu ya city ni hao watu wawili

Haaland alienda unyumbuni na weghost angekuja city, ungegundua hawana tofauti kubwa
 
Mimi sishukuru kwa kubebwa bali nashukuru kwa ile mechi kupangiwa kucheza na Wolves, hebu vuta picha ile mechi ndio tungekua tunacheza na Newcastle hii ya kina Sandro Tonali hali ingekuaje?
 
Lucas Paqueta yuko njiani kutua Etihad, Huyu Pep kuendelea kuwepo kwenye Epl basi shida itabaki palepale tu, wala hata tusijifariji kuumia kwa KDB na kuondoka kwa Mahrez na Gundo.
Pep ndio mwenye sifa stahili ya kuitwa The tactician & Masterclass sio huyo Michelle LaVaughn Robinson Arteta.
 
Nawashangaa mashabiki wa Arsenal. Mechi dhidi ya Nottingham mmeshinda 2-1 na key players wawili wameshaumia wakati ndo kwanza mechi moka. Msinene mkamala mambo.mabaya yanakuja
Ulitaka tushinde ngapi mkuu..hao key players ni kina nani waloumia...Timber amecheza mechi ngapi msimu huu wa ligi mpk aitwe key player....Jesus mwaka jana hakuumia kwni...baada ya kuumia timu iliendeleaje kwni...yyte anayekuja tutacheza naye kwa namna inavyotakiwa kucheza naye....tuna watu wa kutosha
 
Mashabiki wa manjesta bhana akili zao
 
It is understood Timber is now expected to undergo surgery to repair the injury and is likely to miss a minimum six months of the season, although Arsenal are reluctant to put a specific timescale on his recovery.

(@SamiMokbel81_DM )
Kama wazungu wanapiga ndumba, Basi KT kuna jambo kafanya asee. Get well soon Jembe Letu, come back stronger 💪
 
It is understood Timber is now expected to undergo surgery to repair the injury and is likely to miss a minimum six months of the season, although Arsenal are reluctant to put a specific timescale on his recovery.

(@SamiMokbel81_DM )
Habari mbaya sana hii aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…