We jamaa kamba utaacha lin?Angefanya wanavyodai angeutafuta Mpira,lakin alifanya hivo akijua Nini anafanya
Mkuu wewe unaona alijpigia tu?We jamaa kamba utaacha lin?
Hakuna aliyecheka labda manjesta, kuumia kwa nkunku tulitoa poleMlitucheka sana kwa Nkunku sasa naona na ninyi mambo yamewageukia.
Sisi tuna fofana, Nkunku na wengine
Ninyi mna timber na Jesus. Tuwaombee wapone haraka sana ili tuweze kuwaenjoy.
Mpira ni Burudani
Hii habari imenihuzunisha sana aisee KDB ni mtu na nusu kwenye Epl.𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Kevin de Bruyne will be out for “few months” as his injury is serious️
◉ Guardiola: “Kevin will be out for some months, we will decide on surgery in the next days with medical staff”.
◉ “In that case, three or four months out”, Pep added.
Get well soon, @kevindebruyne
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hakuna aliyecheka labda manjesta, kuumia kwa nkunku tulitoa pole
Kabisa mkuu. Anatusumbua sana jamaa ila anajua na ukimkuta anacheza na mpinzani wako unajiruhusu kuenjoy kumuangalia.Hii habari imenihuzunisha sana aisee KDB ni mtu na nusu kwenye Epl.
Declan Rice chose Arsenal over Bayern, Chelsea and Manchester City.
Kai Havertz chose Arsenal over Bayern Munich and Real Madrid.
Jurriën Timber chose Arsenal over Manchester United.
David Raya chose Arsenal over Bayern Munich.
When you're big, you're big
Arsenal Kama kumchukua Lavia tungemchukua , deal lake Lili depend na some outgoingsCaicedo chose Chelsea over liverpool
Lavia Chose chelsea over liverpool, Arsenal
Olise chose Chelsea over Man city, liverpool na sijui timu gani tena
Tatizo hamnisikilizagiHii habari imenihuzunisha sana aisee KDB ni mtu na nusu kwenye Epl.
Caicedo chose Chelsea over arsenal and Liverpool.Declan Rice chose Arsenal over Bayern, Chelsea and Manchester City.
Kai Havertz chose Arsenal over Bayern Munich and Real Madrid.
Jurriën Timber chose Arsenal over Manchester United.
David Raya chose Arsenal over Bayern Munich.
When you're big, you're big
Uliona wapi arsenal kapeleka bid kwa Brighton dirisha hili na Caicedo akasema haitaki Arsenal anaitaka Chelsea 😅😅😅...Liverkuku wachezaji weusi wameshaona nyny fadhila hamna hata mtu awatumikie vipi mfano mzuri kwa Mane...alikuwa punda kwny timu yle...Sasa mpango ni huuhuu...kuwakataa mwanzo mwsho...tafuteni wazungu wawafanyie kazi ngumuCaicedo chose Chelsea over arsenal and Liverpool.
Yah naona hiko kitu wachezaji weusi hawathaminiki pale Liverpool,mfano mzuri ManeUliona wapi arsenal kapeleka bid kwa Brighton dirisha hili na Caicedo akasema haitaki Arsenal anaitaka Chelsea...Liverkuku wachezaji weusi wameshaona nyny fadhila hamna hata mtu awatumikie vipi mfano mzuri kwa Mane...alikuwa punda kwny timu yle...Sasa mpango ni huuhuu...kuwakataa mwanzo mwsho...tafuteni wazungu wawafanyie kazi ngumu
Yah naona hiko kitu wachezaji weusi hawathaminiki pale Liverpool,mfano mzuri Mane
Had anaondoka analipwa £100kp week, wagonjwa wanaoshinda wodini wanalipwa £180+ per week
Huku kwa vilaza wenzako ndo kunakufaaYah naona hiko kitu wachezaji weusi hawathaminiki pale Liverpool,mfano mzuri Mane
Had anaondoka analipwa £100kp week, wagonjwa wanaoshinda wodini wanalipwa £180+ per week
Hizi habari mnapataga wapi watu wa arsenal???Kbisa....jamaa alikuwa ana mapenzi ya dhati na Liverpool...akawaomba wamboreshee mkataba kwa kumuongezea mshahara na haikuwa hela nyingi sana kama alokuwa analipwa Bayern Munchen lakini wapi wakaona hafai Bora waachane naye....Sasa ile inaweza kutumika kama reference kwa vilabu vingine vitakavyokuwa vinagombea mchezaji na jamaa....wakiambiwa pale Anfield kuna ubaguzi ni rahisi sana kwa mchezaji kushawishika na ndo haya yanayotokea
Mkuu, sisi the gunners last time tumepiga hood kwa Caicedo, nadhani unakumbuka ilikuwaje. Aliandika mpaka kuhusu wadogo zake 11, shangazi zake 22, mama sake wadogo, binamu, n.k. Ila Brighton tuuu, walikaza kumuuza.Caicedo chose Chelsea over arsenal and Liverpool.
Kbisa....jamaa alikuwa ana mapenzi ya dhati na Liverpool...akawaomba wamboreshee mkataba kwa kumuongezea mshahara na haikuwa hela nyingi sana kama alokuwa analipwa Bayern Munchen lakini wapi wakaona hafai Bora waachane naye....Sasa ile inaweza kutumika kama reference kwa vilabu vingine vitakavyokuwa vinagombea mchezaji na jamaa....wakiambiwa pale Anfield kuna ubaguzi ni rahisi sana kwa mchezaji kushawishika na ndo haya yanayotokea