Kinachonifurahisha Newcastle United ni Team ambayo inawachezaji wengi wazuri ambao hawaimbwi sana lakini wana balaa.Newcastle tupo pale juu ya mti kama nyani tu kudondoka sahau au miti imetereza tofauti na nyinyi tembo juu ya mti.
Tuseme ukweli tu hivi kwa yote yaliyotokea last season hata ukashika nafasi ya kwanza kwa muda tu una uwezo wa kujigamba au kuwa na guts za kusema utakuwa bingwa si watu watakuona chizi .
Mkuu ukikuta source yyt imetoa takwimu mtandaon hao ni watu kama sisi naww jiongeze tumia akili yako appearance sio kipomo cha kihesabu kwa player ambae co regular ungesema minutes play.....ndo unawez pata uhalisia mzuri
Huyo source za FA wenye ligi yao hazikubali anataka source za Masebene[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa mbele yako hua ni weupe hawana hoja kabisa, unajua kwenda nao toe to toe mpaka wanakua wakali na kuanza kukuattack kwa maneno ya kwenye kanga.
Yaani sasa hivi kila nikiona comment yoyote ya Labyrinth 84 kwanza kabisa naanza kuLike then ndio nasoma maana najua kabisa misumari unayopigilia humu ni ya utosi sio porojo kama za kina Flano
Kinachonifurahisha Newcastle United ni Team ambayo inawachezaji wengi wazuri ambao hawaimbwi sana lakini wana balaa.
Mtizame Alexander Isack, Callum Wilson, Kierphan Tripper, Nick Pope, Anthony Gordon e.t.c
Halafu dakika zote 90 hawachoki, wanapress na kuzuia vizuri sana.
Halafu hapo kwenye midfield jinsi wanavyopishana kina Bruno, Tonali na Joelinton ni balaa kweli kweli.
Hawa Newcastle siku wakikutana na team mbovu kama Arsenyau wanaweza kuwagonga hata goli 10 vizuri tu.View attachment 2716997
Nipe Takwimu za nketia kaanza game ngapi kati ya izo 30, na ana wastani wa kucheza dakika ngapi? Au unazani natunga tunga tu? Mbona unaleta takwimu nusu nusu maliza zote[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hizi takwimu ni za EPL official website au unaona kama nimejitungia mkuu, tumeamua kuwauliza wenye ligi wenyewe bado unabisha unaniletea takwimu za kwenye gahawa.
Alafu huyu kenge anaejidai yy ni newcastle ni wakupuuza tu...newcastle inamashbk Tz toka lini tunamjua mzee wa msoga tu nae huwa ni mjanja mjanja tu labda uhamie mancity timu ya watoto wa 2005 hata mdogo wetu wa mwisho anaishabikia
Nje ya takwimu zinazotolewa na Mc Masingeli hawa misukule hawataki kuzikubali humu, hapo hata uwape na link ya FA bado watu watakaza shingo.Anakwambia takwimu zinatolewa na watu sasa unajiuliza anataka takwimu zitolewe na nan ndo azikubali , yeye anataka mpaka malaika wampe takwimu ndo azikubali ila watu hapana[emoji23][emoji23] tena na huyo malaika lazima awe upande wa Arsenal.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa wazee pressing na overloading wao wenyewe wanajijua kua ni one season wonder.Tunawasubiri kwa hamu hawa Arsenyau maana wao ndo wanajiona wana timu bora pekee yao juzi tu na forest washaanza kushikana mashati, watachezea kuni zakutosha[emoji23]. Kama ule msimu tuliwavua mbio za kombe lao muhimu(top 4) arteta akamshika shati tavares anamwambia hawezi kucheza UEFA anafoka mpaka sauti imeishaa[emoji23][emoji23] cha ajabu mwanao tavares ndo akawa mchezaji pekee kucheza UEFA msimu uliofuata.
Arsenal fans wanaamini wachezaji wazuri wapo kwao tu hata ukiwa mbovu ukitua kwao tu ubovu wote unaisha au ukiondoka au kugoma kwenda arsenal basi unakuwa mbovu rasmi tumeona kwa mudryk na kwa kai [emoji38] yaani mudryk alibadilika ghafla akawa mbovu then kai akawa ndo mashina mzee wa Aerial duels na ku hold mipira .
Narudia tena😅😅😅....nyny level zenu ni kina Aston villa na Brentford huko...hamuwezi kupishana na sisi hata siku moja....narudia hamuwezi....siku tukikutana tutaona hyo Isack atapitia wapi 😅😅😅....sijui Miguel Almiron sijui nani....mwaka jana tumecheza mlipitia wapi...si mlikuwa mnakimbia hvhv😅😅😅....huo mpira wenu wa papatu mtawasumbua Manyumbu sio sisi😅😅😅....safari hii inabidi tuwadunde kwlikwli tusiache hata point moja kwny ndo heshima itakuwepo😅😅😅Tunawasubiri kwa hamu hawa Arsenyau maana wao ndo wanajiona wana timu bora pekee yao juzi tu na forest washaanza kushikana mashati, watachezea kuni zakutosha[emoji23]. Kama ule msimu tuliwavua mbio za kombe lao muhimu(top 4) arteta akamshika shati tavares anamwambia hawezi kucheza UEFA anafoka mpaka sauti imeishaa[emoji23][emoji23] cha ajabu mwanao tavares ndo akawa mchezaji pekee kucheza UEFA msimu uliofuata.
Arsenal fans wanaamini wachezaji wazuri wapo kwao tu hata ukiwa mbovu ukitua kwao tu ubovu wote unaisha au ukiondoka au kugoma kwenda arsenal basi unakuwa mbovu rasmi tumeona kwa mudryk na kwa kai [emoji38] yaani mudryk alibadilika ghafla akawa mbovu then kai akawa ndo mashina mzee wa Aerial duels na ku hold mipira .
Ww mdanganye mwenzako....leo pasheni viungo....match week 4 mje tucheze tuone hyo Hojlund anachezaje😅😅😅😅....mnadanganyana wanakimbia sana sijui nn so what....timu za kuisumbua arsenal ni Liver kwa ile pressing Yao na Man shitty kwa kuficha mpira na ununda wao wakishambuliwa😅😅😅...sio Newcastle wazee wakupoteza mda wakipelekewa moto....mtasumbuana nao nyny sio sisi hao watoto wadogo sana bdo😅😅😅Nje ya takwimu zinazotolewa na Mc Masingeli hawa misukule hawataki kuzikubali humu, hapo hata uwape na link ya FA bado watu watakaza shingo.
Kua shabiki wa Arsenyau yataka uwe kama bendera tu upepo utapovumia na wewe unaelekea hukohuko yaani uwe ni mtu wa kusifu tu, ukitaka kutoka nje ya box kwa kukosoa makosa yale yanayoonekana waziwazi kabisa kama anavyofanya sasa hivi Castr unaonekana ni msaliti.
Muda sio mrefu humu Mkuu Castr ataanza kupewa majina mabaya na kufanyiwa personal attacked.
Kama yule jamaa kwenu hamumtaki kisa anachawa kuhusu sajili za mchongo za 7hagNje ya takwimu zinazotolewa na Mc Masingeli hawa misukule hawataki kuzikubali humu, hapo hata uwape na link ya FA bado watu watakaza shingo.
Kua shabiki wa Arsenyau yataka uwe kama bendera tu upepo utapovumia na wewe unaelekea hukohuko yaani uwe ni mtu wa kusifu tu, ukitaka kutoka nje ya box kwa kukosoa makosa yale yanayoonekana waziwazi kabisa kama anavyofanya sasa hivi Castr unaonekana ni msaliti.
Muda sio mrefu humu Mkuu Castr ataanza kupewa majina mabaya na kufanyiwa personal attacked.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile xyz nahisi kabisa ni akaunti yako masingeli maana sio kwa kutusumbua kule Aiseeee.Kama yule jamaa kwenu hamumtaki kisa anachawa kuhusu sajili za mchongo za 7hag
3-Diamond-3 Mfumo wa Johan cryuff ndani ya Arsenal,
Swali Kubwa msimu huu itakuwa kwenye Kujiandaa Kucheza dhidi ya hii Arsenal.
Imagine Ukiwa Steve Cooper Kocha wa Nortingham Forest wakati unafanya Maandalizi ya hii Mechi.Ni Lazima umetazama angalau mechi 2 au 3 zilizopita za Arsenal
At least uweze Kupata Picha.Lakini Mechi 3 au 2 za Arsenal Inverted Full back mara nyingi alikuwa ni Jurrien Timber akitokea Kushoto Kuungana na Thomas Partey Katikati
Inverted Full back anakuwa ni Thomas Partey akitokea Kulia kuingia ndani Kuungana na Declan Rice.,Arteta alipoulizwa kwanini umemuacha Gabriel Magalhaes nje akasema ni swala la kiufundi.
Sasa hapa unamuandaa Winger wako kwaajili ya kufanya Pressing.Unafanyafanyaje?
Back 3 ya Ben White,Saliba na Timber.Kuna wakati ilikuwa Thomas Partey,Saliba na Timber.
Kuna Wakati anayepita nje ya Bukayo Saka walikuwa wanabadilishana tu kati ya Thomas Partey na Ben White . Ni Just Composition and Decomposition of Matter [emoji2][emoji2][emoji1666]
Haya nambie Ukiwa Kocha unaandaje timu yako kama Maswali yenyewe Muda wote yanabadilishwa?
Kuna nyakati Hujui pia anayeshuka Kuchukua Mali kutoka kwenye No 10 .Ni Martin Odegaard au Kai HAVERTZ?
Hii 3+1+6 ni Dawa Maalumu kwa wagonjwa wote mnaopaki Bus dhidi ya Arsenal msimu huu.
Back 3, ya BEN WHITE, SALIBA na JURRIEN TIMBER
SINGLE HOLDING ni Katekista Thomas Partey akitokea Kulia kama Inverted right back
LEFT HALF SPACE,ni Declan Rice.Msimu uliopita hapa alicheza Granit Xhaka
RIGHT HALF SPACE,ni Nahodha wa Meli Martin ODEGAARD [emoji1666][emoji1666]
CENTRAL HALF SPACE,ni King KAI HAVERTZ au Trosaard atacheza kama Mshambuliaji wa Pili nyuma ya Nketiah/Jesus.
LEFT WINGER,ni Gabriel Martinelli
RIGHT WINGER,ni ni Star boy BUKAYO SAKA
Then Kwenye No 9 ni EDDIE ENKETTIAH au Jesus
Unashambuliwa na watu 6 ,na Mali Ikipotea Kuna watu 5 tayari kwaajili Kuzuia.View attachment 2716750View attachment 2716751
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa Arsenyau Man Utd hata tukiamshwa usiku wa manane tukaambiwa tuingie uwanjani kucheza na nyie wala hatuna wasiwasi.Ww mdanganye mwenzako....leo pasheni viungo....match week 4 mje tucheze tuone hyo Hojlund anachezaje[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....mnadanganyana wanakimbia sana sijui nn so what....timu za kuisumbua arsenal ni Liver kwa ile pressing Yao na Man shitty kwa kuficha mpira na ununda wao wakishambuliwa[emoji28][emoji28][emoji28]...sio Newcastle wazee wakupoteza mda wakipelekewa moto....mtasumbuana nao nyny sio sisi hao watoto wadogo sana bdo[emoji28][emoji28][emoji28]
Subiri uone City atakavyo chapika wiki ijayo ndio atajua mwana mfalme Mohammad bin Salman hajanunua timu ili ishiriki tu kwenye ligi.Narudia tena[emoji28][emoji28][emoji28]....nyny level zenu ni kina Aston villa na Brentford huko...hamuwezi kupishana na sisi hata siku moja....narudia hamuwezi....siku tukikutana tutaona hyo Isack atapitia wapi [emoji28][emoji28][emoji28]....sijui Miguel Almiron sijui nani....mwaka jana tumecheza mlipitia wapi...si mlikuwa mnakimbia hvhv[emoji28][emoji28][emoji28]....huo mpira wenu wa papatu mtawasumbua Manyumbu sio sisi[emoji28][emoji28][emoji28]....safari hii inabidi tuwadunde kwlikwli tusiache hata point moja kwny ndo heshima itakuwepo[emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe kweli maisha magumu, hujui mm ndiye mzee wa jambiaDaaaah, this is too low for you.
Majority ya hii makala kaandika mzee wa jambia.
Badala ya kutoa hata credit, umeamua uifanye kama vile ya kwako.
Sawa unataka kutuonyesha Arsenal ilivyo bora ila hiki ulichokifanya ni plagiarism!! Vitu kama hivi vinafanywa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria. Watu ambao wanategemea wenzao wafikirie kwa niaba yao.
Unless wewe ndo mzee wa Jambia, toa credit kwa kutumia andiko la mtu
Yule mwamba ni manjesta kitambo kabla hata wewe hujaijua Jf ,yupo toka Enzi za Ferguson humu Jf[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile xyz nahisi kabisa ni akaunti yako masingeli maana sio kwa kutusumbua kule Aiseeee.
Huyo Newcastle atawafunga timu mbovu Kama manjestaSubiri uone City atakavyo chapika wiki ijayo ndio atajua mwana mfalme Mohammad bin Salman hajanunua timu ili ishiriki tu kwenye ligi.
Naitabiria Newcastle itakuchukua makombe makubwa ya Epl na Uefa kabla ya Arsenyau.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima umuone sahihi.Yule mwamba ni manjesta kitambo kabla hata wewe hujaijua Jf ,yupo toka Enzi za Ferguson humu Jf
Anachosema kuhusu 7hag yupo sahihi
Yule jamaa hawez kufurahia mpira wa kijinga wa Erik 7 hag a Dutch David Moyes[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima umuone sahihi.
Kama vipi ngoja nikamshawishi ahamie huku kwa Masterclass Mikel Arteta the tactician, aje afurahie Teta ball burudani kwa wote, aache kuteseka huko unyumbuni.