Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sijui mkuuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...nijuze ww unayejua...maana naona unaniuliza tu wkti nimekupa nafasi ya kunielezea na ww...unakwama wapiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwenye hiyo ishu mi na wewe tumemalizana
 
Hata Newcastle alipata bahati tu pale alipomaliza.....maana Liver walivyoamka it was too lateπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...ila Hawa msimu huu nafasi Yao ya 6 kushuka chini huko kwa kina Brentford
Arsenal kumaliza wa 2 hajaoverachieve. Angechukua ligi ingekua kaoverachieve

Hata huku CL tulipo hatuna lengo la kuchukua kwa hii season ya kwanza
 
Mkuu ukikuta source yyt imetoa takwimu mtandaon hao ni watu kama sisi naww jiongeze tumia akili yako appearance sio kipomo cha kihesabu kwa player ambae co regular ungesema minutes play.....ndo unawez pata uhalisia mzuri
 
Alafu huyu kenge anaejidai yy ni newcastle ni wakupuuza tu...newcastle inamashbk Tz toka lini tunamjua mzee wa msoga tu nae huwa ni mjanja mjanja tu labda uhamie mancity timu ya watoto wa 2005 hata mdogo wetu wa mwisho anaishabikia
 
Leta maneno hehehehehehe naendelea kuangalia mpambano
 
3-Diamond-3 Mfumo wa Johan cryuff ndani ya Arsenal,

Swali Kubwa msimu huu itakuwa kwenye Kujiandaa Kucheza dhidi ya hii Arsenal.

Imagine Ukiwa Steve Cooper Kocha wa Nortingham Forest wakati unafanya Maandalizi ya hii Mechi.Ni Lazima umetazama angalau mechi 2 au 3 zilizopita za Arsenal

At least uweze Kupata Picha.Lakini Mechi 3 au 2 za Arsenal Inverted Full back mara nyingi alikuwa ni Jurrien Timber akitokea Kushoto Kuungana na Thomas Partey Katikati

Inverted Full back anakuwa ni Thomas Partey akitokea Kulia kuingia ndani Kuungana na Declan Rice.,Arteta alipoulizwa kwanini umemuacha Gabriel Magalhaes nje akasema ni swala la kiufundi.

Sasa hapa unamuandaa Winger wako kwaajili ya kufanya Pressing.Unafanyafanyaje?

Back 3 ya Ben White,Saliba na Timber.Kuna wakati ilikuwa Thomas Partey,Saliba na Timber.

Kuna Wakati anayepita nje ya Bukayo Saka walikuwa wanabadilishana tu kati ya Thomas Partey na Ben White . Ni Just Composition and Decomposition of Matter


Haya nambie Ukiwa Kocha unaandaje timu yako kama Maswali yenyewe Muda wote yanabadilishwa?

Kuna nyakati Hujui pia anayeshuka Kuchukua Mali kutoka kwenye No 10 .Ni Martin Odegaard au Kai HAVERTZ?

Hii 3+1+6 ni Dawa Maalumu kwa wagonjwa wote mnaopaki Bus dhidi ya Arsenal msimu huu.

Back 3, ya BEN WHITE, SALIBA na JURRIEN TIMBER

SINGLE HOLDING ni Katekista Thomas Partey akitokea Kulia kama Inverted right back

LEFT HALF SPACE,ni Declan Rice.Msimu uliopita hapa alicheza Granit Xhaka

RIGHT HALF SPACE,ni Nahodha wa Meli Martin ODEGAARD


CENTRAL HALF SPACE,ni King KAI HAVERTZ au Trosaard atacheza kama Mshambuliaji wa Pili nyuma ya Nketiah/Jesus.

LEFT WINGER,ni Gabriel Martinelli

RIGHT WINGER,ni ni Star boy BUKAYO SAKA

Then Kwenye No 9 ni EDDIE ENKETTIAH au Jesus

Unashambuliwa na watu 6 ,na Mali Ikipotea Kuna watu 5 tayari kwaajili Kuzuia.
 
Nimekuelewa Sana, to be unpredictable ni safe zaidi kuliko kutabilika kuwa wewe huwa unaingia hivi tu
 
View attachment 2716672
Uongo ukwapi hapo mzee? Hao ndo wenye ligi wameonyesha then unataka niangalie upya wapi
unabishana na hawa wenye ligi ama?
Huyo source za FA wenye ligi yao hazikubali anataka source za Masingeli

Hawa jamaa mbele yako hua ni weupe hawana hoja kabisa, unajua kwenda nao toe to toe mpaka wanakua wakali na kuanza kukuattack kwa maneno ya kwenye kanga.
Yaani sasa hivi kila nikiona comment yoyote ya Labyrinth 84 kwanza kabisa naanza kuLike then ndio nasoma maana najua kabisa misumari unayopigilia humu ni ya utosi sio porojo kama za kina Flano
 
Wenger orphans mnaongeaga utadhani timu yenu ndo Ina mbinu izo peke yake tulieni next mwezi tuwaonyeshe kuwa nyie ni wapiga porojo tu.
 
Wenger orphans mnaongeaga utadhani timu yenu ndo Ina mbinu izo peke yake tulieni next mwezi tuwaonyeshe kuwa nyie ni wapiga porojo tu.View attachment 2716975
Katika timu siiwazii ni manjesta

Timu ambayo tukikutana inahitaji mbinu nyingi ushinde , Brighton,mancity , Chelsea Kama watampata Lavia na Caicedo Hawa wataongeze technicality pale katikati na Beki zao nzuri mguuni kiufundi ,

Lakini , manjesta, Newcastle, Astonvilla, nyie ni kuwatawala kimpira shughuli imeisha
 
Leo mnapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…