OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kama sporting CP waliwapasua kwenye Europa basi UEFA muandike maumivu😂😂😂Champions League group stage draw will be made on Thursday, 31 August at 18:00 CET.
At the moment we have 26 confirmed teams in the group stage, while remaining six will be confirmed in the week of a draw.
Do you already have a 'group of death' that you would like to be drawn?View attachment 2715975
Ni kwli mkuu tulitolewa Europa...tunasubiri tuanze hyo michuano tupasuke😅😅😅....sisi na nyny lini kwani maana kuna mtu hmu alitutishia Mudryk kwamba atatupasua tukikutana😅😅😅Kama sporting CP waliwapasua kwenye Europa basi UEFA muandike maumivu😂😂😂
Hamuna kikosi cha kucheza UEFA, hamuna kikosi cha kucheza EPL 😂😂 bado kuna FA, Carabao, hahaha hii timu itachoka mapema sana aise
Mkuu ni suala la muda tu.. Mudryk kuwapasua kupo pale pale ..kwa sasa tuna kocha siyo yule Lampard na yule kiazi potter ..subiri tukutane ndio mutajua hamujui😂😂😂Ni kwli mkuu tulitolewa Europa...tunasubiri tuanze hyo michuano tupasuke😅😅😅....sisi na nyny lini kwani maana kuna mtu hmu alitutishia Mudryk kwamba atatupasua tukikutana😅😅😅
Kipindi alivyokuwa Spurs hakuwa kocha sio😅😅😅...nilikuwa naomba sana kipindi mnatafuta kocha msimpate yule Luis Enrique alikuwa kocha wa Barca kuna kipindi au mlivyoanza kuhusishwa na Zidane maana hao ndo makocha haswa....ila hyu Tapeli wa ki Argentina..tupo hapa....Mkuu ni suala la muda tu.. Mudryk kuwapasua kupo pale pale ..kwa sasa tuna kocha siyo yule Lampard na yule kiazi potter ..subiri tukutane ndio mutajua hamujui😂😂😂
Newcastle, Astonvilla hawana mpira wakushindana na Arsenal
Hauwez kuwa na wachezaji wote nguvu nyingi akili chache
Haya malalamiko ndio amelalamikiwa Øde,Vieira , na Sasa Kai
Arteta ameshaulizwa Sana kuhusu kusema Kai sio physical
Akasema physical ina Maana nyingi kwake akasema ni physical sababu ana press anawin Duels , n.k
Kai vs city kacheza CF ,Jana kacheza no.10 , atacheza LCM no.8
Kote huko mwalimu anaangalia faida zake ni zipi atakazo offer kwenye mfumo
Kai vs city Ndiye alikuwa key players kuharibu buildup Yao
Jana vs Forest kwenye attackers 6 , unakuwa na no.10/8 watatu Rice Kai Øde
Kai Havertz had a good Arsenal debut vs Nottingham Forest
2 Chances Created
100% tackles won
1 clearance
1 headed clearance
1 recoveries
5/9 ground duels won
3/7 aerial duels won
But because he didn’t get GA ppl will call him shit
Tofautisha Spurs na Chelsea ..kumbuka Spurs ya Pochettinho ilikuwa nzuri tu tatizo hawakuwa na ile hali ya kutaka kubeba makombe. Kiufupi haikuwa tofauti na hii arsenal yenu ya sasa..yani kikosi ni kizuri lakini siyo cha kubeba makombe. Ila hii Chelsea tulivyo smart sisi siyo kama Spurs au arse8 ..sisi tuna DNA ya makombe. Wewe ngoja uone jinsi Pochettinho atakavyobeba makombe makombe mbele yenu 😂😂Kipindi alivyokuwa Spurs hakuwa kocha sio😅😅😅...nilikuwa naomba sana kipindi mnatafuta kocha msimpate yule Luis Enrique alikuwa kocha wa Barca kuna kipindi au mlivyoanza kuhusishwa na Zidane maana hao ndo makocha haswa....ila hyu Tapeli wa ki Argentina..tupo hapa....
Sawa mkuu tunasubiri😅😅😅...tunasubiri leo muanze kuweka statement kwny ligi kwa kumbamiza LiverkukuTofautisha Spurs na Chelsea ..kumbuka Spurs ya Pochettinho ilikuwa nzuri tu tatizo hawakuwa na ile hali ya kutaka kubeba makombe. Kiufupi haikuwa tofauti na hii arsenal yenu ya sasa..yani kikosi ni kizuri lakini siyo cha kubeba makombe. Ila hii Chelsea tulivyo smart sisi siyo kama Spurs au arse8 ..sisi tuna DNA ya makombe. Wewe ngoja uone jinsi Pochettinho atakavyobeba makombe makombe mbele yenu 😂😂
Huwez ku argue hoja kwa hojaMapenzi au kuabudu Arteta?
Vijana wanatumia maneno mazito sana...hawana breki katika wanayoongea...anayeabudiwa ni Mungu tu....mtu anakuja anakuambia unamuabudu binadamu mwenzako kwli???🙄🙄🙄....hii si kufuru hiiHuwez ku argue hoja kwa hoja
Hizi tabia ni za mashabiki hasa wa manjesta ndio wanapenda Sana kutafuta spacegoat kwenye timu , kushambulia personality badala ya hoja ,Vijana wanatumia maneno mazito sana...hawana breki katika wanayoongea...anayeabudiwa ni Mungu tu....mtu anakuja anakuambia unamuabudu binadamu mwenzako kwli???....hii si kufuru hii
Vijana wanatumia maneno mazito sana...hawana breki katika wanayoongea...anayeabudiwa ni Mungu tu....mtu anakuja anakuambia unamuabudu binadamu mwenzako kwli???....hii si kufuru hii
Hakika nimeupenda huu uchambuzi, umekaa POA sanaHuu hapa mkuu watu hawajui mpira hawajui kwanini tumecheza na 3diamond3
Wanaropoka tu
.
Hii ligi ukitwaa unakuwa bingwa haswa maana unapitia mechi ngumu nyingi sana , hizi alama 3 za leo za Arsenal zimechimbwa haswa
Mikel Arteta alijua kabisa kwamba Steve Cooper atatumia mfumo wake ule ule wa msimu uliopita wa mabeki watatu nyuma , wingbacks ( 3-4-2-1 ) na ndio maana leo Arteta aliamua kuja na mfumo tofauti kama ule ambao Man City walitumia dhidi ya Inter Milan fainali UCL
Tunaita 3-diamond-3 maana yake nyuma mabeki watatu ( White Saliba Timber ) mbele yao namba 6 Partey juu yake namba 8 wawili kulia na kushoto Rice na Odegaard nyuma ya Nketiah kuna Havertz ( wingers Martinelli na Saka ) kwanini huu muundo ?
1: Ili kutengeneza idadi kubwa ya wachezaji katika phase zote tatu ( ulinzi kiungo na ushambuliaji ) hasa wakiwa na mpira , bila mpira ni 4-4-2 haina shida
2: Forest bila mpira walikuwa 5-2-2-1 , shida ilikuwa kwa Gibbs White na Danilo ambao walikuwa nyuma ya Johnson kwamba wafanye nini bila mpira ? Waende kuwapress mabeki wa nje wawili kati ya watatu wa Arsenal ( outside CBs ) White na Timber ?
3: Wakifanya hivyo maana yake viungo wao wawili wa kati ( Yates na Mangala ) wanazidiwa namba inakuwa 3 Vs 2 ( Ode Kai na Rice Vs Mangala na Yates ) lakini wakisema warudi nyuma ( Gibbs White na Danilo ) maana yake White na Timber wanakuwa huru wakiwa na mali
4: Arsenal kwenye phase ya tatu walikuwa wanashambulia na wachezaji 5 mpaka 6 ( Martinelli Nketiah Saka Odegaard Kai na mara kadhaa anaongezeka Rice dhidi ya BACK 5 ya Forest )
Walichofanikiwa Forest hasa kipindi cha pili ni uwepo wa Awoniyi na Elanga , kasi na nguvu maana yake ilikuwa rahisi Forest kufika mbele bila kutumia pasi nyingi bali ni mipira mirefu ns kuokota second balls nyingi . Kuwa jasiri .!
NOTE
1: Johnson atakuwa anawaza alikosaje 1 Vs 1 na Ramsdale ?
2: Saka na Martinelli wanaweza kukutoa damu wale vijana
3: Rice akiwa ana sprint kwenda kuzuia
4: Forest wanahitaji ubora zaidi wa wingbacks kwa mfumo ule
5: Ile assist ya Martinelli
6: MUHIMU ALAMA 3 kwenye mechi ya kwanza
FT: Arsenal 2-1 Notts Forest
Kuna page Kama Tactical Journal ambazo hata Ambangile huwa tunakutana hukoHakika nimeupenda huu uchambuzi, umekaa POA sana