Ninachukia kwamba kila nilichosema kuhusu jamaa kwa hizi games chache kinajionyesha dhahiri.Kocha mpaka anabadili winning formula Ili tu Harvetz acheze. Naona hata Smith au Trossard are better wakicheza nyuma ya Nketiah kuliko huyu galasa
Ili muuma Sana😂🤣Alifuta caption
Tofaut kati ya newcastle na arsenal ni hii castle anakuvizia anapokonya anapiga counter ya harak kulingn na silaha zake arsenal sisi tunajitahd kuukamata mchezo mzima sasa wewe kama ubongo wako unafikir vzr utaamua yupi mwenye uwezo mkubwa wa kushinda mechi wakikutana na mechi nyingi zaidiUnafurahisha wewe unaona Newcastle tumeshinda then unafikiri wewe utachomoka kwa aston villa kwa kikosi gani ulichonacho ?
Wewe una kikosi kweli mzee, tatizo hujaangalia game yaani hii Newcastle si level yenu kabisa, Arsenal ni kikundi cha vichekesho kwa namna moja au nyingine lazima mtaleta vituko thats why unaona humu ndani tupo sana si wachezaji mpaka mashabiki mnafanana mnaleta vituko na vichekesho.
Ametoka dogo janja almiron kaingia barnes, katoka isak kaingia wilson,katoka amrion kaingia murphy vyote hivi ni vyuma haswa vimeingia na kufunga na assists.
First 11 yako wewe tu kuanzia pale kati nitajie wachezaji 3 tu ambao wanaweza kuingia kutoka sub wakafanya la maana yaani sub ya maana kwako ni trossard tu.
Tafuta kwanza wachezaji arsenal still hamna wachezaji wa kushindana kombe lolote
Tukiwaambia wenzako humu hawatak kusikia hoja mbadala.. Wao wanataka kusikia maneno matamu tu kuhusu kila kitu khs Gunners yao.. Huyu dg tutawacheka sana khs yy kwa sbb Chelsea wamewatapeli na ndo maana walimuuza hrk hrk walivo sikia 65 zipo tyrBinafsi nachokion kwa kai sio mshindani yaan mpambanaji anaoffer vitu vya kawaida ambavyo impact yake ni ndigo kwenye timu yetu...mfumo wa jana hata angeanz smith rowe kama second striker nadhan tungefunga magoli mengi zaidi sabb aslimia kubwa nottnham tuliwazidi mbinu parefu san ikafk muda kocha wao akawa hajui afanye nini kidogo sub yao na ile counter attack ambayo pia kai alichezewa rafu ikawarudish mchezoni...siwez sem kai ni sajili bora kwetu na hii inaonekn mchn kweupe angalia Rice na timber wanatupa energy uwanjani na upambanaji
Newcastle, Astonvilla hawana mpira wakushindana na ArsenalTofaut kati ya newcastle na arsenal ni hii castle anakuvizia anapokonya anapiga counter ya harak kulingn na silaha zake arsenal sisi tunajitahd kuukamata mchezo mzima sasa wewe kama ubongo wako unafikir vzr utaamua yupi mwenye uwezo mkubwa wa kushinda mechi wakikutana na mechi nyingi zaidi
Kitu naona arteta anakifanya kwa kai kwanza ni mchezaji wake lazm amtaftie way amchezeshe ili atleast atuprove wrong kias fln,kingine positive kidogo kai anajitahidi kwenye kubugudhi/kupress wapinzani wasikae na mali kuanzia golini kwao odegaard,kai na jesus ni wazuri kwa kazi hii ila ukweli siku zote haukawii kujulikana Arteta atarudi sokoni kutafuta mchezaji mwingine mwenye uwezo wa kucheza kam striker au second striker mwenye energy ya kutosha zaid ya kai harvets hatoshi kuingia nae vitani huo ni mtazamo wangu sabb hana uwezo wa kujibeba pale panapohitajika ajitwishe bomu kwaajili ya timu kupata matokeo,binafsi ni usajili wa 50/50.Tukiwaambia wenzako humu hawatak kusikia hoja mbadala.. Wao wanataka kusikia maneno matamu tu kuhusu kila kitu khs Gunners yao.. Huyu dg tutawacheka sana khs yy kwa sbb Chelsea wamewatapeli na ndo maana walimuuza hrk hrk walivo sikia 65 zipo tyr
Kwenye makaratasi anakuwa Beki ,ndani anakuwa Kiungo
Narudia Tena tuache ujuaji, Arteta hampangi mtu kwa kujuana ,majukumu uliyotataja kwa Kai ndiyo yanaamua apangwe au asipangweKitu naona arteta anakifanya kwa kai kwanza ni mchezaji wake lazm amtaftie way amchezeshe ili atleast atuprove wrong kias fln,kingine positive kidogo kai anajitahidi kwenye kubugudhi/kupress wapinzani wasikae na mali kuanzia golini kwao odegaard,kai na jesus ni wazuri kwa kazi hii ila ukweli siku zote haukawii kujulikana Arteta atarudi sokoni kutafuta mchezaji mwingine mwenye uwezo wa kucheza kam striker au second striker mwenye energy ya kutosha zaid ya kai harvets hatoshi kuingia nae vitani huo ni mtazamo wangu sabb hana uwezo wa kujibeba pale panapohitajika ajitwishe bomu kwaajili ya timu kupata matokeo,binafsi ni usajili wa 50/50.
Hao hao ndio wakwanza kusema kocha Hana plan BWe just kicked off the season, watu wanaanza kuwa so critical na timu. Ni mapema mno kufanya hivyo.
Congratulations to the gunners!!
Hauwez kuwa na wachezaji wote nguvu nyingi akili chacheKitu naona arteta anakifanya kwa kai kwanza ni mchezaji wake lazm amtaftie way amchezeshe ili atleast atuprove wrong kias fln,kingine positive kidogo kai anajitahidi kwenye kubugudhi/kupress wapinzani wasikae na mali kuanzia golini kwao odegaard,kai na jesus ni wazuri kwa kazi hii ila ukweli siku zote haukawii kujulikana Arteta atarudi sokoni kutafuta mchezaji mwingine mwenye uwezo wa kucheza kam striker au second striker mwenye energy ya kutosha zaid ya kai harvets hatoshi kuingia nae vitani huo ni mtazamo wangu sabb hana uwezo wa kujibeba pale panapohitajika ajitwishe bomu kwaajili ya timu kupata matokeo,binafsi ni usajili wa 50/50.
Na hapo ndo mnapokosea ndugu zetu😅😅....mwaka jana Fulham walikuja Emirates tukawafunga goli 2-1...ila ilikuwa mechi tulomaliza kibishi sana maana ilikuwa tia maji tia maji....tulipoenda kwao nn kiliwakuta....3 bila tukawakanyaga na assist 3 za strossard...uki project matokeo ya timu kwa kuangalia matokeo ya siku flani unakosea sana..project matokeo kwa kuangalia consistency ya timu kwa muda Fulani...Newcastle walikuja Emirates wakapata draw walionekana wagumu kwlikwli...mechi ya pili kwao nn kiliwakuta....Aston villa kaangalie mechi mbili za nyuma....Brighton tuligawana mbao mwaka jana....bdo nasimama na Arteta....be as unpredictable as you can this year....that's the only way you can survive....baada ya Kila mechi huwa kuna analysis inafanyika kuona wapi tulipatia na wapi tulikosea....hvyo ndugu zangu arsenal tuwe watulivu...tutakuwa na msimu mzuri....kikubwa majeruhi yasiwe mengi na ya muda mrefu....we will be a force to reckon withTofautisha kuponda na kukosoa.
Niliandika bado tunaridhika na magoli.
Two minutes later Forest wanapata goli.
Baada ya kupata goli wakaacha low block nyuma pakawa wazi zaidi. What did we do?
Ukiwa unacheki mechi usiishie kutazama game hiyo, wazia ikiwa ungecheza na opponent mwingine nini kingetokea?
Kwa goli la jana ni kwamba tusipojirekebisha Brighton ana goli kwetu, New Castle ana goli, Brentford ana goli, Liva ana goli, Fulham ana goli, Villa ana goli. Ukiwa unaangalia mechi za timu nyingi kiasi inaweza kukusaidia.
Mashabiki wengi wa arse8 ni watoto wa 2008 apohalafu ndio wanakuwa na mdomo Sana
Barcelona ikipoteana anatafuta Chaka lingine
Maplastic fan wanatabia za kimalayamalaya
Walihamia PSG, waliwahi fungua Uzi wa Leicester humu, Sasa hivi wamegawana wengine Newcastle na mancity
Baadae watazikimbia hizo timu