OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Ni sawa mkuu lakini tumepigwa pale kwa KaiMashabiki wa chelkenge lini mlikuwa na akili , yaan mnapambana kila mechi kuangalia wapi anakosea mje humu kusema tumepigwa
Ifike muda mkubali sio mchezaji wenu,
Wewe ni nyumbu bila shakaHpn mkuu mm nilikua shabik wa Barca tu.. Lkn 2009 ndo mahaba yng na City yalianza onekana wazi.
Na ndo tulikua tunaingia pia kwny project ya mwarabu.. Na kiukwl tunafurahia kupata Oil money project yetu imeBooom.
Glory hunter huyo, nenda jukwaa la psg utamuonaNdio Maana huwa siwajibu wanaojiita mashabiki eti wa mancity sijui Newcastle Maana kiuhalisia mshabiki wa city ni umri wa mwanangu ,hivo unaweza kuta unajibishana na mwanao
Sasa wewe unakuja humu unatoa kebehi ,angalia unaweza kuta unamtukana baba yako
Mashabiki wa city ninaowajua Wana miaka 7-10
Ni wewe tu Leo nimekujibu sababu umeni quote ,ila kanuni yangu sijibishani na wanaojiita mashabiki wa city au Newcastle
Naona unajarb kuleta vijisababu bas nikubaliane na ww kua hamkufanyiwa fair sehem zngne.
Lkn nataka kukuuliza saiv swali moja la mwsh.
Je, kikosi chenu msimu huu mko tayar kutuchallenge na mko serious kbs kwenda mguu kwa mguu na sisi.. Na hakuna visingizio vyovyote vile?.
Kama ayo maswali ni ndio bas sitataka mwshn mwa msimu unikimbie natak uwepo hapa nikiwa nawapiga makombora ya kutupa kwa mkono.
Wewe ni Plastic fan, a.k.a glory hunterIli swali mbona nilishajibu sana hapa na majukwaa mengne.
Kwa kua umeuliza ntajibu tena kwa mara ya mwsh.
Mm nilikua shabik wa Barcelona tu ndo ilikua team yng pekee.. Lkn nikaona sometimes nakosa sana uhondo wa Epl kwa sbb ina amsha amsha na mashabik oya oya wengi.. Bas 2009 ndo nikadevelop interest na City wkt kocha bado akiwa Mark Hughes na team ndo December yake 2009 ndo akapewa Roberto Mancini.
Sipangani na ww mkuu.Mkuu mi nimeanza kushabikia Arsenal enzi forward yetu ni Anelka pale Highbury...zama hzo..mpk tunakuja kizazi cha kina Nwanko Kanu na Henry..Van Persie...podolski...mpk kina Chamakh...Giroud..mpk Sasa tupo hapa...Kila aina ya dhoruba tumepitia...mafanikio hayajengwi kwa siku moja ....tumeanza kuwa na kikosi cha ushindani na tutaanza kubeba makombe hvyo sina wasiwasi....ndo maana nikakuukiza lile swali umeanza lini kushabikia City maana najua walivyoanza kuja kina Tevez ndo hype zikawa juu na mengine yalofata ni history
Unachoshindwa Kujua ni kwmb Alipo Messi, Me nipo ni shabik lia lia wa Messi.Wewe ni Plastic fan, a.k.a glory hunterView attachment 2715832
Mwaka 2021 ulikua shabiki lialia wa timu Gani??Hpn mkuu mm nilikua shabik wa Barca tu.. Lkn 2009 ndo mahaba yng na City yalianza onekana wazi.
Na ndo tulikua tunaingia pia kwny project ya mwarabu.. Na kiukwl tunafurahia kupata Oil money project yetu imeBooom.
Nilkua shabik lia lia wa Psg kwa sbb ya Messi.. Alipo Messi me nipo.Mwaka 2021 ulikua shabiki lialia wa timu Gani??View attachment 2715834
Had pale siku Messi anastafu ndo ntabak na Team zng Mbili Barcelona na Man City.Nilkua shabik lia lia wa Psg kwa sbb ya Messi.. Alipo Messi me nipo.
Hata leo hii wakicheza Inter Miami na Man City.. Ntakua upande wa Messi ashinde.
Nadhan nimekujib swali lako vyema kbs.
Kwahiyo Mess alivyoenda PSG, ukaacha kuishabikia Man City kwa muda?Unachoshindwa Kujua ni kwmb Alipo Messi, Me nipo ni shabik lia lia wa Messi.
Kwa mfano saiv yuko Miami mm ni shabik pia Wa Inter Miami na Game za alfajir kama sina ratba na Stream vile vile.
Messi ndo mpr wnyw.
Kama ulikua unatafuta kunipiga mawe ulikua hujui tu kua ushabik wangu wa La Pulga ni next level mkuu.
Hakika nilibak shabik city kwny ligi tu lkn uefa nilikua na La Pulga.Kwahiyo Mess alivyoenda PSG, ukaacha kuishabikia Man City kwa muda? View attachment 2715836
Kwahiyo wewe ni plastic fan (WA man city), sio kama wale wa kuitwa die hard fan??Nilkua shabik lia lia wa Psg kwa sbb ya Messi.. Alipo Messi me nipo.
Hata leo hii wakicheza Inter Miami na Man City.. Ntakua upande wa Messi ashinde.
Nadhan nimekujib swali lako vyema kbs.
Twende mbele turudi nyuma pale kwa Havertz tumepigwa