arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Nikuulize mkuu umeanza kushabikia City lini....Mkuu wavumilie.. Ww najua unawajua vzr maana ulikua shabik wa team hii.
Unajua kbs kuna baadhi ya mashabik ni oya oya na wanaponza wenzao kwa kuwajaza upepo wakihisi lbd wana super team ya kufanya jambo kubwa.
Tuendelee kuwavumilia.. Ndo maama unaona shabik yoyote wa Arsenal mwny akil timamu akijarb kuongea senses za ukwl khs Arsenal hawa wakina Mc na genge lao la wahuni wanamshambulia vikali kwa sbb wao wanatk sikia maneno matamu tu khs Arsenal hawatak upinzan hata kdg.
Watu wamejaa mihemko, wengine wameingiza na matokeo yao, wengine wamebeti ,Sasa hasira zote zinakuja tulikuwa na presha ,Unajua kuna watu wanachekesha sana. Yaani mtu anashangaa timu kuwa under pressure kwenye mpira wa miguu?
Kwani forest waliingia uwanjani kucheza disko?
Kwani wenyewe walikuwa hawatafuti matokeo?
Kwanza mimi hata hiyo pressure inayosemwa mimi sijaiona. Ukitoa hilo goal la counter.
Bado hata kipindi cha pili Arsenal imetengeneza nafasi nyingi kuliko forest.
Mkuu nimejarb kukusiii sana urud kwny senses zako lkn umegoma na umekaidi kitacho kukuta msimu huu usije sema sikukwambia.Mtabeba nyny mkuu..si unataka niseme hvyo au...mm nimesema sisi na nyny ikirudiwa tena hao viumbe wenu tunawaweka korokoroni tena
Mkuu weka first eleven yako tuone nani anamuweka benchi first teamer wwte wa Arsenal....Hao uliowataja unaona ni wachezaji kweli? Yaani viera na nelson kwahiyo akitoka odergard aingie viera nafsi yako itakuwa poa kabisaau jesus anatoka anaingia nkentiah .
Mtaenda kututia aibu UEFA kwa kakikosi finyu hata aston villa wamewazidi upana wa kikosi.
Ili swali mbona nilishajibu sana hapa na majukwaa mengne.Nikuulize mkuu umeanza kushabikia City lini....
Mkuu kombe mshindi ni mmoja tu...May atajulikana😅😅😅....ila ahadi yangu ipo palepale....match week 8...yle Mr Tom Halaand tunamficha tena kama siku ileMkuu nimejarb kukusiii sana urud kwny senses zako lkn umegoma na umekaidi kitacho kukuta msimu huu usije sema sikukwambia.
Okay mi nimekuwa active member sio mda mrefu sana nilikuwa napitia jamii forum jukwaa la michezo mara chache nikaona nijisajili rasmi....kwhyo kumbe umeingia na mkaanza kunyanyua makwapa sio😅😅😅...basi wacha boli litembee....nikajua ni City tangu miaka ya 90 kipindi hiko ni kikundi cha wafanya jogging pale ManchesterIli swali mbona nilishajibu sana hapa na majukwaa mengne.
Kwa kua umeuliza ntajibu tena kwa mara ya mwsh.
Mm nilikua shabik wa Barcelona tu ndo ilikua team yng pekee.. Lkn nikaona sometimes nakosa sana uhondo wa Epl kwa sbb ina amsha amsha na mashabik oya oya wengi.. Bas 2009 ndo nikadevelop interest na City wkt kocha bado akiwa Mark Hughes na team ndo December yake 2009 ndo akapewa Roberto Mancini.
Mkuu kombe mshindi ni mmoja tu...May atajulikana....ila ahadi yangu ipo palepale....match week 8...yle Mr Tom Halaand tunamficha tena kama siku ile
Okay mi nimekuwa active member sio mda mrefu sana nilikuwa napitia jamii forum jukwaa la michezo mara chache nikaona nijisajili rasmi....kwhyo kumbe umeingia na mkaanza kunyanyua makwapa sio...basi wacha boli litembee....nikajua ni City tangu miaka ya 90 kipindi hiko ni kikundi cha wafanya jogging pale Manchester
Mkuu Newcastle mchezaji pekee anayeweza kuja compete kwny kikosi chetu ni kipa tu...ila kuanzia namba 2 mpk huko mwsho ni WA kawaida sana...hvi Isack anaweza kugombania namba na Jesus kwli...jmni kuweni serious....Almiron agombee namba na Saka....Martinelli nani anmuweka nje hapo kwenu....Partey...Rice....Rolls Royce Saliba..brother man White...Timber...mkuu huogopi
Tuko vzuri sana msimu huu...sina wasiwasi kbsa...kazi kubwa ni kuwasakama mtoke pale juu maana nyny ndo kikwazo...na mtatoka😅😅😅Sawa naona umeamua kukaidi umegeuka shabik oya oya na ww unakaza fuvu.. Lkn kitakacho kukuta me uzr nishajitoa nilikupa tahadhari mapema.
Sasa huyo jesus unaona ni forward wa maana mzee haya akitoka jesus anaingia nan? Barnes tu anayeanzia sub pale magpies ameachwa goal 3 na top scorer wenu bado pia wilson top scorer wa Newcastle anaanzia sub nitajie aliyempita wilson magoli msimu uliopita?
Tutakunyamazisha mdomo mda si mrefu usikimbie.
Top of the league unajua yupo nan saivikuwa na heshima bana tushavuka kisiki then next stop ni kwa city tunamalizana naye taratibuuuu bila kelele tukutane may tuone nan anacheka nanmnapojivhangan
Nkunku atujapigwa mkuu ..ni suala la muda tu akipona tu awa arse8 watajamba checheKubalini tu mmepgwa, mbona sisi tumekubali kwa Nkunku tumepgwa.
Tuko vzuri sana msimu huu...sina wasiwasi kbsa...kazi kubwa ni kuwasakama mtoke pale juu maana nyny ndo kikwazo...na mtatoka
Nyie kila mechi mnaponda mnataka Arsenal icheze kwa possession 100% Hakuna powerful formation ndio Maana modern football imehamia 4-3-3 huwezi kutawala EPL Sasa na 4-2-3-1Kinachonifurahisha ni kwamba huyu Ambangile anasifia halafu Nonewthing anaponda jinsi tulivyocheza. Hao wote wawili hua mnawatumia kusapoti mnachoona.
Tuliokosoa namna tunacheza tulikosoa huku mechi inaendelea. Ambangile kasubiri mechi iishe.
Nataka niwaambie kitu the most powerful formations kwenye mpira ni 4 2 3 1 na 4 4 2 hizi zingine ni mbwembwe tu.
Ujinga ujinga tu mnakaa mnasifia.
Mshabiki wa Newcastle unaielezea kwenye jukwaa la Arsenal ,hamna jukwaa lenu au ndio unashindwa kuiacha ArsenalSasa huyo jesus unaona ni forward wa maana mzee haya akitoka jesus anaingia nan? Barnes tu anayeanzia sub pale magpies ameachwa goal 3 na top scorer wenu bado pia wilson top scorer wa Newcastle anaanzia sub nitajie aliyempita wilson magoli msimu uliopita?
Tutakunyamazisha mdomo mda si mrefu usikimbie.
Top of the league unajua yupo nan saivikuwa na heshima bana tushavuka kisiki then next stop ni kwa city tunamalizana naye taratibuuuu bila kelele tukutane may tuone nan anacheka nan analia.
Sio jambo rahis ilo ndg yng.
Liver ndo mtu wa mwsh kumuona anatuchallenge serious sana kiasi kwmb hata mm nilikua naogopa.
Kiukwl Arsenal hamna ile Aura ambayo liver ile ya moto ilikua nayo ambayo tumepishana nayo mabega na vikumbo mara kwa mara.
Yan mm pa1 na nyie msimu uliopita kukaa kilelen mda mref nilikua hata siwawazii kbs maana nilijua Arsenal hii lzm tuwashushe tu kwa sbb 1 tu Arsenal siku zote ikifika mda wa kua serious na mambo ndo hapo ujue lzm wakuangushe tu tena Hawata kuangusha watahakikisha wanakudharirisha piando Arsenal mlivo na team yenu iyo mda wa serious lzm iwaangushe vby sana.
Hatukuwa na kikosi kipana..key players walipopata pancha basi ndo ukawa mwsho...ila safari hii msijichanganye mkatoa gepu kama lile..mtatema ndoano....halafu kuna mechi tulikuwa tunafanyiwa hujuma za wazi....mfano mechi na Brentford goli lao lilikuwa offside kabisa ila mtu wa VAR akaja ku admit baadae kwamba alisahau kuchota mstari wa offside...mechi na Southampton pale kwao Jesus anashikwa waziwazi ila refa anakausha yaani tulikuwa tunafukuzna na City na marefa juu