Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Uzur mm najua ww unajua ukwl mm na ww ni mbingu na ardhiTupo mkuu...ligi imeanza tuone kandanda safi...kwhyo Kovacic hamjapigwa ...yle ball carrier mzuri sana....mkipata na Paqueta mtakuwa hatari sana
Mimi napenda sana muwachukue nyie na sio Wale kuku ili mgombee top 4 na manjesta ,ni aibu muwe na kiungo Cha kina Chukuemeka na Galaga ,Najua unabana mbupu kw nguvu ili tusichukue vile vyuma, mana unajua tutaingia kwenye ubingwa na hii hii phace one.
Ni kweli kabisa mkuu sisi na nyny ni mbingu na ardhi ndo maana nyie ni mabingwa sisi ni runners up...ila ufunguzi wa ligi tumewatoa kamasi....match week 8 tunakutana tena....mpira utachezwa...ligi ndo inaenda kuchangamka kwhyo mwenye pumzi atakaa pale juu....ize tuπUzur mm najua ww unajua ukwl mm na ww ni mbingu na ardhi.. Ni bas tu kwa sbb ya ushabik mna dhan lbd msimu huu ilo litabadilika.
Kabla ya msimu kuanza nilisema ivi kama kuna shabik wa Arsenal anahis msimu huu team yake itabadilka na kua serious na makombe ya maana bas shabik huyo anahitaj maombi kwa mwamposa hrk sana.
Umesahau mkuu sasahv Wana Mudryk pia atakayetunyoosha tukikutana naye kama Mr Mkohoti anavyosemaπ π π ....kesho tutawaangalia tuone wanavyorukaruka mbele ya LiverkukuMimi napenda sana muwachukue nyie na sio Wale kuku ili mgombee top 4 na manjesta ,ni aibu muwe na kiungo Cha kina Chukuemeka na Galaga ,
Ni kweli kabisa mkuu sisi na nyny ni mbingu na ardhi ndo maana nyie ni mabingwa sisi ni runners up...ila ufunguzi wa ligi tumewatoa kamasi....match week 8 tunakutana tena....mpira utachezwa...ligi ndo inaenda kuchangamka kwhyo mwenye pumzi atakaa pale juu....ize tu
Hao ndo level yenu Sasa....mtakaogombea nao nafasi za sita kwenda mbele huko chinichini
Narudia tena....hao ndo level yenu mlocheza nao leo....nyie tukikutana safari hii hata mkiwa mnajiangusha kupoteza muda bdo dakika zinafidiwa...hamna pa kujifichia...huo mpira wenu siku hyo mtautafuta kwa tochi....kiuhalisia kabisa timu tutakazokutana nazo kwny ligi tukacheza kwa tahadhari kubwa ni Man Shitty na Brighton kutokana na build up kuwa nzuri ila nyny ni weupe sana....tena sana...safari hii tunaanza kukudunda pale Emirates halafu hukohuko kwenu kama mwaka jana tunakuja kuhitimishaπ π π π ...hamna mpira wa kutufunga narudia hamnaUnafurahisha wewe unaona Newcastle tumeshinda then unafikiri wewe utachomoka kwa aston villa kwa kikosi gani ulichonacho ?
Wewe una kikosi kweli mzee, tatizo hujaangalia game yaani hii Newcastle si level yenu kabisa, Arsenal ni kikundi cha vichekesho kwa namna moja au nyingine lazima mtaleta vituko thats why unaona humu ndani tupo sana si wachezaji mpaka mashabiki mnafanana mnaleta vituko na vichekesho.
Ametoka dogo janja almiron kaingia barnes, katoka isak kaingia wilson,katoka amrion kaingia murphy vyote hivi ni vyuma haswa vimeingia na kufunga na assists.
First 11 yako wewe tu kuanzia pale kati nitajie wachezaji 3 tu ambao wanaweza kuingia kutoka sub wakafanya la maana yaani sub ya maana kwako ni trossard tu.
Tafuta kwanza wachezaji arsenal still hamna wachezaji wa kushindana kombe lolote
Mkuu safari hii hatutamficha Halaand tu..tutahakikisha hdi na Bernado Silva tunaficha kabisa abaki kuzurura huko nyuma kama siku ile....Xhaka hakuwa na positional awareness nzuri na ilikuwa inatu cost sana...ila kwa Rice na Partey mtasubiri sanaπ π π ....Ndo sijakataa mm kua game ya Community(Yan ilo sahani la wali) kua mlitutoa nishai baada ya mda mrefu sana kua wateja wetu wa kudumu.
Kwa ilo niliwapongeza na ndo pongezi pekee ntakayowap. Msimu huu maana baada ya hapo game yoyote tukikutana mambo yanarud default settings ntakua nakupiga bila huruma.
Na nipende tu kusema msipo kua makini ndo kikombe pekee mnaweza weka kabatini msimu huu(Sorry nimesahau mmeshinda na Emirates cup bana) ivo ndo vinaweza kua vikombe vyenu pekee msipo kua makini.
Ndio Maana huwa siwajibu wanaojiita mashabiki eti wa mancity sijui Newcastle Maana kiuhalisia mshabiki wa city ni umri wa mwanangu ,hivo unaweza kuta unajibishana na mwanaoMtu wa ovyo sana mwny porojo nyng za vijiweni.
Narudia tena....hao ndo level yenu mlocheza nao leo....nyie tukikutana safari hii hata mkiwa mnajiangusha kupoteza muda bdo dakika zinafidiwa...hamna pa kujifichia...huo mpira wenu siku hyo mtautafuta kwa tochi....kiuhalisia kabisa timu tutakazokutana nazo kwny ligi tukacheza kwa tahadhari kubwa ni Man Shitty na Brighton kutokana na build up kuwa nzuri ila nyny ni weupe sana....tena sana...safari hii tunaanza kukudunda pale Emirates halafu hukohuko kwenu kama mwaka jana tunakuja kuhitimisha...hamna mpira wa kutufunga narudia hamna
Pressure gani hiyo wamefanya hao jamaa asee ,ukiacha hiyo kaunta Tena msifie Elanga alikimbia Sana kamzidi saka na white
Hakuna kingine hao jamaa wamefanya
Arsenal ikishinda lawama ikifungwa lawama
Yaan mnataka wacheze perfecthata mpinzani asisogee langoni kwetu , hiyo timu labda ishuke kutoka mbinguni
Timu yoyote ikifungwa huwa inajilipua ,bado Arsenal wali handle mchezo had dk ya mwisho
Mbona mancity vs Arsenal,walipotufunga tuliwapelekea Moto had wakaachia ,nao mbona hawalalamiki
Yan ww ungekua huna mishe mishe za uMc ungekua tapeli maana una porojo na maneno mengi ya ulaghai sana... Watu wanaokusikiliza umewaponza mara kwa mara.Ndio Maana huwa siwajibu wanaojiita mashabiki eti wa mancity sijui Newcastle Maana kiuhalisia mshabiki wa city ni umri wa mwanangu ,hivo unaweza kuta unajibishana na mwanao
Sasa wewe unakuja humu unatoa kebehi ,angalia unaweza kuta unamtukana baba yako
Mashabiki wa city ninaowajua Wana miaka 7-10
Ni wewe tu Leo nimekujibu sababu umeni quote ,ila kanuni yangu sijibishani na wanaojiita mashabiki wa city au Newcastle
Unataka tupangiane vikosi mkuu....weka wte walocheza leo....nje tuna wachezaji wafuatao....Emile Smith Rowe....Vieira... Zinchenko...Kiwior....Reiss Nelson...majeruhi Jesus... Jorginho...tunakaribia kuwa na kipa la Dunia Raya...Sasa ni ww tu unataka acheze nani...kifupi tu ni kwmba waulize Man City zile dk 10 za mwsho siku ile walicheza kina nani watakusaidia zaidi kwa maelezoπ π π πMkuu nisaidie akitoka odergard, saka na martineli nipe subs zako kutokana na lineups ya leo anaingia nan na nan? Mkuu nisikudanganye mna kikosi finyu na kisicho na makali angalia sub yako ya leo trossard pekee ndo mwenye uwezo wengine ni wachezaji wa championship
Mkuu Chonde Chonde usije mwsh wa msimu aya maneno yako yakakuponza ukaniona me mbya mkuu.Mkuu safari hii hatutamficha Halaand tu..tutahakikisha hdi na Bernado Silva tunaficha kabisa abaki kuzurura huko nyuma kama siku ile....Xhaka hakuwa na positional awareness nzuri na ilikuwa inatu cost sana...ila kwa Rice na Partey mtasubiri sana....
Mkuu Newcastle mchezaji pekee anayeweza kuja compete kwny kikosi chetu ni kipa tu...ila kuanzia namba 2 mpk huko mwsho ni WA kawaida sana π π π ...hvi Isack anaweza kugombania namba na Jesus kwli...jmni kuweni serious....Almiron agombee namba na Saka....Martinelli nani anmuweka nje hapo kwenu....Partey...Rice....Rolls Royce Saliba..brother man White...Timberπ π π ...mkuu huogopiUnataka tupangiane vikosi mkuu....weka wte walocheza leo....nje tuna wachezaji wafuatao....Emile Smith Rowe....Vieira... Zinchenko...Kiwior....Reiss Nelson...majeruhi Jesus... Jorginho...tunakaribia kuwa na kipa la Dunia Raya...Sasa ni ww tu unataka acheze nani...kifupi tu ni kwmba waulize Man City zile dk 10 za mwsho siku ile walicheza kina nani watakusaidia zaidi kwa maelezoπ π π π
Mbona unanitaja why unahangaika na Mimi, ulishawahi ona nakuzungumzia au nakufata jukwaan kwenu?Yan ww ungekua huna mishe mishe za uMc ungekua tapeli maana una porojo na maneno mengi ya ulaghai sana... Watu wanaokusikiliza umewaponza mara kwa mara.
Shukuru sana Mungu una mishe ya kufanya ungekua tapeli mkuu.. Na ungekua rumande saiv kwa makosa ya utapeli na kughushi.
Hlf ulivo mjinga unasema mm ndo nimeanza kukuQuote wakat ww na kiherehere chako ndo umeanza kuniQuote.
Mkuu Chonde Chonde usije mwsh wa msimu aya maneno yako yakakuponza ukaniona me mbya mkuu.
Huyu mwenzako asikuponze huyu kazoea kua mlaghai na tapeli ndo maana unaona hana aibu hata kdg kwa sbb msimu uliopita mambo yalivo collapse alikimbia kusiko julikana kbs.
Nakusii sana mkuu huyu anakupotosha rudi kwny senses zako ndg yng Arsenal haiwez beba kombe la muhm lolote msimu huu Arsenal ni ile ile.
Unajua kuna watu wanachekesha sana. Yaani mtu anashangaa timu kuwa under pressure kwenye mpira wa miguu?Pressure gani hiyo wamefanya hao jamaa asee ,ukiacha hiyo kaunta Tena msifie Elanga alikimbia Sana kamzidi saka na white
Hakuna kingine hao jamaa wamefanya
Arsenal ikishinda lawama ikifungwa lawama
Yaan mnataka wacheze perfecthata mpinzani asisogee langoni kwetu , hiyo timu labda ishuke kutoka mbinguni
Timu yoyote ikifungwa huwa inajilipua ,bado Arsenal wali handle mchezo had dk ya mwisho
Mbona mancity vs Arsenal,walipotufunga tuliwapelekea Moto had wakaachia ,nao mbona hawalalamiki